mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Ivi Cuba na Venezuela zipo karibu na nchi gani ?.Hilo pori ninaposema ni Urusi wana eneo kubwa na republics maskini kibao kama Tuva kwa kina Shoigu. Maeneo uelekeo wa kwenda Mongolia sijui Tatar na Ulan Ude wana umaskini na hayajaendelezwa, kukosa rami kawaida na population ni sparse. Kwenye machimbo kidogo na gesi ndio kuna unafuu na yakiisha madini wanabaki na ghost towns. Siberia eneo kubwa. In short Russia is uneccessarily big na pupulation yake ya karibia milioni 150.
Sasa bado wanahangaika na Ukraine badala waendeleze nchi yao. Nani avamie yale mapori, Russia halisi iko Western uko St. Petersburg, karibia na kati uko Moscow na kusini kina Sochi. Mashariki uko Chechnya ndio maana walipigana kujitenga, ni kama hawapo.
Ukraine imevamiwa kwa sababu zilezile za kuivamia Georgia na ujinga wa Urusi ni kuvamia jirani tena waliokuwa nao Soviet block. Hutoona Marekani inaivamia Canada au Mexico
Umetumia kigezo gani mpaka ukapata kuwa Urusi ni dhaifu mbele ya Marekani ?.Mkuu NATO hawapangiwi masharti namna ya kuanza vita, ni kama Urusi ilivyoibuka ikaamua iende Ukraine. Ili NATO waingie kwenye vita haswa ni lazima Article 5 itumike na haijawahi tumika tangu wawepo. Ni pale member wa NATO atakapovamiwa na iliwahi tokea kwenye September 11 ndipo baadae wakajua ni magaidi. Urusi hajafanya chochote cha kupigwa na NATO ndio maana hawajamshambulia. Ukraine sio mwanachama.
Russia ni dhaifu mbele ya Marekani, achana na nuclear maana hiyo either ni draw au Russia kupigwa. Hakuna nuclear exchange itakayoleta matokeo ya Marekani kupigwa. Ukubwa wa Urusi unakuja kwa wengine hao Moldova sijui Georgia.
Kuhusu Vietnam. Marekani ilienda kufanyaje kule, na Vietnam ikafanyaje. Kilichoipeleka Marekani kule ni kuzuia influence ya Communists, sasa vipi Ukomunisti upo leo? Na hao USSR mababa wake wako wapi si ndio hawa hapa wanapigana leo. Sasa mshindi nani hapo. China yenyewe ilienda baada ya Marekani kutoka nayo ikafeli, wakati Marekani ilipokuwa kule ilikuwa inawapa mswada Vietcong.
USSR ilikuwa na utofauti mkubwa na US, moja ilifeli kwa muungano wa kugundisha nyingine ipo ndio superpower
Umempa kweli asiyoipenda, Iran na Saudia zilikua maadui kisa Marekani,kazipatanisha Uchina, Taiwan na Main China zitakua maadui kisa Marekani, ila main china ipo makini na hilo, N.korea na S.Korea ni maadui...dalali ni Marekani, USSR ilikua umoja wenye nguvu tuu vzr, dalali alieivunja ni Marekani, wiki juzi Lavrov alikua Sudan kuwaweka sawa kuhusu masuala ya mafuta kwenye umoja wa Opec na ushirikiano dhidi ya vita vita vya ndani ya Sudan, walichokifanya Marekani wiki hii kinashangaza...Pole Sana boss hutakaa ushuhudie vita ndani ya Russia tena
Natoa mfano.... Ili uweze kuua wanajeshi wengi namna hiyo 500+.. ni lazima:Jana walichinjwa zaidi ya mia tano 🥱🥱🥱🥱View attachment 2589592
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwani lini nato walivamia [emoji635] kama wanao huo uwezo
Hahahahah jamani kumbe jeshi la ukrain limekimbia mapambano na kutelekeza silaha nyingi hivyo na vifaru vya kijeshi!!! Kumbe kibano ni kikali mno huko uwanjani
Waliochinjwa wap? Mtu unatoka tu pangoni na habari za kuchinjwa weka link au picha tuone.Jana walichinjwa zaidi ya mia tano 🥱🥱🥱🥱View attachment 2589592
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Uwe unaweka picha basi au kavideoo kama pro russia wanavyofanya sio kuleta vihabari havina hta sourceBalloon za super pawer zinashushwa tu
[emoji298][emoji298] Ukrainian soldiers shot down an enemy Su-25 aircraft yesterday[emoji298][emoji298].
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hao jamaa reasoning yao ni ya kutilia mashakaNatoa mfano.... Ili uweze kuua wanajeshi wengi namna hiyo 500+.. ni lazima:
1. Ushambulie kambi ya jeshi
2. Ushambulie msafara mkubwa wa jeshi
3. Uwe una advance na ku gain ground ndio utaweza kuua wanajeshi wengi.
Sasa katika hayo yote juu hayapo, hayajatokea na hatujayaona.
Sasa huyu kp kipanya44 sijui anapata wapi hizo number za wanajeshi kufa. Tena wanakufa kila siku.
Yaani kwa hesabu za kp kipanya44 at very minimum, Russia wanapoteza 15,000+ per month.
Haaaa....Raia akimshushia kipondo kizito askari wa Ukraine, wakati askari huyo alikuwa anataka kumkamata raia huyo ili ampeleke kinguvu kwenye uwanja wa vita.
View attachment 2587652
View attachment 2587653
Sio kuacha silaha tu Yaani jamaa wameacha mpaka PAMPASI zao kweli ugali mtamu😂😂😂😂😂😂Russia [emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
BREAKING NEWS YA KUSHANGAZA WANAJESHI WA UKRAINE 4000 WAMEKIMBIA KAMBI WAMEACHA SILAHA NZITO WALIZOPEWA NA NATO BILA KUPIGANA WAMEAMBIWA TUU NA WENYEJI WARUSI WANAKUJA WAKAVUA MAGWANDA WAKAJIMIX NA RAIA WEMA WAKALA KONA NDUKI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji3601]RUNFOR LIFE.... SASA WARUSI WAMEFIKA WANAZICHKUA CHA KUOKOTA SIO CHA KUIBA MPAKA VIFARU TOOOBA, JUMLA YA TANI 4500 ZA SILAHA NZITO NA KAMBI KUBWA YA JESHI WAMEACHA, WAMEENDA USWAHILINI??? I DONT KNOW
Warusi wanatisha
Huyo mwamba huwa ananiacha hoi na takwimu zake za mchongo[emoji4]Idadi inapungua tuu kutoka
1,000
900
800
700
Sasa ni
500
400......
Kwa trend hii usijeshangaa unaandika 17[emoji23][emoji23][emoji23] had 9
Usicheze na Russia akitia maguu sehemuKherson
Wamejichanganya na raia wakalala mbele. Wameacha tani 4500 za ammunition na tani zaidi ya 50 za silaha.
Maana mwenye uwezo wa kuhesabu ni yule anayepiga na kusogea kwa mwenzake sasa wewe unapigwa mpaka unatelekeza silaha bado unapata na uwezo wa kuhesabu wale unaoua upande wa pili inachanganya sanaHuyo mwamba huwa ananiacha hoi na takwimu zake za mchongo[emoji4]