Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,400
- 2,736
Hii inadhihirisha kuwa kumbe urusi anabigana na NATO kupitia ukreniHicho kitu kinashangaza, wanajeshi wa Ukraine wamekua trained & supported na NATO kwa miaka mingi, View attachment 2581425
View attachment 2581427
View attachment 2581466
Mafunzo yote waliyopewa na NATO, bado wanarudishwa nyuma na wafungwa wa wagner PMC wanaotolewa gerezani na kupewa mafunzo ya muda mfupi then wanaingia field.
Ukweli ni kwamba NATO ni chombo Cha Marekani kueneza maslahi yake, ulaya yote iko chini yake isipokuwa Mrusi ndo kikwazo. Ndo maama Macro anataka ulaya ijikomboeNATO iliundwa sababu ya Ussr (ambayo Urusi, Ukraine, Baltic States) zilikuwa sehemu yake.
Baada ya kusambaratika Ussr umuhimu wa NATO unaonekana hasa kwenye kuzuia migogoro ya kijeshi baina ya nchi washirika na kulinda maadili ya kidemokrasia miongoni mwa washirika, hili limeyavutua mataifa ya mashariki yanayojiona yapo kwenye kitisho cha Urusi ndio maana yamejiunga kwa wingi ili yawe salama.
Daaah mkuu Mimi nimekupa vielelezo vyangu unatakiwa wewe ulete hivyo vielelezo vyako vinavyoonyesha kuwa Putin aliingia jeshini lini??, Pia Mimi nimejaribu kutafuta kwenye vyombo vingi vya habari vya kuaminika sijaona tofauti na hiyo blog iliyotoa hiyo taarifa, sasa napata mashaka na uhakika wa hiyo habari, lakini kama Una vyonzo vingine vya habari vya kuaminika naomba link nitakushukuru Kwa hiloKwa hiyo akiwa na miaka 23 hawezi kuwa jeshini?
Halafu nimetaja miaka 23 kutokana na mtililiko wake wa elimu mpaka chuo kikuu, halafu aingie jeshini ajifunze amalize awe mkufunzi ndani ya umri huo, Siyo rahisiKwa hiyo akiwa na miaka 23 hawezi kuwa jeshini?
Hii inadhihirisha kuwa kumbe urusi anabigana na NATO kupitia ukreniHicho kitu kinashangaza, wanajeshi wa Ukraine wamekua trained & supported na NATO kwa miaka mingi, View attachment 2581425
View attachment 2581427
View attachment 2581466
Mafunzo yote waliyopewa na NATO, bado wanarudishwa nyuma na wafungwa wa wagner PMC wanaotolewa gerezani na kupewa mafunzo ya muda mfupi then wanaingia field.
Unaweza kufikiria ni India kumbe Russia ndio wana facilitate mchongo wote huo.India is buying record 200,000 barrels of diesel per day from #Russia and then selling to the EU at much higher price!
Safi sana.Uelewa wako wa maswala ya Kijeshi ni mdogo sana. Jasusi ni nani na mwanajeshi ni nani?
Kama kuna askari mtaani kwako waulize wakufunzi wao 80% wana vyeo gani,ukipata majibu itakusaidia kuongeza maarifa.Halafu nimetaja miaka 23 kutokana na mtililiko wake wa elimu mpaka chuo kikuu, halafu aingie jeshini ajifunze amalize awe mkufunzi ndani ya umri huo, Siyo rahisi
Mwandishi amesema kuwa alikuwa Tanzania akiwafundisha wapigania Uhuru mwaka 1973. Msumbiji ilipata Uhuru wake mwaka 1974 halafu Angola ikapata Uhuru mwaka 1975. Vile vile elewa kuwa Tanzania haikuwa na kambi za wapigania uhuru wa Angola; tulikuwa na wapigania uhuru wa Zimbabwe na wa Msumbiji tu. Hata wapigania uhuru wa SWAPO hawakuwa na kambi Tanzania ingawa makao yao makuu yalikuwa hapa Dar es Salaam. Halafu Angola ilipata Uhuru mwaka 1975. Kwa hiyo hangekuja kuwafundisha wapigania Uhuru wa Angola Bagamoyo mwaka huo wa 1975 unaodai wewe huku tayari nchi iko huru na hawana kambi hapa Bagamoyo.Wewe umeongelea mwaka 1973.
Hebu tuambie Mwaka 1975 - 1977 Putin alikuwa wapi?
Kumbuka vita vya Angola baina ya MPLA na UNITA vilipiganwa miaka hiyo na USSR ilikuwa upande wa MPLA na mafunzo yao yalikuwa Tanzania.
Huku akina Samora na Mnangagwa wakiwa kambi ya Bagamoyo.
Wewe jamaa bana,unatia aibu kwa kweli.Uongo mtupu....
Mzee Putin hakuwahi kuwa mwanajeshi ila afisa wa ujasusi tu.
kila goti litapigwa moscow-kuna mwambwa aliyasema hapa simkumbuki jina...kudosDunia Inaenda Mbio sana
na Ukweli sikuzote Utabakia Kuwa Ukweli
===========================
Ujerumani Imetuma Barua Kazaa kwa Mwamba Putin kuomba Kurudisha Uhusiano wake
na Kufungua Viwanda vyake vya Magari Urusi
Anaomba Kuhamisha na Kufungua Viwanda vyake Ndani ya Urusi
Maana Kaona Uchumi wake Unayumba
The Germans are asking the Kremlin to allow them to produce cars in Russia
The German publication Spegel reports that it has sent a three-page letter to Vladimir Putin with a proposal to resume cooperation.🤣🤣🤣🤣🤣
Na wewe pia kimbelembele; hiyo bio uliyoweka imenyesha wapi kuwa alikwenda Tanzania. Afterall inaonyesha kuwa alimaliza chuo mwaka 1975, kwa hiyo mwaka 1973 asingekuwa na sifa za kuwa mkufunzi wa mambo ya kijeshi kuja kufundisha Tanzania. Mwishoni mwa mwaka 1975 alijiunga na KGB kwa hiyo ilibidi apitie mafunzo mbalimbali ya ukachero na ya kijeshi, ambako alifeli mafunzo ya ukachero baada ya kukutwa ana poor judgement ya risk level. Kwa hiyo akawa ni ofisa wa KGB ambaye hakupewa mission risky akawa yuko makao makuu tu kwa muda mrefu sana. Poor judgement aliyoonekana nayo wakati huo ndiyo inayoleta hili balaa la Ukraine leo.Wewe nawe. Usipende kuwa kimbelembele
Hii hapa Biography ya matukio ya Putin. Niambie baafa ya 1975 alienda wapi?
View attachment 2582864
Wanaenda na mma.Maji yameshinda unga kiherehere yamemshinda kakubali kusema ukweli.
It is reported that the commander of the Bakhmut grouping of the Armed Forces of Ukraine Syrsky reported to Zelensky about the loss of control over two more blocks adjacent to the Bakhmut railway station, they will be able to hold the city of the Armed Forces of Ukraine for another week, there will simply be no further opportunity. Russian troops are simply leveling the fortified area in the west of Bakhmut, which was created by the Armed Forces of Ukraine in high-rise buildings, with the ground, which leads to heavy losses among the personnel. Syrsky himself complained about this earlier.
Wajerumani wanaona mbali sana, ndio maana katika Mataifa ya Ulaya Merikani uogopa Ujerumani na Urusi kuwa karibu sana katika nyanja za viwanda na nishati - wana wasi wasi kwamba hilo likitekelezeka basi Mataifa ya Ulaya yatajitosheleza hivyo hapatawepo na ulazima wa kuitegemea Merikani hata katika masuala ya Ulizi mwisho wa siku wataambiwa waondoe military bases zao barani Ulaya save Eastern Europe ie former Soviet Union Republics, hao ndio wataendelea kuzugwa na US kwamba Russians are coming consequently you need our military protection - lies of course.Dunia Inaenda Mbio sana
na Ukweli sikuzote Utabakia Kuwa Ukweli
===========================
Ujerumani Imetuma Barua Kazaa kwa Mwamba Putin kuomba Kurudisha Uhusiano wake
na Kufungua Viwanda vyake vya Magari Urusi
Anaomba Kuhamisha na Kufungua Viwanda vyake Ndani ya Urusi
Maana Kaona Uchumi wake Unayumba
The Germans are asking the Kremlin to allow them to produce cars in Russia
The German publication Spegel reports that it has sent a three-page letter to Vladimir Putin with a proposal to resume cooperation.🤣🤣🤣🤣🤣
Mchaw lughaA Kremlin-backed commander and former Russian-installed proxy official Alexander Khodakovsky said on April 8 that the Russian command has decided to almost completely halt the daily issue of ammunition to areas of the front where there are no active offensive operations.
Learn more: ISW: Russian forces using artillery to offset degraded offensive capabilities
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mzee naona unaandika tu bila hata kuwa na ukweli wowote.Mwandishi amesema kuwa alikuwa Tanzania akiwafundisha wapigania Uhuru mwaka 1973. Msumbiji ilipata Uhuru wake mwaka 1974 halafu Angola ikapata Uhuru mwaka 1975. Vile vile elewa kuwa Tanzania haikuwa na kambi za wapigania uhuru wa Angola; tulikuwa na wapigania uhuru wa Zimbabwe na wa Msumbiji tu. Hata wapigania uhuru wa SWAPO hawakuwa na kambi Tanzania ingawa makao yao makuu yalikuwa hapa Dar es Salaam. Halafu Angola ilipata Uhuru mwaka 1975. Kwa hiyo hangekuja kuwafundisha wapigania Uhuru wa Angola Bagamoyo mwaka huo wa 1975 unaodai wewe huku tayari nchi iko huru na hawana kambi hapa Bagamoyo.
Ingawa kweli Samora alikuwa anaishi Kaole baada ya Eduardo Mondlane kuuwawa Dar es Salaam hali iliyosbabisha yeye afichwe nje ya jiji kusikojulikana, Mnangangwa hakuwahi kuishi Bagamoyo; alipitia kwa muda mfupi sana wa kama mwezi mmoja mwanzoni mwa miaka ya sitini. Mwaka huo wa 1973 unaodiwa kwenye picha hiyo, Samora hakuwa anaishi Kaole tena na Mnangagawa yeye alikuwa yuko jela akitumikia kifungo cha maisha kwa takribani miaka kumi alikofungwa kuanzia nadhani mwaka 1966 hivi.
Stori yote kwenye picha hiyo ni ya kutunga tu.