kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Lakini je ni ugumu gani kutambua maazimio la Umoja wa Mataifa?ni vigumu kutenganisha matendo ya USA na NATO !!!
Kuna kipindi mmarekani alijiona kama mungu mtu, Hali ilivyo sasa haamini macho yake
Baada ya Miaka 10 Sasa Meli Vita Za Kirusi Zatia Nanga Saudia
Naona Saudia Kaanza Kujielewa Kutoka Kufumbazwa na Lile Taifa lahovyo
View attachment 2577564
Hatimae kupitia hii SMO, Saudi Arabia [emoji1210] imekuwa nchi huru.
Safi sana...
Yaani katika huo muungano wa nato hakuna hata inchi moja iliyoweza kuunda kombora la hypersonic duuuuh urusi shikamoo
Good move, lakini itachukua muda au haitwezekana Saud Arabia kuicha Marekani.Marekani ndo mlinzi wa huo utawala. Ndo mmana Arab spring haikufika saudiaHatimae kupitia hii SMO, Saudi Arabia [emoji1210] imekuwa nchi huru.
Safi sana...
Good move, lakini itachukua muda au haitwezekana Saud Arabia kuicha Marekani.Marekani ndo mlinzi wa huo utawala. Ndo mmana Arab spring haikufika saudia
Itachukua muda gani wakati ndo ishatokeaGood move, lakini itachukua muda au haitwezekana Saud Arabia kuicha Marekani.Marekani ndo mlinzi wa huo utawala. Ndo mmana Arab spring haikufika saudia
SIdhani. Mbali na makombora ya Sam - silaha gani za Urusi ni bora?? Hakika si vifaru vile tulivyoona Ukraine.Russia atauza sana silaha na atapata deal nyingi sana hasa uarabuni kumbuka Iran watapokea ndge za Su-35 ambayo ni confirmed. Kwa kichapo Russia anachowatembezea NATO, Russia amedhihirisha NATO ni makaratasi uhalisia ni kama chama cha wakulima tu.
SIdhani. Mbali na makombora ya Sam - silaha gani za Urusi ni bora?? Hakika si vifaru vile tulivyoona Ukraine.
Ndege zao? Urusi haikuonyesha uwezo wa ndege zake katika vita hiyo, ndege zake nyingi zimebaki nje ya anga la Ukraine.
Menginevyo silaha nzito za Saudia hadi sasa hasa MArekani . kiasi kutoka Ufaransa, kidogo Uingereza, Uswidi...
Kirusi: TOS-1A pekee.Vifaa vidogo kutoka China. Ndege zote na pia roketi kubwa kutoka Marekani na Ufaransa.
Hata Kinzhal haikuonyesha mafanikio (maana nje ya Jamiiforums na propaganda iliyolipiwa na Moscow hakuna anayeamini hadithi ya handaki mita 130 chini ya ardhhi...)
Ndo keshaiacha Sasa,!Good move, lakini itachukua muda au haitwezekana Saud Arabia kuicha Marekani.Marekani ndo mlinzi wa huo utawala. Ndo mmana Arab spring haikufika saudia
Hiyo Unayo iita Arab Spring Muhusika wahayo yote nihuyo huyo MarekaniGood move, lakini itachukua muda au haitwezekana Saud Arabia kuicha Marekani.Marekani ndo mlinzi wa huo utawala. Ndo mmana Arab spring haikufika saudia