Umeona video ya Jdam zilivyolipua ammunitions na wanajeshi wa Wagner hapo Bakhmut?Yeye kasema waliosema hivyo ni inteligency agencies za UK na US kupitia Western media. Ningetaka aonyeshe ushahidi wapi walisema hivyo, mimi ni nani kati yao. Mimi ni spokesman wa MI6, CIA au media outlet ya Western countries?
Pole baba yako atakapotuhumiwa na ICC kwa kuhoji unyama wa Marekani ndipo akili itakapokudia kuhusu undumilakuwili was ICCMtuhumiwa wa ICC aanza kupora mali.....
Russian President Vladimir Putin has signed a decree to take temporary control of the Russian assets of two foreign firms [File: Sputnik/Pavel Bednyakov/Pool via Reuters]
Kwahio mkuu unayoandika hapa yasitiliwe maanani?.Yeye kasema waliosema hivyo ni inteligency agencies za UK na US kupitia Western media. Ningetaka aonyeshe ushahidi wapi walisema hivyo, mimi ni nani kati yao. Mimi ni spokesman wa MI6, CIA au media outlet ya Western countries?
Mahaba baba duh, ila binafsi Urusi vita imemshinda ni kujitapatapa tuIts not accusation, the truth must be told[emoji23][emoji23] west wameanza kuona US anawapeleka cha kike...waliona US anavyolia Russia asiguse labs zake hapo Ukraine, yaelekea hapo Ukraine ndipo Covid ilikua inatengenezwa kwenye lab za US, leo hii ungekuta tupo pharse 10 na omicrom 3[emoji23][emoji23] Africa mikopo tungekua pharse 2 tunasubiria Pharse 3[emoji23][emoji23] Asante Mungu kwa kumuumbua "shetan US"
Sio kwamba US hana ujuzi wa silaha kali kama Russia bali US alikua amewekeza zaid kwenye biological weapons kona zote za dunia kwa nchi washirika zake...alikua ameshaplan akipga covid apige gonjwa jingine mfululizo uchumi wa dunia uanguke huku yeye akiendelea kutoa mikopo ya madawa na chanjo, lazima wote tungekua watumwa wa US milele..US aliwekeza zaidi kwenye silaha za maabara kuliko "leather weapon"
Hadi viongozi wa taasisi hizo wa ngazi za juu waliamua kujitoa kwenye nyadhifa zao baada ya mipango yao kuharibika kwenye operation ya kukimbiza wanazi, sanction zikazuia smooth procurement ya mpango wao...
Dr Fauci aliachia ngazi mwezi wa nane 2022 baada ya Military Operation ya Urusi kuonyesha kuwa US hana lolote atakaloweza tena kwenye mipango yao..Fauci aliona anafanya kazi mbofumbofu akaachia ngazi, maana labs walizokua wanazitegemea kuangusha nchi wanazoziita za kikomunist ndio zilikua zinapigwa UkrainView attachment 2599789View attachment 2599790
Covid ilianzia China baba, au ndo kuchanganyikiwa au mahaba? Urusi ni mbwa koko mbele ya mbabe USA ok, alafu kuchukia USA ww sio wakwanza soma historia bwashee kote USA aliweza faulu Russia amebanwa mbavu na Ukraine sio USA mbona unakimbia ukweli kaka?Its not accusation, the truth must be told[emoji23][emoji23] west wameanza kuona US anawapeleka cha kike...waliona US anavyolia Russia asiguse labs zake hapo Ukraine, yaelekea hapo Ukraine ndipo Covid ilikua inatengenezwa kwenye lab za US, leo hii ungekuta tupo pharse 10 na omicrom 3[emoji23][emoji23] Africa mikopo tungekua pharse 2 tunasubiria Pharse 3[emoji23][emoji23] Asante Mungu kwa kumuumbua "shetan US"
Sio kwamba US hana ujuzi wa silaha kali kama Russia bali US alikua amewekeza zaid kwenye biological weapons kona zote za dunia kwa nchi washirika zake...alikua ameshaplan akipga covid apige gonjwa jingine mfululizo uchumi wa dunia uanguke huku yeye akiendelea kutoa mikopo ya madawa na chanjo, lazima wote tungekua watumwa wa US milele..US aliwekeza zaidi kwenye silaha za maabara kuliko "leather weapon"
Hadi viongozi wa taasisi hizo wa ngazi za juu waliamua kujitoa kwenye nyadhifa zao baada ya mipango yao kuharibika kwenye operation ya kukimbiza wanazi, sanction zikazuia smooth procurement ya mpango wao...
Dr Fauci aliachia ngazi mwezi wa nane 2022 baada ya Military Operation ya Urusi kuonyesha kuwa US hana lolote atakaloweza tena kwenye mipango yao..Fauci aliona anafanya kazi mbofumbofu akaachia ngazi, maana labs walizokua wanazitegemea kuangusha nchi wanazoziita za kikomunist ndio zilikua zinapigwa UkrainView attachment 2599789View attachment 2599790
Mahaba baba duh, ila binafsi Urusi vita imemshinda ni kujitapatapa tu
Russia wako na waliopuuzwa wenzake duniani kama Iran, North Korea, etc, USA amepuuzwa na nani wakati hata nchi yako wanaomba msaada kwake na sio Urusi.Zingepuuzwa na ulimwengu basi asinge pata huungwaji mkono kutoka taifa lolote duniani.
Aliye puuzwa kwenye mgogoro huu ni Marekani maana hata mataifa yaliyo julikana ni vibaraka wake wamekataa kuburuzwa na Marekani kwenye mgogoro huu.
Kwa mawazo yako upo sawa. Lakini uhalisia huu hapaRussia wako na waliopuuzwa wenzake duniani kama Iran, North Korea, etc, USA amepuuzwa na nani wakati hata nchi yako wanaomba msaada kwake na sio Urusi.
Angepuuzwa USA tayari Urusi wangeshateka Ukraine tumia akili sio mahaba kaka
USA ndo itabaki imara zaidi ktk vita hii, wao wanatumia akili zaidi na ni nchi ambayo uwa inatumia figisu figisu iliibaki imara, Russia bado inajikusanya jikusanya but wawe makini sanaAmedandia mtumbwi wa vibwengo awamu hii. Watu washamchoka anakaziwa sana na mnyama dubu
Nimeona ila baadhi ya milblogger Warusi wanadai ni HIMARS. Kwamba JDAM hazijatumika pale.Umeona video ya Jdam zilivyolipua ammunitions na wanajeshi wa Wagner hapo Bakhmut?
Unaamini ktk ujinga huo? Tumieni akili ndugu sote tunapenda Russia but tushauri matumizi ya akili na sio ubabe, ubabe haitatuimarisha hata kidogo bali itatuacha dhaifu zaidi.Kwa mawazo yako upo sawa. Lakini uhalisia huu hapa
View attachment 2600037
♨️♨️♨️ BRICS NEW MAP
19 countries have applied to join the BRICS bloc ahead of the organization's next summit.
Currently, the BRICS contribute more to global economic growth than the G7.
Now, countries like Saudi Arabia, UAE and Iran are showing interest in joining the geopolitical bloc.
♨️♨️♨️
Supporter wa LGBTQ mnasumbua sana.USA ndo itabaki imara zaidi ktk vita hii, wao wanatumia akili zaidi na ni nchi ambayo uwa inatumia figisu figisu iliibaki imara, Russia bado inajikusanya jikusanya but wawe makini sana
Kipindi Nagasaki na Hiroshima inalipuliwa na atomic bombs babu yako alikuwa amezaliwa?Unaamini ktk ujinga huo? Tumieni akili ndugu sote tunapenda Russia but tushauri matumizi ya akili na sio ubabe, ubabe haitatuimarisha hata kidogo bali itatuacha dhaifu zaidi.
Leo tunasema vita ni kati ya Putin na USA but jiulize USA wako direct? No yeye ni mfadhili na anashirikiana na allies kutufanya dhaifu au hatuoni hili think tank wa Russia?