kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Sawa[emoji116][emoji116][emoji116]Russian forces control over 90% of #Bakhmut.
[emoji91]About 91% (3.7 sq km) of the city is under Russian control.
[emoji91]The remaining 9% are under Ukrainian control or in the gray area.
View attachment 2600680
Kwamba vita itaisha kimasihara😃😃😃😃Vita sio tunda la kimasihara mkuu[emoji38]
Na mamakoMliambiwa na nani?
Makasiliko yote eti kisa super pawer wa kwenye makaratasi kachakazwa,duh!Na mamako
Tupia hata kapicha basi kunogesha habari yako 😁🤣Wazee wa bakhumut kuzungukwa mpooooooooooooo [emoji16][emoji1787][emoji28]
Viktor Khorenko, Commander of the Special Operations Forces of Ukraine has visited Bakhmut, Donetsk Region, the hottest point of the front.
He checked out the current situation and talked with the soldiers of the Special Operations Forces units defending the city.
[emoji328]: Special Operations Forces press service
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wapi bakhmutJana walichinjwa zaidi ya mia sita🥱🥱🥱🥱 View attachment 2600201
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa mujibu wa mtaalam wa uchambuzi wa silaha.YAMEKUWA HAYO???
Huko bakhumut urusi amebaki kupapigia punyeto tu[emoji28][emoji23][emoji1787]Wapi bakhmut
Sawa[emoji28][emoji116]Tupia hata kapicha basi kunogesha habari yako [emoji16][emoji1787]
mkuu kwa upande wangu nawaomba wabakie tu ila kama wanatuletea matango pori aisee wasepe tuu bora tubakie vichwa humu ........kp kipanya44 akiondoka unakuwa mkutano wa wasapoti Urusi JF sio.....
Ok bossmkuu kwa upande wangu nawaomba wabakie tu ila kama wanatuletea matango pori aisee wasepe tuu bora tubakie vichwa humu ........
Ili tumzodoe tutupie screen short ya habr hiyo.Wakati unaandika uchambuzi wako humu kuwa Russia anatumia vifaa vya washing machine kutengeneza makombora ulikua upo ndotoni sasa ndio unaamka naona umeamua kukana hadi maandiko yako na ndio maana tukasema watu wa NATO sio wa kuwaamini alicho sema leo kesho anakana au ndio hamna marafiki wa kweli mnaangalia maslahi tu.
Kwahiyo nyinyi ndio wenye points.Mkuu achana naye huyo anakupotezea muda
Huna sababu ya kubishana na watoto kike' achana nae tunza heshima yako mkuu
Hivi ni nchi gani ya Africa na watu wake ukiwemo wewe inayoweza kujitegemea bila ya misaada ya wazungu??Nchi kuwa na wapumbavu kama ww ndo sababu ya kuishi kwa kutegemea misaada ya Marekani na mwenyewe anahitaji muendelee kuwa wapumbavu zaidi ili muendelee kuwategemea.