professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,511
Unge wauliza nato kwanini wanakubali vita ichukue mda mrefu wakati wako wengi wakimsaidia silaha Ukraine ningekuona wa maanaAsk Putin why this war has taken longer time than expected, he knows better than us.
Wapeleke Kwa Mwamposa mkuu 😆😆😆😆Pamoja na hii Ushoga kuwa ni mbaya lakini bado Urusi ni mvamizi na hawezi kuungwa na mtu mwenye akili
Kwanini Avemie nchi za watu?
Tuwaombee NATO, USA na Ukrain
Hata mimi nilikiwa nataka kumuhoji swali hilo hilo - Waingereza wazushi sana na wachonganishi - siku moja waziri wa Ulizi wa Uingereza kafinga safari kwenda White House Merikani na kumwambia Joe Biden na majenerali wa Merikani wa Merikani kwamba ana uhakika Putin anatayarisha meli zake kwenye Black Sea ili kuishambulia USA kwa nuclear missiles - uzuri Joe Biden na washauri wake wa kijeshi wala hawakukurupuka walitafakari kiundani taarifa za Waziri wa Ulizi wa Uingereza na kuhamua kuzipuuzia - we angalia taarifa nyingi za utatanishi kihusu Urusi zinatoka kwenye media za Uingereza - wanatamani sana Amerika iipige Urusi kwa kutumia silaha za nyuklia hata huu mpango wa Uingereza kutaka kupeleka Depleted Uranium shells Ukraine lengo lake ni kumjaribu kumtega Putin ili waone atajibu vipi matumizi ya shells ya DU kwenye vita ya Ukraine - na hapo ndipo wajaribu kuwashawishi Wamerikani kutumia tactical nuclear bombs/missiles, dhamila za Uingereza kuhusu Urusi sio nzuri hata kidogo.Do you understand the term "likelly" dude?
Huo ndio ukweli!NATO wakitia guu pale huyo mtume wenu Putin anafutika na nchi yake.
Who said it'll take short time? Provide evidence to your answer.Ask Putin why this war has taken longer time than expected, he knows better than us.
Tutayazungumzia kwa sababu ndio ajenda ya US na WanatoUtoto wake upo wapi hapo. Yaani kuna mtu anasema kwamba yale makombora yanayojaribiwa Urusi yatarushwa mpaka White House, na mimi nasema kwa nini wasubiri warushe washington wakati jamaa alikuja hadi Kyiv? Ukiona kitu hukielewi siyo kwamba LAZIMA kiko chini ya kiwango, inawezekana wewe ndiye uwezo wako wa kuelewa ndiyo uko chini ya kiwango.
Yaani nyie hamuwezi kujenga hoja mpaka mseme mambo ya hoja za kitoto, ushoga, ujinga, na mengineyo?? Jifunzeni kuwa watu wazima kwa kujibu hoja kwa hoja badala ya kutafuta sifa kwa kuita watu kwa sifa za ajabu ajabu!!
Nimeshasema mara nyingi sana humu kwamba hiyo ni sera ya Democtratic. Huwezi kuta Republicans wanatishia watu kwa sababu ya mambo ya ushoga. Siku wakiondoka madarakani, huwezi sikia aina hiyo ya vitisho.Tutayazungumzia kwa sababu ndio ajenda ya US na Wanato
Chanzo cha taarifa mawazo yako wewe mwenyewe
Putin says Ukraine ‘special military operation’ is taking longer than expected
KYIV, Ukraine (AP) — Russian President Vladimir Putin acknowledged Wednesday that his “special military operation” in Ukraine is taking longer than expected.
“Of course, it could be a lengthy process,” Putin said of the more than 9-month-old war that began with Russia’s invasion Feb. 24
Chanzo cha taarifa mawazo yako wewe mwenyewe
Unajua mpk sasa hv dollar ina tumika kwa kiasi gani (%?) kwenye transaction duniani na graph yake inaelekea wapi (juu/chini) as time goes on!?Kwa my opinion ts either US hajafanya lolote kwa sababu katika hatua hii hakuna la kufanya pengine sababu hajajua strategies za Chi-Rus kulinda uchumi wa dunia au sababu volume of ant-$ transaction ni too low to qualify materiality concept au China ana agenda tofauti na anayoitoa hadharani. Ndo maana nasema ngoja tujifunze uchumi kwa vitendo.
Mkuu navyoona ww umeshafanya hitimisho, mm bado. Umehitimisha anguko la dola ilihali safari ya kutaka kuiangusha ipo katika early stage na jambo kama hili sio jepesi na haliwezi hitimishwa kwa vol ya mikataba iliyofanyika mpaka sasa. AGAIN, LETS WATCH AND LEARN WENYE UCHUMI WAO. CHINA-RUSSIA-USA.
Kwahiyo hiko chama kimeamua chenyewe serikali ya marekani imeyapinga hayo?Nimeshasema mara nyingi sana humu kwamba hiyo ni sera ya Democtratic. Huwezi kuta Republicans wanatishia watu kwa sababu ya mambo ya ushoga. Siku wakiondoka madarakani, huwezi sikia aina hiyo ya vitisho.
Hamna usinitumie acha ninae muongelea afanye. Kwani we ni secretary au msemaji wake?Nikutumilie screen short za mapro urusi uone jinsi wanavyoburunga.
Kwamba mrusi atashindwa kutengeneza gearbox yake na engine kisa benz na volvo wamejitoa? .