Hahahahah zinakula mo faya tu 🤣🤣🤣! Wale wa kutaka ushahidi wapitie vidio hii!Warusi wamekwisha bipatia mwarobaini, ni kweli kinacho ungua ni kilorry kinacho tumika ku-launch HIMARS rockets ambazo hata zenyewe siku hizi zinatunguliwa kama nzi na ADS za Urusi baada ya kusifanyia uchunguzi wa kina kwenye maabara ya kijeshi mjini Moscow kwa zile zilizo tekwa au kuuziwa na wanajeshi wa Ukraine.
Kaunta offensive ilishamalizwa na ile Khinzal Hypersonic iliotwanga wana NATO uvunguni mwa handaki 😀😀😀Count-off-show[emoji23][emoji23][emoji23]
Makala ya NATO na CIA unategemea nini!!?Hizo ni propaganda tu za uongo, pitia vizuri hii makala hapa chini
TUJITEGEMEE T14 ArmataWhy Vladimir Putin couldn't have trained fighters in Africa - BBC report
A black and white image which some people falsely claim shows Russian president Vladimir Putin training liberation movements in southern Africa, has been circulclubofmozambique.com
kp kipanya44 HIMARS
Kipanya na +254 watapinga.Dunia Inaenda Mbio sana
na Ukweli sikuzote Utabakia Kuwa Ukweli
===========================
Ujerumani Imetuma Barua Kazaa kwa Mwamba Putin kuomba Kurudisha Uhusiano wake
na Kufungua Viwanda vyake vya Magari Urusi
Anaomba Kuhamisha na Kufungua Viwanda vyake Ndani ya Urusi
Maana Kaona Uchumi wake Unayumba
The Germans are asking the Kremlin to allow them to produce cars in Russia
The German publication Spegel reports that it has sent a three-page letter to Vladimir Putin with a proposal to resume cooperation.🤣🤣🤣🤣🤣
Uelewa wako wa maswala ya Kijeshi ni mdogo sana. Jasusi ni nani na mwanajeshi ni nani?Uongo mtupu....
Mzee Putin hakuwahi kuwa mwanajeshi ila afisa wa ujasusi tu.
Hahahahahah kaamua kujitekenya kidogoHivi huyu anamtisha Nani? SMO imeleta ufahamu kwa Nchi nyingi.
/ Navy ya Marekani yatuma submarine ya nyuklia iliyosheheni makombora hadi Mashariki ya Kati baada ya Saudi Arabia kufanya amani na Iran, Syria na Yemen.View attachment 2581875
Watu wamechomwa sindano za kuwafanya mashoga 😀😀😀Well said na hasa hapo Kwa uweled wa Putin.. nakazia bila Putin kuivamia Ukraine saiv tungekuwa sjui phase ya ngapi ya COVID-19!!!
Wewe umeongelea mwaka 1973.
Hebu tuambie Mwaka 1975 - 1977 Putin alikuwa wapi?
Kumbuka vita vya Angola baina ya MPLA na UNITA vilipiganwa miaka hiyo na USSR ilikuwa upande wa MPLA na mafunzo yao yalikuwa Tanzania.
Huku akina Samora na Mnangagwa wakiwa kambi ya Bagamoyo.
Hahahah huyu Zuzu kweli😀Ukiangalia Hii picha ya huyu Zuzu kwa Umakini utaelewa Kuwa BAKHMUT Hali sio NzuriView attachment 2582582
Mmehamia kwenye picha sasa 🤣 🤣 🤣 baada ya kuona Bhakmut inasepaMkuu nipe hiyo taarifa yako Putin alikuwepo mwaka gani hapa tz na Mimi nikupe fact kipindi hicho alikuwa wapi halafu ulinganishe uone
Dunia Inaenda Mbio sana
na Ukweli sikuzote Utabakia Kuwa Ukweli
===========================
Ujerumani Imetuma Barua Kazaa kwa Mwamba Putin kuomba Kurudisha Uhusiano wake
na Kufungua Viwanda vyake vya Magari Urusi
Anaomba Kuhamisha na Kufungua Viwanda vyake Ndani ya Urusi
Maana Kaona Uchumi wake Unayumba
The Germans are asking the Kremlin to allow them to produce cars in Russia
The German publication Spegel reports that it has sent a three-page letter to Vladimir Putin with a proposal to resume cooperation.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kilichokuwa kinafanywa na USA pale Iraq na Libya ilikuwa ni ugawaji wa afkeki au ice Cream?Kinachoendelea huko Ukraine ni bullying na uhalifu mkubwa.
Njaa haina baunsa aiseeDunia Inaenda Mbio sana
na Ukweli sikuzote Utabakia Kuwa Ukweli
===========================
Ujerumani Imetuma Barua Kazaa kwa Mwamba Putin kuomba Kurudisha Uhusiano wake
na Kufungua Viwanda vyake vya Magari Urusi
Anaomba Kuhamisha na Kufungua Viwanda vyake Ndani ya Urusi
Maana Kaona Uchumi wake Unayumba
The Germans are asking the Kremlin to allow them to produce cars in Russia
The German publication Spegel reports that it has sent a three-page letter to Vladimir Putin with a proposal to resume cooperation.🤣🤣🤣🤣🤣
Kilichokuwa kinafanywa na USA pale Iraq na Libya ilikuwa ni ugawaji wa afkeki au ice Cream?
Anaweza kua Sahihi.Jasusi now days sio lazima awe mwanajeshi kama zamani.Uelewa wako wa maswala ya Kijeshi ni mdogo sana. Jasusi ni nani na mwanajeshi ni nani?
Ushasema kichaa, mtu mwenye akili timamu hawezi acha fanya alichofanya Urusi kwa Ukraine. Jirani anayekuletea nyoka ndani ili ikuumize ni wa kumalizana nae mapema sana.Russia ni invader; hakuna vita hapo. The invaded anajititea dhidi ya invader. Fikiria kuwa kabla ya vita ya dunia, Tanganyika Rwanda na Burundi zilikuwa nchi moja ya Deutsch-Ostafrika Baada ya muda hizo zimekuwa ni nchi tatu tofauti, halafu anatokea kichaa mmoja akatumia nguvu ya kijeshi kuziteka nchi zote kuwa nchi moja. Kweli hiyo ni sahihi?
inasikitisha sana kwa kweli,, kumekuwa kama ghost city,, yote kayataka zele unakubali kushikwa masikio na wapumbavu matokeo yake kwako kunageuzwa uwanja wa kujaribia silaha,, huku wenzio kwao new York na los Angel's wakila bata..Muonekano wa mji wa Bakhmut baada ya kuangukia kwenye mikono ya Warusi.
Unaweza ukadhani labda warusi waliumwagia mafuta ya petrol kisha wakauchoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa Kwa Sasa anapambana kujiokoa[emoji1787] kule Crimea ni mahandaki kama yoteMkwara tu huo; hayo ni matanki ya kutishia tu hayana lolote. Kutoka Special Military Operation, Denazification and Demilitarization hadi kufikia kuwa Survival War ujue kuna mtu maji yamemfikia shingoni. Tulifundishwa kuwa usiwashe moto ambao huwezi kuuzima kwani unaweza kukuchoma wewe mwenyewe; Putin hakupata elimu hiyo.