US anajua kuwa Kiduku ni mwehu 😀 ukimbipu anapiga hajiulizi mara 2Unaambiwa moja ya nchi zilizo na political will ya kuchakazana na US ni North Korea. Hawamuogopi kabisa na hawana cha kupoteza. Ni tofauti na Russia na China ambao uwezo wao ni mkubwa kijeshi lakini hawana political will ya kupigana na US.
Ugali ulivyo mtamu ukajipeleke kwa Wagner kweli 😀😀😀Russia [emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
BREAKING NEWS YA KUSHANGAZA WANAJESHI WA UKRAINE 4000 WAMEKIMBIA KAMBI WAMEACHA SILAHA NZITO WALIZOPEWA NA NATO BILA KUPIGANA WAMEAMBIWA TUU NA WENYEJI WARUSI WANAKUJA WAKAVUA MAGWANDA WAKAJIMIX NA RAIA WEMA WAKALA KONA NDUKI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji3601]RUNFOR LIFE.... SASA WARUSI WAMEFIKA WANAZICHKUA CHA KUOKOTA SIO CHA KUIBA MPAKA VIFARU TOOOBA, JUMLA YA TANI 4500 ZA SILAHA NZITO NA KAMBI KUBWA YA JESHI WAMEACHA, WAMEENDA USWAHILINI??? I DONT KNOW
Warusi wanatisha
Nadhani sasa wataelewa pesa za kuendesha vita zinatoka wapi😂😂😂Kama kawaida mchina mzee wa dili ndo maana hua hapendi kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote. Tayari kaanza ku import mali kutoka maeneo yaliyokuwa annexed na Russia. Kampuni inanunua mzigo wa copper wa mabilioni halafu ukiifuatilia kampuni husika kazi yake official ni kutengeneza bidhaa za karatasi😀😀
Exclusive: Chinese firm imported copper from Russian-controlled part of Ukraine
A Chinese company bought at least $7.4 million worth of copper alloy ingots from a plant in a Russian-annexed region of Ukraine that is subject to Western sanctions, according to Russian customs data reviewed by Reuters.www.reuters.com
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Russia [emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
BREAKING NEWS YA KUSHANGAZA WANAJESHI WA UKRAINE 4000 WAMEKIMBIA KAMBI WAMEACHA SILAHA NZITO WALIZOPEWA NA NATO BILA KUPIGANA WAMEAMBIWA TUU NA WENYEJI WARUSI WANAKUJA WAKAVUA MAGWANDA WAKAJIMIX NA RAIA WEMA WAKALA KONA NDUKI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji3601]RUNFOR LIFE.... SASA WARUSI WAMEFIKA WANAZICHKUA CHA KUOKOTA SIO CHA KUIBA MPAKA VIFARU TOOOBA, JUMLA YA TANI 4500 ZA SILAHA NZITO NA KAMBI KUBWA YA JESHI WAMEACHA, WAMEENDA USWAHILINI??? I DONT KNOW
Warusi wanatisha
Ile kambi iliyotelekezwa hujapata taarifa zake?Tangu juzi tuliambiwa askari wa Ukraine wameanza kuondoka hapo bakhumut,hivi Hilo zoezi halijakamikilika mpaka muda huu??
Wapi mohamedidrisa789 [emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Imevunja rekodi ile, kambi nzima watu nduki hakuna na nani aliyebakiIle kambi iliyotelekezwa hujapata taarifa zake?
Samahani mkuu, ivi upo sawa sawa kweli ?Jana walichinjwa zaidi ya mia tano 🥱🥱🥱🥱View attachment 2589592
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwani Russia inapangiwa masharti nanani si nato wanasema Russia haikua na sababu yakuitwanga Ukraine ila mbona waitwangaMkuu NATO hawapangiwi masharti namna ya kuanza vita, ni kama Urusi ilivyoibuka ikaamua iende Ukraine. Ili NATO waingie kwenye vita haswa ni lazima Article 5 itumike na haijawahi tumika tangu wawepo. Ni pale member wa NATO atakapovamiwa na iliwahi tokea kwenye September 11 ndipo baadae wakajua ni magaidi. Urusi hajafanya chochote cha kupigwa na NATO ndio maana hawajamshambulia. Ukraine sio mwanachama.
Russia ni dhaifu mbele ya Marekani, achana na nuclear maana hiyo either ni draw au Russia kupigwa. Hakuna nuclear exchange itakayoleta matokeo ya Marekani kupigwa. Ukubwa wa Urusi unakuja kwa wengine hao Moldova sijui Georgia.
Kuhusu Vietnam. Marekani ilienda kufanyaje kule, na Vietnam ikafanyaje. Kilichoipeleka Marekani kule ni kuzuia influence ya Communists, sasa vipi Ukomunisti upo leo? Na hao USSR mababa wake wako wapi si ndio hawa hapa wanapigana leo. Sasa mshindi nani hapo. China yenyewe ilienda baada ya Marekani kutoka nayo ikafeli, wakati Marekani ilipokuwa kule ilikuwa inawapa mswada Vietcong.
USSR ilikuwa na utofauti mkubwa na US, moja ilifeli kwa muungano wa kugundisha nyingine ipo ndio superpower
[emoji298][emoji298] Ukraine is celebrating Easter with unshakable faith in its victory.[emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
USA Kule Kuna maskini tele wanalala nje hawana makazi kuhusiana na kutaka kujitenga hata North Ireland Wales wanataka kujitoa kwenye makucha ya UKHilo pori ninaposema ni Urusi wana eneo kubwa na republics maskini kibao kama Tuva kwa kina Shoigu. Maeneo uelekeo wa kwenda Mongolia sijui Tatar na Ulan Ude wana umaskini na hayajaendelezwa, kukosa rami kawaida na population ni sparse. Kwenye machimbo kidogo na gesi ndio kuna unafuu na yakiisha madini wanabaki na ghost towns. Siberia eneo kubwa. In short Russia is uneccessarily big na pupulation yake ya karibia milioni 150.
Sasa bado wanahangaika na Ukraine badala waendeleze nchi yao. Nani avamie yale mapori, Russia halisi iko Western uko St. Petersburg, karibia na kati uko Moscow na kusini kina Sochi. Mashariki uko Chechnya ndio maana walipigana kujitenga, ni kama hawapo.
Ukraine imevamiwa kwa sababu zilezile za kuivamia Georgia na ujinga wa Urusi ni kuvamia jirani tena waliokuwa nao Soviet block. Hutoona Marekani inaivamia Canada au Mexico
Bendera ya Urusi ni hii🇷🇺 sio hiyo unayoitumia mara kwa mara hapa jukwaaniRussia [emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
BREAKING NEWS YA KUSHANGAZA WANAJESHI WA UKRAINE 4000 WAMEKIMBIA KAMBI WAMEACHA SILAHA NZITO WALIZOPEWA NA NATO BILA KUPIGANA WAMEAMBIWA TUU NA WENYEJI WARUSI WANAKUJA WAKAVUA MAGWANDA WAKAJIMIX NA RAIA WEMA WAKALA KONA NDUKI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji3601]RUNFOR LIFE.... SASA WARUSI WAMEFIKA WANAZICHKUA CHA KUOKOTA SIO CHA KUIBA MPAKA VIFARU TOOOBA, JUMLA YA TANI 4500 ZA SILAHA NZITO NA KAMBI KUBWA YA JESHI WAMEACHA, WAMEENDA USWAHILINI??? I DONT KNOW
Warusi wanatisha
Heheheee Sasa Russia ikavamie Brazil imefanya nn yaani unataka Russia ianzishe vita kwakua wewe umependaUS hajavuruga Indo-Pacific. Japan, South Korea na Taiwan ziko bega kwa bega na US na zinafanya vizuri sana kiuchumi na kila kitu. Huwezi nitajia nchi tatu zilizokuzwa kiuchumi na Urusi dunia nzima.
Nchi inavamia majirani ingekuwa na uwezo si ingevamia nchi za mbali ila uzuri ndio uwezo haina. Kwa Urusi hii uwezo wa kuvamia mfano Brazil haina kabisa kabisa
Pole Sana boss hutakaa ushuhudie vita ndani ya Russia tenaUkraine sio superpower. Urusi ina utengano humo ndani yake, ni Congo ya Ulaya ile nguvu nyingi zinatumika kuiweka pamoja. Ikitetereka vita hii hapa
Achana nae huyo ni chizi kabisa hakuna anachokujia kuhusu vita.[emoji23][emoji23][emoji23]Heheheee Sasa Russia ikavamie Brazil imefanya nn yaani unataka Russia ianzishe vita kwakua wewe umependa