Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Lakini yeye kaolewa ingawa hana watoto, akili kama hizi za kipuuzi unajua Muuba wake alizichukuliaje wakati anamleta hapa Duniani.Tutayazungumzia kwa sababu ndio ajenda ya US na Wanato View attachment 2570747
Kwani Putin na Xi walisema nini in public - mambo mengine ni kiasi cha kuzisoma between the lines unapata picha kamili - kama unafikiri China inaweza kukaa kimya huku wakijali sana masuala ya biashara na kuipuuzia Russia in case Russia mambo ya vita yakiwaendea vibaya which is mostly unlikely by the way.Policy na china si kupigana vita bali kutengeneza na kuuza silaha kwa mataifa mbalimbali kuinua uchumi wake. Sasa kama Putin anafikiri kapata mshirika wa uhakika kaumia,, hamna kitu mule.
Es[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kapigwa kanyaboya
Hili kila mtu analijua, China yuko tayari apoteze kila kitu ila sio kuikosa Taiwan[emoji298]️China is preparing for war, Xi Jinping said at the annual meeting of the Chinese Parliament, Foreign Affairs magazine reported.
[emoji328]: AP
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Babu Biden akiona hii habari atatamani kujiharishia. Nashauri tu wasaidizi wamuongezee idadi ya pampas[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630]China yaanza ushirikiano wa Kijeshi na Russia mara moja
Chinese military will start cooperating with Russian military.
“People’s Liberation Army is ready to enhance communication and cooperation with the Russian military, deepen military mutual trust, and hold regular joint naval, air patrols & drills” - China’s Defense Ministry spokesperson.View attachment 2571082