kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
TipooooWazee wa bakhumut kuzungukwa mpooooooooooooo [emoji16][emoji1787][emoji28]View attachment 2579333
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Safi sana kijana wangu agiza gahawa hapo malipo kwanguKama atatishia usalama wa Russia
Mwambie aweke base na nyuklia haachwi mtu. Nikiwa kama kamanda wa Russia hapa naongea
In total, the following industrial facilities in the city are under Wagner’s controlKazi inaendelea [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]
[emoji298] An aerial reconnaissance unit of the Ukrainian State Border Guard Service has destroyed an ammunition depot and an Ural truck of the russian army on the Svatove axis.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Urusi labda ajilinde mwenyewe maana kila siku nchini kwake milipuko haiishi, uwezo wa kulinda wengine hana.Ndo keshaiacha Sasa,!
Kama ni ulinzi hata Urusi watamlinda,
Kama Maduro na Assad wanalindwa na Urusi Nini kitashindikana kwa ufalme wa Saudia?
Badilisheni mind set zenu,kua Marekani ndio Kila kitu .
Kwa maelezo yako hapa mtaaalam nashnagaa ni kwanin ukrain hajaimaliza vita hii.maaana sio kwa uchambuz huuSawa mwalimu kashasha!!!
Sasa jiulize "mnachinja" ama mnachinjana!? Na hii inamaanisha hamna utu Hata kwa wenzenu!! Tuwaiteje? Jichagulie jina tuwapime level yenu ya kufikiri.Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56]
.[emoji298] From February 24, 2022, to April 7, 2023, the Ukrainian Defense Forces eliminated 177,110 russian soldiers, including 480 people in the past day.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hakuna haja ya insha ndefu. Jibu ni halali au sio halali!?Mkuu usipinde habari. Mwanachama wa NATO alishambuliwa kutoka maeneo ya Afghanistan. Serikali ya Afghanistan ilikataa kuwakamata washambuliaji au kuwakabidhi kwa hao walioshambuliwa.
Naona namna jinsi NATO ilivyojibu haikuwa sawa lakini si ajabu. Katika sheria ya kimataifa tendo lilikubaliwa, ingawa hawakutumia busara.
Pia walijibu jinai kwa matendo yaliyoleta maumivu na vifo kwa watu wengi wasiohusika.
Mfano wako wa Tanzania ni ajabu. Tuwaze kundi linasababisha vifo vya watu elfu nyingi katika nchi fulani, ilhai linaandaa na kupanga shughuli hizo pale Shinyanga. Je serikali ya Tanzania itafanya nini kama jambo linajulikana? Itawakamata? Au itawatetea? Ikiwatetea si ajabu kama nchi iliyoshambuliwa itaingia kijeshi Tanzania . . . Utamlaumu nani??
Hujui hata ukisemacho!Urusi labda ajilinde mwenyewe maana kila siku nchini kwake milipuko haiishi, uwezo wa kulinda wengine hana.
Kiufupi urusi is done.
Kwani Russia atakua analinda milipuko isitokee ama anaulinda ufalme wa Saudia?Urusi labda ajilinde mwenyewe maana kila siku nchini kwake milipuko haiishi, uwezo wa kulinda wengine hana.
Kiufupi urusi is done.