MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
"Vijana wenzetu acheni hizo mambo muweze kubana pumzi ubongo update hewa ufanye kazi kwa ufasaha"..... Nakazia hapa mkuu🛠️🛠️🛠️⚒️⚒️💉💉Ujue bora ukose Pesa, unaweza pata wasamalia wema wakakupatia. Ila mtu akikosa akili kisha akajikuta mjuaji siku zote huwa anaachwa na Upumbavu wake.
Nasoma zangu hapa comments nimeiona hiyo binafsi nimecheka sana, but kicheko cha masikitiko. That's why kila mda huwa nasema hawa wenzetu wana namna yao ya kufikiri ambayo haifanan na yetu. I mean wapo kwenye dunia yao full of illusions!
Finland weka mbali silaha iwe mshale, ama mkuki. Ni nchi yenye Idadi ya watu wachache kuliko Mkoa wa Dar es Salaam hapa Tanzania. Finland ina idadi ya watu takriban Mil 5.47
Hapo tumesema Idadi ya watu, So ni Jumla ya Wazee Vijana na watoto kwa pamoja. Ila kwa upande wa Russia tusizungumzie Idadi ya watu bali Total reserves ya wanaoweza kupigana endapo ikitangazwa Vita. Ni zaidi ya Mil 25.
Number hazidanganyi msemo wa lee van cliff
Idadi ya wapiganaji tu waliopo Russia ni almost five times ya Idadi yote ya watu waliopo Finland including Vijizee, Vijana hadi Vitoto. Bila hata kutumia Silaha ima bunduki wala mishale, kwamba wazichape ulingoni kama Mwakinyo na Mandonga bila kupepesa jicho ushajua nini kitajiri.
Population vs Fighters, 1 to 5 af bado kuna mtu anawaza mtoto wa miaka miwil, Mzee wa miaka 90, mama mwenye kijusi, wagonjwa, walemavu ambao ni katika wanaochangia idadi hiyo ya watu watamudu pambano la wapiganaji wa 5 kwa kila mmoja.
Kwamba kuna toto moja baada ya kuvuta alichovuta sijui ndio niseme milango iko wazi hawezi bana pumzi ikabaki mwilini kuleta afya ya akili anakurupuka anakuja sema eti "Russia bila Nukes" Finland pekee tu anam-mudu. Hivi wanawaza kwa kutumia nini ndugu zetu hawa?
Ok kama wana mmudu wamekimbilia NATO kufanya nn? Nukes? Ndani ya Europe zipo France na UK. Tena kwa idadi kisoda watazifanyia nini ndani ya huo Muungano? Kama France mwenyewe, Germany, UK, Poland... top dog hapo EU wanaogopa kukutana ana kwa ana na Russia. Finland atafanya nn?
Russia anatengeneza silaha zake mwenyewe, almost nchi zote EU ama ndani ya NATO ukizitoa zile top zinategemea silaha kwa manunuzi kutoka kwa shangazi yao US. Watafanya nini?
The farthest distance kutoka Russia ndani ya Europe ni UK, ambapo Russia anaweza fikisha madhara ndani ya dk 3-4 ukitokea Kaliningrad. Je hawa waliopo kikwapani watafanywa nini?
Mahaba ya upande flan kwa kila mtu yapo ila this is too much 😏, sijui ndio kuishiwa hoja comments nyingi kutoka kwao zimekua kama mipasho isiyo na uhalisia. Ni kutype ilimradi kiumbe kime'type.
Unajionaje mchambuzi kama Unashindwa tofautisha Politics vs Reality.
Matumizi mabaya ya mwili yanaharibu sana akili. Vijana wenzetu em acheni hizo mambo muweze kubana pumzi ubongo upate hewa ufanye kazi kwa ufasaha. Mnaboa sio siri nyie wazee!
siku russia ikiomba membership ujue colonialism itajirudia tena dunianinaskia na Urusi imeomba membership 😀 😀
naskia na Urusi imeomba membership 😀 😀
Duh! Masikini Putin [emoji848][emoji848]Putin wanted to 'slam NATO's door shut' but 'failed' - Stoltenberg
NATO Secretary-General Jens Stoltenberg has welcomed Finland to the military alliance by referring to the Ukraine war, saying: "At times like this, friends and allies are more important than ever."
Speaking at a news conference with Finnish President Sauli Niinistö, he said: "Finland now has the strongest friends and allies in the world.
"President Putin wanted to slam NATO's door shut.
"Today we showed the world that he failed - that aggression and intimidation do not work.
"Instead of less NATO, he has achieved the opposite - more NATO.
"And our door remains firmly open."
Mr Stoltenberg said the Finnish flag would be "raised at NATO's headquarters for the first time today - 31 flags will fly together, a symbol of our unity and our solidarity".
He said that joining the alliance is good for Finland, good for Nordic security and good for NATO as a whole.
He also said Finland had substantial and highly capable forces and years of experience working alongside NATO.
Mr Stoltenberg said he looked forward to welcoming Sweden as soon as possible.
He said Sweden had "delivered" on commitments it had made and nothing should hinder its final ratification as a member of NATO, describing it as a "top priority".
===========================
Poor Putin.....
https://news.sky.com/story/ukraine-...-wagner-12541713?postid=5732039#liveblog-body
Alafu akishapiga utafaidika na nini..?Kwanini urusi anashindwa kupiga nuklia ukraine?
Wanatapatapa kweli [emoji2]Russian foreign ministry issues bitter criticism of Finland's accession to NATO
From CNN's Darya Tarasova
The Russian Foreign Ministry issued a scathing condemnation of Finland’s accession to NATO, saying the Nordic country will not "influence any decisions."
"By joining NATO, Finland has given up on its unique identity and lost its independence, which for decades gave it a special status in international affairs. … Finland became a minor NATO member without the possibility to influence any decisions. It has lost its ability to have a say in international affairs,” it said in a statement.
The accession will have a "negative effect" on Russia and Finland's bilateral relations, the ministry added.
Earlier, Kremlin spokesman Dmitry Peskov warned that the move will force Moscow to "take counter-measures to ensure our own security, both tactically and strategically."
Vijana wakakamavu wa rais zelensiky wakiwa kazini!Ukrainian soldiers of the 'Da Vinci Wolves' battalion near the frontlines of Bakhmut
Ukrainian soldiers of the "Da Vinci Wolves" battalion fire artillery near the frontlines in Bakhmut, Ukraine.
Ukrainian soldiers of Da Vinci Wolves Battalion camouflage their artillery position on the frontline area amid the Russia-Ukraine war in Donetsk Oblast, Bakhmut, Ukraine on April 03, 2023.
Diego Herrera Carcedo | Anadolu Agency | Getty Images
Ukrainian soldiers of Da Vinci Wolves Battalion camouflage their artillery position on the frontline area amid the Russia-Ukraine war in Donetsk Oblast, Bakhmut, Ukraine on April 03, 2023.
Diego Herrera Carcedo | Anadolu Agency | Getty Images
Ukrainian soldiers of Da Vinci Wolves Battalion fire an artillery shell on the frontline area amid the Russia-Ukraine war in Donetsk Oblast, Bakhmut, Ukraine on April 03, 2023.
Diego Herrera Carcedo | Anadolu Agency | Getty Images
Ukrainian soldier of Da Vinci Wolves Battalion next to artillery shells inside a building near Bakhmut in Donetsk Oblast, Ukraine on April 3, 2023.
Diego Herrera Carcedo | Anadolu Agency | Getty Images
Ukrainian soldiers of Da Vinci Wolves Battalion carry artillery shells at their position on the frontline area amid the Russia-Ukraine war in Donetsk Oblast, Bakhmut, Ukraine on April 03, 2023.
Diego Herrera Carcedo | Anadolu Agency | Getty Images
Ukrainian soldiers of Da Vinci Wolves Battalion at his artillery position in the direction of Bakhmut, 3 April 2023
Diego Herrera Carcedo | Anadolu Agency | Getty Images
Ukrainian soldiers of Da Vinci Wolves Battalion firing artillery in the direction of Bakhmut, 3 April 2023.
Diego Herrera Carcedo | Anadolu Agency | Getty Images
=========================
Ukraine Da'Vinci heroes.....
kama kidume kweli kiambie kiguse nchi yeyote ile member na NATO kama hatavaa boxer kichwani.