Kwani hizo nukes Urusi anazo yeye tu.Kauli ya Putin sio ya bure!Hapo Finland wanaenda kuongezwa kwenye mataifa hatari dhidi ya Russia ikitokea vita between Russia na US au member wa NATO!
Nukes za kwanza zitatua Kwa majirani wa Urusi member wa NATO kwanza kabla US hajafikiwa!
Yaani Kwa jirani wa Russia ambaye hana mgogoro na Russia,ni hatari zaidi kuwa member wa NATO kuliko kuwa neutral!
Sweden na Finland wamekurupuka au kudanganywa na US!
Hoja yako haina ushahidi, ni porojo tu kutoka Urusi dhidi ya Ukraine tena imeandikwa kwa Kirusi kabisa.Mambo mengine unaweza kudhani ni kichekesho kumbe ni kweli. Kwa Sasa Ukraine wameishiwa wanaume wapiganaji kufikia kumsajiri mlemavu asiye na mikono yote miwili na kusema Yuko fiti kabisa Kwa kazi ya jeshi.
.
In the Western media, the story of the delivery of the summons to 27-year-old resident of Drogobych (Lviv region) Ruslan Kubai, a disabled child of the 1st group, who is missing both hands, received a great response. This case, in particular, was written by The Wall Street Journal and The Economist .
Kubay received a summons demanding to appear for a medical examination at the military registration and enlistment office in January. And instead of admitting their mistake, local officials declared him fit for service. So, at the military medical commission, he was marked "74-v", meaning that a person is unfit for military service in peacetime, but limitedly suitable in wartime.
It is noteworthy in this whole story that the disabled child was removed from the military register only after the scandal in the media and social networks : “I turned to lawyers, to the authorities to finally prove what is already so obvious” that I am disabled. After the scandal in social networks, they finally wrote to me that I was removed from the military register, " Kubay himself notes.
Kwa wanaojua kirusi iangalie hapa
В западных СМИ получила большой резонанс история о вручении повестки 27-летнему жителю Дрогобыча (Львовская обл.) Руслану Кубаю — инвалиду детства 1-й группы, у которого отсутствуют обе кисти рук. Об этом случае, в частности, писали The Wall Street Journal и The Economist.
Кубай получил повестку с требованием явиться на медкомиссию в военкомат еще в январе. И вместо того, чтобы признать свою ошибку, местные чиновники объявили его годным к службе. Так, на военно-врачебной комиссии ему поставили отметку "74-в", означающую, что человек непригоден к военной службе в мирное время, но ограниченно пригоден в военное время.
Примечательно во всей этой истории то, что сняли инвалида детства с воинского учета только лишь после скандала в СМИ и соцсетях: "Я обратился к юристам, к властям, чтобы наконец доказать то, что и так очевидно " что я инвалид. После скандала в соцсетях мне наконец-то написали, что я снят с воинского учета", — отмечает сам Кубай.
Hukunisoma niliposema jirani ambaye hana mgogoro na Russia!Hiyo line ungeielewa nadhani usingecomment hivyo!Kwani hizo nukes Urusi anazo yeye tu.
Jirani wa Russia ni hatari kutokuwa NATO, Ukraine hakuwepo kavamiwa tena yeye ni former member wa Soviet block na alikuwa wa pili kwa umuhimu baada ya Russia. Georgia naye former member kavamiwa na Urusi na katengwa maeneo yake.
Putin amefanikiwa kuongeza wanachama wa NATO. Hilo la denazification amelisahau
Mkuu unapenda kufundisha lakini hujielimishi.Unafahamu hata Mongolia republic waliwahi Omba kuingia kwenye Shirikisho la Urusi?
Je, Wangekuwa wanatawaliwa kikoloni wangeomba?
Tuva republic waliombwa kwa hiari Yao kujiunga na Shirikisho la Urusi?
Je, hawa nnao wanatawaliwa?
Buryat ilishawahi kuwa nchi?
Ngoja turudi kwenye historia
Unafahamu Himaya ya Kimongoli ikitawala eneo kubwa zaidi yaani kutoka Ulaya mpaka Asia?
Sasa Mrithi baada ya Himaya yaa Kimongoli kuanguka ni nani?
Kule Mashariki Mrithi ni China, je huku Magharibi Mrithi ni nani?
Urusi ilijitanua kwa kumpiga Mmongoli na kuangusha himaya yake zilizogawanyika.
Battle of KULIKOVO ndio iliyoamu khatima ya Urusi.
Hivyo kurithi maeneo yote yaliyokuwa chini ya Mongolia pamoja na states zake?
Je, Chechnya ishawahi kuwa nchi?
Ingushetia ishawahi kujitawala yenyewe?
Tuva hawa waliomba?
Dagestani ulishawahi kuwa nchi?
Crimea tatars ambao Wana asili ya Kimongoli walipigwa na Catherine the great na kuwa sehemu ya Urusi?
Sasa hii unaweza ifananisha na mauaji ya kimbari ya Wamarekani dhidi ya Wahindu wekundu?
Halafu hii mada tulishawahi inadili na nikakupiga za uso ila huwa unaorudia kwa namna tofauti.
Na lilivyo pigwa kombora poland hao watu wako wa vikoba walifanya nini zaidi ya kumsema zele asiwachonganisheHakuna General hata mmoja wa NATO kauwawa na Urusi, Urusi ni kubwa jinga haina uwezo huo. Na wala NATO haiwezi weka command yake nchini Ukraine wakati sio mwanachama. Kwanza NATO sio washamba kama nyinyi mnapigana vita kienyeji na sasa mnajiliza mwaka umeisha.
Huo uongo kaambizane kijiweni kwenu. Unaweza taja hata jina moja la General wa NATO aliyeuawa pale Ukraine? Achana na watu 400 uliodai, taja mmoja tu. Na ukitaka kujua ulivyo na uongo wa kitoto, command ya watu 400 inafanya nini, watu 400 wanacommand solar system nzima ama namna gani.
Na Marekani haina mpango wa kupigana na Russia, kwa lipi hasa ililonalo? Kama unataka vita yao si uwaambie Russia ndio waanze. Shamba la gesi na mafuta hilo halimtishi hata South Korea kiuchumi, kijeshi ndio hilo mwaka sasa limeshindwa Ukraine. Na kwa taarifa yako kesho Finland inajiunga NATO sasa jinyongeni kama inakuuma.
Chechens si ni Warusi. Mapigano ya Warusi wenyewe kwa wenyewe ila lawama kwa Marekani? Marekani ina nguvu kumbe hadi ndani ya Urusi inasababisha vita sasa si muipige maana sababu tiyari ipo.
Mr. Machuma Chuma umerudi na maelezo Yako ya mavifaa... Haya Urusi wanavifaa vya Stalin huko.... Waambue manyato walete vya kisasa tuvichome na tknolojia ya zamani ya enzi za StalinHajaishiwa ndio maisha yake yalivyo kwake, ila kwa mtazamo wa kimagharibi kaishiwa. Niliwahi andika tatizo la rushwa, kutojali na wizi wa mali za umma kwa Urusi ni kubwa na lipo sana jeshini. Unategemea nini kwa nchi ambayo matajiri wake wakubwa karibia wote ni oligarchies, nchi zingine kubwa utasikia huyu kakusanya mitaji kuanzisha kampuni ya magari ya umeme, huyu kaanzisha kampuni ya kuuza vitu online, huyu ana kampuni ya teknolojia ndio matajiri hao. Urusi matajiri wake ni huyu alibinafsishwa kampuni ya mafuta USSR ilipoanguka, huyu alibinafsishwa machimbo ya makaa ya mawe, huyu aluminium.
Urusi on paper ina vifaru vingi sana, doctrine yao ni kuwa na namba kubwa haijalishi performance na serviceability ikoje. Wana vifaru kama T-54 vimetengenezwa miaka ya 1950s kabla Stalin hajafariki na walifanya upgrade unakuta miaka ya 1960s ndio navyo wanahesabu. Wakati Ujerumani ina Marder IFV ambayo ya kwanza ilianza tumika 1971 (vifaru vya T-72 vimeitangulia Marder kutumika). Ujerumani imeshastaafisha Marder inaziona outdated ila ilizihifadhi kwenye maghala ya ndani. Wakati Urusi kwa T-72 ni vifaru havitarajiwi kuondoka, T-64 yenyewe bado inatumika. Au Ujerumani jinsi imeziondoa Gepard SPAAG jeshini inaziona za kizamani ila Ukraine imepewa na zimesaidia. Urusi yeye ndio wale watu wanatumia iPhone 7 hadi leo.
Maghala ya silaha ya Urusi mengine hayatunzwi kama haya na hivi vifaru kwenye makaratasi wanavihesabu, hapa wakienda ni kuongeza explosive reactive armour, electronics na marekebisho kadhaa kisha kuwapa wapiganajiView attachment 2574014View attachment 2574015
Poland ilipigwa kombora na nani?Na lilivyo pigwa kombora poland hao watu wako wa vikoba walifanya nini zaidi ya kumsema zele asiwachonganishe
Siku zote mtu akishakuwa shoga na akili zinatoka na marinda 🤣🤣🤣Kuna mtu kapaniki huku kazi ipo.
Kama haya mavyuma chakavu yenu mliyoacha mji mkuuMr. Machuma Chuma umerudi na maelezo Yako ya mavifaa... Haya Urusi wanavifaa vya Stalin huko.... Waambue manyato walete vya kisasa tuvichome na tknolojia ya zamani ya enzi za Stalin
Basi nitajie nchi gani jirani ya Russia iliyo mwanachama wa NATO imevamiwa. Nakutajia Georgia na Ukraine ambazo ni majirani wa Russia tena wanachama wa zamani wa Soviet block waliovamiwa na Russia.Hukunisoma niliposema jirani ambaye hana mgogoro na Russia!Hiyo line ungeielewa nadhani usingecomment hivyo!
Finland na Sweden hawana conflict na Russia!
Nukes hana Russia pekee,ila ikitokea nuclear war,majirani wa Russia ambao ni member wa NATO watashughulikiwa kwanza!
Kwenye nuclear war,hakuna mshindi,kila upande utaumia!
Fikiri kama inatokea nuclear war kati ya Russia na US,huyo Finland atatamani awe upande upi wa shilingi kati ya kuwa member wa NATO au a neutral state?
Umetumia vigezo gani kusema Finland anaimudu Urusi kivita bila nukes?Basi nitajie nchi gani jirani ya Russia iliyo mwanachama wa NATO imevamiwa. Nakutajia Georgia na Ukraine ambazo ni majirani wa Russia tena wanachama wa zamani wa Soviet block waliovamiwa na Russia.
Finland anatamani awe upande salama na ndiyo anajiunga kesho. Urusi kama inataka itumie nuclear itumie tuone kama itabaki. Vitisho vya nukes ndio vinafanya Finland yenye nguvu in conventional warfare iongeze guarantee ya ulinzi kwa kujiunga kwa wenye nukes. Otherwise, Finland single handedly inaimudu Urusi ukitoa nyuklia
Mkuu bado hujapata mpya au hujui kama tuko kuzazi kipyaKama haya mavyuma chakavu yenu mliyoacha mji mkuu View attachment 2575537
Pole bro.
Kaka umeandikaaaa[emoji119][emoji119][emoji119]Ha ha haa,
Urusi bana,ni kama imepiga jiwe moja lakini imeua ndege wengi vile!
Ni kitendo cha kujilinda,yaani dimilitalization,de nazidication na de natosification of Ukraine,lakini matokeo yake Sasa kimetokea kua kama kitendo Cha kulipiza kisasi dhidi ya marekani.nitaeleza.
Nayo Finlanda na Sweden ni kama wahalifu wawili waliokua wameketi sehemu pamoja na watu wema bila kujulikana kama hao wawili ni wahalifu.
Polisi walikua katika shughuli zao za kawaida wala hawakua wakiwa jua hao jamaa wawili ni wahalifu,lakini walipopita mbele Yao TU wahalifu wale wakakurupuka na kutoka nduki,ndipo polisi kwa kuona hivyo wakajua Hawa Wana jambo la kujibu,nao wakaanza kuwafatilia.
Iko hivi,Urusi wala haikua na mawazo,shida wala mgogoro wowote na Sweden na Finland.
Kwa mtazamo wangu,mara TU baada ya Urusi kuivamia Ukraine,Ni kama walipangwa hivi nao waombe uanachama wa NATO ili kuichanganya Urusi na kuitoa ktk malengo yake ya SMO.Lakini kwa bahati mbaya waliwakuta wacheza Chess walishausoma mchezo,Putin mara moja akasema Hana tatizo na akina Finland kujiunga na NATO.yeye tatizo lake ni Ukraine.Hapa nadhani mtego ulirukwa kikamilifu.
Sasa basi kosa la sweden na Finland kama wakijiunga na NATO ni moja nalo ni kubwa sana ni kwamba wwshaingizwa kwenye orodha ya nchi ambazo zitashambuliwa kwa nguvu zote na Urusi iwapo vita baina ya NATO na Urusi itatokea.jamani hili sio jambo dogo.Kabla ya kujiunga kama vita baina ya NATO kama ingetokea Urusi wala asingizifanya chochote Finland na nduguye.
Nakumbuka wakati wa mzozo wa Marekani kutaka kuweka mfumo wa rada nchini Romania na mfumo wa kutungua makombora nchini Checks, eti kwa ajili ya kujilinda ulaya na nchi korofi kama Korea Kaskazini na Iran.
Urusi ilizionya nchi m ili hizo kua zimekubali kuwa malengo ya silaha za maangamizi za Urusi kwa kukubali kuwekewa mifumo hiyo?
Maana Urusi ilisema kwa sababu silaha hizo ni kwa ajili ya Urusi,nayo Urusi itaelekeza silaha zake za maangamizi kwa nchi hizo.
Kwa kauli hiyo TU,wananchi wa n chi hizo wakaandamana kuwataka watawala wao waachane kabisa na mpango huo,nao ukasitishwa.
Tuachane na akina Finland.
Kwa Nini nasema alietaka kulinda mupaka yake (Urusi)Sasa ni kama analipiza kisasi.
Lengo la hii SMO ni kulinda mupaka yake,lakini Sasa,ama kwa kujipanga yaani kujua,ama kwa kutikujua huenda Urusi imepata nafasi ya kulipiza kisasi kwa kuanguka kwa USSR.
Kiksasi ni kisasi TU,kisasi sio lazima kifanane na ulivyomfanyia mtu.hata kumuaibisha TU ni kisasi wakati yeye alikudhurumu.huu ni mfano TU.
Kila nukiangalian OP hii inavyoenda nawaza pengini ni kitendo Cha kulipiza kisasi,ni kama muvie Fulani hivi la akili kubwa sana.
Nasa hivi kwa sababu.
Nchi nyingi zimeona double standard za west,hata raia wa west wenyewe wameona hivyo.
Kwamba akipigwa Palestine ni sawa lkn akipigwa Ukraine ni haramu.Hapa Urusi kafanukiwa kuichonganisha jumuiya ya west na jumuiya ya kiarabu Dunia nzima.
West kutaka afrika iitenge Urusi,waafrika wamegoma ,wamekumbuka visa vya west wakati wa ukoloni.
Hapa Urusi kacheza vizuri.
Marekani alizoea kutumia Dola kama silaha ,Urusi kafanikiwa kuifanya sehemu kubwa ya Dunia kuanza kuiepuka dola.matokea yake Dola inaenda kua Hela ya kawaida TU.
Uwezo wa NATO kijeshi.
Aisee hapa ndio penye utamu.
Unajua hesabu Huwa hazidanganyi.
Na hapa ndio Kuna swali ambalo Pro NATO hua hawataki kabisa kulisikia achilia mbali kulijibu.iko hivi.
Ukraine imepewa na inaendelea kupewa misaada ya Hali ya juu sana ya silaha,ujasusi wa kivita,fedha,uungwaji mikono,ushauri na Kila aina ya michango kutoka wataalqmu wabobevu wa fani zote kutoka nchi zinazoaminika sana hapa duniani kuanzia Wataalamu kutoka NATO,G7,EU,west Europe na Kila aina ya uchwara
Namba zinahoji hivi kama USA na NATO walienda kumpiga Saddam Hussein wa Iraq kwa kuivamia Kuwait,Kama NATO walienda kumpiga Sloboda wa Serbia Yugoslavia kwa kuwapiga Bosnia and Herzegovina na Kosovo,kama walienda kumpiga Muamar Gadafi alipowapiga wapinzani wake Libya.Bahati nzuri au mbaya zote hizo hazikua wanachama wa NATO lkn NATO walienda.Leo hii matukio yote hayo yanafanana kabisa na tukio la Ukraine.sasa NATO wanasubiri Nini kuingia vitani dhidi ya Urusi kwa staili ileile waliyotumia kwa nchi nilizozitaja?
Mfano wa kizembe kabisa katika smo hii.
Unaweza kuilinganisha halii hii hivi:
Uwezo wa kufikiri wa raisi wa Urusi,amewazidi Marais zaidi ya 30 wa west ktk smo hii.
Uwezo wa kufikiri wa Mkuu wa majeshi wa Urusi amewazidi wakuu wa majeshi wa nchi zaidi ya 30 ktk smo hii.
Uwezo wa kufikiri wa Mkuu wa ujasusi wa Urusi,amewazidi wakuu wa ujasusi wa nchi za NATO ktk smo hii.
Waziri wa fedha na uchumi wa Urusi wa kufikiri,amewazidi mawaziri wa fedha na uchumi wa west ktk smo hii.
Huuni mfano mwepesi TU lkn ukweli ni kwamba. USA na west wake walitaka
Putin atikiswe,hajatikiaika.
Jeshi lishundwe halijashindwa,
Mambo yavurugike,majasusi wa Urusi wamedhibiti.
Uchumi wa Urusi uvurugike,umevurugika wao.
Fedha ya Urusi ianguke,lkn imepanda thamani na Dola imeanza kupuuzwa..
Matokeo yake.
NATO kuonekana Haina faida.
USA ushawishi kuisha,
Dola kupoteza umaarufu,
Uchumi wa west kuanguka,
Na west kua nchi zisikokua na maana.
Balance of power kuja
Na kuibuka kwa Brics kidunia yaani nchi nyingi kujiunga.
Uonevu kuisha.
Marekani hatakaa avamie nchi yoyote tena kwani ataonekana alichokipongavkaa Urusi ni kipi na anachokifanya ni kipi.
Urusi kutaka kulinda mupaka yake imejikuta inaikimboa Dunia.
Yani bado mnatafuta chaka waambie waongelee maneno yao wakiwa kwenye hayo majengo ya utawala na si vinginevyoBakhmut bado pagumu Sana kwa wavamizi...
As Wagner chief claims "legal" control of Bakhmut - what can we determine from night-time video?
Jack Taylor, Sky News forensic journalist
Earlier we reported that Russia's paramilitary Wagner Group has claimed to hold "legal" control over the city of Bakhmut.
The claims were made in videos posted by Yevgeny Prigozhin, the group's leader, one of which shows soldiers raising Russian flags on the ruins of a building.
Ukraine has reacted by dismissing the claims and a spokesperson for the military said that Wagner fighters had "raised the flag over some kind of toilet".
Sky News has verified that part of the video was filmed by the Bakhmut City Council building. Distinctive markings on the building seen can be matched to other verified videos filmed by soldiers in the area.
Other surrounding buildings, rubble and trees can be matched to existing verified videos and satellite imagery.
This is a screenshot from part of the video that shows fighters raising flags on rubble that is claimed to be the ruins of the city council building.
This video, posted today and filmed in the day time, shows what is left of the building and the flags themselves.
This location is currently on the assessed frontline in Bakhmut, according to data from the Institute for the Study of War.
Ukrainian forces still control a large portion of the embattled city and fighting has continued for months.
This isn't the first time that the Wagner Group has claimed successes in Bakhmut.
On 3 March, Yevgeny Prigozhin claimed that they had "practically encircled" the city and has continually made similar claims.
Copy link