Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwahiyo hiko chama kimeamua chenyewe serikali ya marekani imeyapinga hayo?
Swali zuri. Kwenye nchi kuna mambo meengi sana ya kufanyiwa kazi na yenye sheria mbali mbali. Trump alipokuwa madarakani alipambana sana na ObanaCare ambayo iko kisheria. Kwa nini? Kwa sababu Republican hawaamini kwenye kutumia fedha za umma kugharamia mambo binafsi ya watu, kama bima ya Afya.

Leo Democratic wapo madarakani, husikii serikali ya Marekani ikipambana na Obamacare badala yake wanaiimarisha. Mambo ya kuunga mkono ushoga ni mambo ya Democratic na wala si mambo ya wamarekani wote, yaani nchi. Kuna sheria na maamuzi ya Mahakama Kuu ya Marekani kwamba mashoga wasinyanyaswe kutokana na ushoga wao.

Sasa chama cha Demokratic kwa kuwa kinaunga mkono haki za mashoga, chenyewe kikiwa madarakani kinasimamia kwa nguvu zote sheria na maamuzi hayo ya Mahakama Kuu. Maana yake kwa wakati Democratic wapo madarakani kuunga mkono ushoga itakuwa ndiyo sera ya serikali ya Marekani.

Mwakani Republican wakishinda Uchaguzi, huwezi kuta kuna viongozi mashoga kwenye serikali ya Marekani kama ilivyo sasa, waliobadili jinsia zao (Transgender) nao watatimuliwa jeshini ama kuwekewa sheria ngumu sana. Kwa ivo kusema hii ni sera ya Marekani siyo sahihi kwani Republican hawaifuati.
 
Unampa shule kidogo. Na mifano juu. ProRussia mnajua mpk mnajua tena!

Kiufupi US walikuwa wanataka kuivamia Urusi katika kipindi cha muda mchache ujao. Kutaka Ukraine ijitoe kwenye partition treaty kungeliathiri jeshi la urusi kwa kiasi kikubwa sana maana black sea fleet ingekosa pa kukaa. Imagine Navy ya urusi ingefurushwa pale Sevastopol alaf wakati huohuo Ukraine imejiunga NATO kingechofuata si ni invasion ya urusi tu au kuizidishia pressure icollapse from within

Ndio maana jamaa walianza kwanza na crimea. Kujihakikishia kwanza makazi salama na ya kudumu ya navy yao
 
Tupe tofauti ww kati ya vita na smo
 
Nimeamini nyinyi ni mashoga tunaobishana nao humu.🚮
 
Umetoa maelezo ebu jibu hili swali je serikali imeyakataa hayo?

Jibu Ndio au Hapana!
Mbona swali alitaki maelezo hili
 
Umetoa maelezo ebu jibu hili swali je serikali imeyakataa hayo?

Jibu Ndio au Hapana!
Mbona swali alitaki maelezo hili
Hili ngese linajaribu kutaka kuonyesha Republican ni wanapinga ushoga kitu ambacho sicho Cha kweli.

Anataka kuonyesha ushoga unaungwa mkono na Wademocrat pekee, hapa anajaribu kudanganya wazi wazi.

Anataka aonyeshe serikari ya Marekani ipo Neutral ila sijui hajui wamefunganisha mpaka sera zao za mambo ya nje na ushoga.

Hili litakuwa bwabwa lililojaza dodoso tayari, maana huwezi kuwaza kinyumenyume.
 
Unachojaribu kufanya ni kitu cha ajabu sana. Hebu jistukie kdg! Ina maana na wewe usiilaumu urusi kwa sababu SMO ni sera na mpango wa Putin na wala sio warusi wote sio!?

Wawakilishi 47 wa republican wamepiga kura kusupport 'Respect for marriage act' alaf wewe unasema republican hawana hayo mambo!?
Utafiti umefanywa survey for Us adults 2022 na Pew RC wanasema 61% ya wamarekani wanaunga mkono uhalalishwaji wa hayo mambo! Maana yake ni watu 6 kati ya 10 alaf wewe unasema sio jambo la kitaifa bali ni la chama.
 
Kwenye Lile Shambulizi Bado Mambo yanazidi Kuibuka
Yaani Kumbe mpaka sasa Kuna Watu Bado wapo Chini huko Wamefukiwa na Kifusi
Bado wanapambana Kutoa Zaidi ni Miili ya walio Kufa



🇺🇸🇪🇺🇬🇧40 corpses, dozens more bodies remain under the rubble - details of the Russian "retaliation strike" on the NATO command center have appeared

🔹A group of NATO officers and advisers was housed in a secret underground bunker built at a depth of 120 meters.

🔹 More than 300 people in total.

🔹To date, 40 corpses have been recovered from the rubble of the headquarters, but most of the dead remain under the rubble.

📝 “Most of them are British and Polish, but there were also Americans and representatives of private companies that maintain communication and data transmission.

In the coming days, it will be seen to what extent this will affect the conduct of Ukrainian and Western operations and attempts to stop the final phase of the Russian offensive on Bakhmut.

✔️Earlier, in response to a Ukrainian provocation in the Bryansk region, the Russian Aerospace Forces attacked a joint Ukrainian-NATO command and communications center with a Kinzhal hypersonic missile.
 
Nasubiri kuona Mali za Israel zikizuiwa Ili kupunguza uwezo wa Israel kutekeleza uhalifu huko occupied west bank!
Wake up,Sasa hivi nchi zimeshtuka!Kila kukicha tunaona nchi zikiingia makubaliano kufanya biashara Kwa currency zao!Wamegundua US anaitumia Dola kama silaha!Angalia Zimbambwe inavyoteseka sababu ya sanctions za US!
Kwenye huu mgogoro,US kapoteza ushawishi na anaezidi kunufaika ni China!
 
Unawajua largest fertilizer export?Unapayukapayuka tu!
Mazao Je?
 
BRICS
Mambo yanazidi Kuiva Sasa Maombi yameongezeka Kwa nchi Kutaka Kujiunga
Nchi zilizo wasilisha Maombi ni
Saudi Arabia, UAE, Egypt, Algeria, Argentina, Mexico and Nigeria.

🇿🇦South African Foreign Minister:
Requests to join the BRICS group were submitted by Saudi Arabia, UAE, Egypt, Algeria, Argentina, Mexico and Nigeria.
 
Washalemazwa hawa ndio maana uelewa wao umeshuka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…