Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi ni kwamba kaishiwa au anaamua tu kuua wanajeshi wake?
 
Zelensy akiona hizo video lazma achanganyikiwe
 
“Putin is trying to regain political and strategic leverage with the help of measures that might be interpreted as tangible nuclear threats. However, the promise to deploy tactical nuclear weapons in Belarus is the first, but not a major step,” write Mariia Zolkina, head of Regional Security and Conflict Studies at the Ilko Kucheriv Democratic Initiatives Foundation, and Petro Burkovsky, executive director of the Ilko Kucheriv Democratic Initiatives Foundation, in their recent op-ed.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Due to the coordinated and skillful actions of the Ukrainian defenders in the Donetsk sector, the enemy has retreated from some positions, now the Ukrainian forces are preparing for defensive operations.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Since the beginning of the full-scale invasion of Ukraine, russia’s total casualties have reached up to 200,000 troops, a significant minority of these have been due to non-combat causes. There have been extremely high numbers of incidents linked to alcohol consumption.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni kwamba kaishiwa au anaamua tu kuua wanajeshi wake?
Hajaishiwa ndio maisha yake yalivyo kwake, ila kwa mtazamo wa kimagharibi kaishiwa. Niliwahi andika tatizo la rushwa, kutojali na wizi wa mali za umma kwa Urusi ni kubwa na lipo sana jeshini. Unategemea nini kwa nchi ambayo matajiri wake wakubwa karibia wote ni oligarchies, nchi zingine kubwa utasikia huyu kakusanya mitaji kuanzisha kampuni ya magari ya umeme, huyu kaanzisha kampuni ya kuuza vitu online, huyu ana kampuni ya teknolojia ndio matajiri hao. Urusi matajiri wake ni huyu alibinafsishwa kampuni ya mafuta USSR ilipoanguka, huyu alibinafsishwa machimbo ya makaa ya mawe, huyu aluminium.

Urusi on paper ina vifaru vingi sana, doctrine yao ni kuwa na namba kubwa haijalishi performance na serviceability ikoje. Wana vifaru kama T-54 vimetengenezwa miaka ya 1950s kabla Stalin hajafariki na walifanya upgrade unakuta miaka ya 1960s ndio navyo wanahesabu. Wakati Ujerumani ina Marder IFV ambayo ya kwanza ilianza tumika 1971 (vifaru vya T-72 vimeitangulia Marder kutumika). Ujerumani imeshastaafisha Marder inaziona outdated ila ilizihifadhi kwenye maghala ya ndani. Wakati Urusi kwa T-72 ni vifaru havitarajiwi kuondoka, T-64 yenyewe bado inatumika. Au Ujerumani jinsi imeziondoa Gepard SPAAG jeshini inaziona za kizamani ila Ukraine imepewa na zimesaidia. Urusi yeye ndio wale watu wanatumia iPhone 7 hadi leo.

Maghala ya silaha ya Urusi mengine hayatunzwi kama haya na hivi vifaru kwenye makaratasi wanavihesabu, hapa wakienda ni kuongeza explosive reactive armour, electronics na marekebisho kadhaa kisha kuwapa wapiganaji
 
Wenzako wanachapika .....alafu unafikiria wafanye counter offensive

SMO acha iendelee
Pamoja na kubadilisha makamanda wa vita mara tatu bado superpower uchwara anapuyanga. Na si mjajifanya mnaifukuza NATO sasa Finland inakuja inaongeza mamia ya kilomita za mpaka, kapigane na uko tena ndio wako jirani zaidi na Urusi.
Mwezi March kilichoongezeka ni 0.01% ya ardhi ya Ukraine, akili kisoda nguvu nyingi
 
Kwa hiyo raisi wa Ukraine alikuwa anadanganya ?maana hayo maneno niliyo Comment yeye ndo aliyasema.
 
Ukraine kk security
Huku litashushwa jeshi na siraha
Lakin mrus kikubwa atafanya ni kushambulia makao makuu ya nchi za ulaya kwa nyuklia na hypersonic

Finland itadundwa madude 20 tu imeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…