kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Wee dada mrembo uso tuu..jua ww ni mrembo uso tuu...vingine tusiandikie mate wakati tunaviona ulivyoviandika vinajidhihirisha... Fuatilia basi hata speech za babu yako Biden kuhusu Urusi then uje uandike kinachoakisi dunia, inaelekea unaishi ulimwengu wa pekeyako na hujui..USA na lengo awe kiranja wa dunia ok, so putin naye tumshauri atumie pale Ukraine ili awe kiranja wa dunia et make ndo anahusudu bt dunia ya leo sio ile 1945 ok mwambie Putin kwa vile ww uko naye karibu kwamba atumie akili kupambana na USA.
Malengo ya USA yanatimia kwa kasi ujue ila Putin haoni, wateja wakubwa wa gesi karibia wote walishamuacha au wako mbion kumtema kabisa, NATO wamefika mpakani mwake kiulani sana.
Ili ushike dunia ya leo ni akili not vita, unatakiwa uwekeze katika uchumi zaidi na sio vita rafiki yangu ok
Hawana uwezo wa kugeuza kilichotangazwa na OIC wakitaka wajitoe kama Ukrain alivyotangaza atajitoa, ku-insist ni sawa na kulalamika tuu bila actionKama vipi waanzishe Olympic yao - yetu hatuwataki
The United Kingdom and France’s sports ministers have insisted that Russian and Belarusian athletes must never compete as neutrals as recommended by the International Olympic Committee (IOC) because they could still be funded by their governments.
The IOC sanctioned Russia and Belarus after Moscow invaded Ukraine in February 2022 with Minsk’s support, but last month recommended that their athletes be allowed to return to international competition as neutrals.
Mimi naamini ni JDAM maana HIMARS rockets zake zina mlipuko mkubwa wa kupasua ila hazina moto mkubwa. Zinatoa tungsten steel rods ndogondogo, ni kama artillery shell ndio maana zinaitwa high mobility artillery rocket system.Huenda ikawa hivyo. Hilo eneo litakuwa limeua watu wengi kuliko kawaida
PropagandaWhen did Russia's war against Ukraine start? Spoiler: not in 2022. In fact, not even in 2014, when Russia annexed the Crimean Peninsula and invaded Ukraine's east.
Moscow has been trying (often successfully) to subjugate the territories that make up modern Ukraine for nearly 400 years. But some historians say that the seeds of Russian desire to dominate Ukraine were planted even earlier.
In the second episode of the "Ukraine's True History" series, we explain why Ukraine and Russia are far from being "brotherly nations," as Russian propaganda claims.
Watch here:
Read more here: https://kyivindependent.com/russias-c...
This material is funded by the Institute for War and Peace Reporting within the program “Ukraine Forward: Amplifying Analysis.”
The program is financed by the MATRA Programme of the Embassy of the Netherlands in Ukraine.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hii ndio maana ya International Cooperation...co hawa fundi mchundo wa west[emoji635][emoji1054] Experts from Russia and Brazil discussed scientific cooperation in the Arctic region at the Think Arctic — Think Global project session in Moscow.
The discussion covered the following issues:
[emoji3502]preserving indigenous peoples;
[emoji3502]studying natural processes and phenomena in the Arctic, ecology and nature conservation;
[emoji3502]adapting to climate change;
[emoji3502]energy cooperation for the development of “green” energy in the context of global energy transition;
[emoji3502]creating university consortia and developing cooperation within the concept of floating universities;
[emoji3502]economic cooperation between the two countries and within the BRICS.
The final session of the Think Arctic — Think Global project will be presented at the St. Petersburg International Economic Forum, where the participation of the Brazilian delegation is expected, Gregory Velikikh, Deputy CEO of the Roscongress Foundation, said.
Hiyo ni account ya pili ya kipanya[emoji16][emoji16][emoji16]Mwanamgambo wa Ukraine toka Burundi kaja kumsaidia kipanya baada kipigo kizito toka kwa Wagner Group [emoji1787]
Mchaw lugha[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️Xi is said to have delivered an ultimatum to Zelensky today. Presenting him with a choice: either to start the process now for a peaceful solution under the leadership of China, etc., or to up the ante, go on the offensive and provoke a nuclear war
Zelensky didn't give an answer, but he understood the signal...
If the British continue with the offensive, Xi's proposal for a peaceful case will no longer be relevant[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
Leo zele atalala na viatu maana amepiga hiyo simu Mara kadhaa xi hakupokea ila alivyopokea alichokutana nacho anakijua mwenyewe.[emoji95][emoji273][emoji95]
[emoji779]️Ukrainian and Chinese peace plans have found common ground, Zelensky's spokesman said
[emoji95][emoji273][emoji95]
😳😳😳😳USA ndo itabaki imara zaidi ktk vita hii, wao wanatumia akili zaidi na ni nchi ambayo uwa inatumia figisu figisu iliibaki imara, Russia bado inajikusanya jikusanya but wawe makini sana
🙄🙄USA na lengo awe kiranja wa dunia ok, so putin naye tumshauri atumie pale Ukraine ili awe kiranja wa dunia et make ndo anahusudu bt dunia ya leo sio ile 1945 ok mwambie Putin kwa vile ww uko naye karibu kwamba atumie akili kupambana na USA.
Malengo ya USA yanatimia kwa kasi ujue ila Putin haoni, wateja wakubwa wa gesi karibia wote walishamuacha au wako mbion kumtema kabisa, NATO wamefika mpakani mwake kiulani sana.
Ili ushike dunia ya leo ni akili not vita, unatakiwa uwekeze katika uchumi zaidi na sio vita rafiki yangu ok
Ukraine no more[emoji849][emoji849]
Mambo Ayo[emoji1]Russia to launch international payment system using Digital Currencies with 'no restrictions' - Russian Finance Minister
YAMEKUWA HAYO???Analysis officer wa kp
Ngoja aendelee kukaza fuvu mbuzi uyo[emoji4][emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️Zelensky after a snort of coke said after the conversation with Xi Jinping that peace will not be achieved through territorial compromises[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️