Nia yangu ni kutoa taarifa ya Vita inavyoendelea,kama umepata hiyo knowledge inatosha,kwanza mimi sio mtu wa NGWINI mkuu,I am a scientist.Bado upo vile vile nchi huwa refered kama Mother/motherland hiyo possessive pronoun haijakaa mahala pake.
Kwa nini wahusika wanakana kushambulia na hio drone?.View attachment 2612035Lazima utukane, hoja huna na hujui mambo. Ukimaliza hapo njoo na propaganda. Si mlisema Russia ina air defence system nzuri?
Sasa mbona hata kulinda ikulu hamuwezi View attachment 2612036
Naomba link yahii tarifa mkuu."I congratulate the Ukrainian people on a historic event," Oleshchuk said. "Yes, we have shot down the 'unique' Kinzhal.
Aivamie Ukraine akose mradi wa gas wa Nord Stream 2?..NATO walishamwambia Putin very clear,hawezi pata vyote,achague kimoja,aivamie Ukraine akose Nord Stream 2 au aachane na Ukraine inversion abakize Nord stream 2.
Unafikiri Putin ni mjinga hivyo akose mradi utaofaidisha genereations sababu ya vita Ukraine.
Kila kitu ni leverage boss sio ubabe wa kijinga mnaoupigania huku usio na kichwa wala miguu.
Leo Sergei Lavrov amesema baadhi ya wanajeshi waliokuwa mpakani Ukraine wameanza safari ya kurudi kambini,Hata satellites za Marekani wame confirm movements za wanajeshi ku withdraw.
Vita sio lelemama aisee
Habari za humu jukwaani ni kipindi kirefu nimekuwa sifatilii vita hivi na sasa hivi natarajia kuwa nanyi kwenye mijadala!!Huna hoja kaa kitako uleee wajukuu kama wewe huwezi jibizana na watoto.
Halafu maneno shombo uwe na tahadhar nayo haswa.
Tuoneshe ushahidi ili tumpinge kwamba yeye ni muongo ukishindwa huna hiyo point.
Tupe link.Engineer wa Russia alisema hakuna Air defense system inayoweza kutungua Kinzal, imekuja kutunguliwa na Kombora ya 90s
Hatuwezi kurudi zaidi ya page miambili kutafuta hio habari, lakini lazima ujiulize Kwa nini hawasemi HIMARS ndio aliandika habari hio lakini wewe mkuu?.Hilo suala la washing machines nishaomba mlilete na hamna. Mtabadilisha ID mara kibao ila superpower uchwara anawakatisha tamaa
Nina wasiwasi na IQ yako Wenda haipo vizuri.Hilo suala la washing machines nishaomba mlilete na hamna. Mtabadilisha ID mara kibao ila superpower uchwara anawakatisha tamaa
Naomba link yahii tarifa mkuu.
Karibu mkuu, [emoji2936]Habari za humu jukwaani ni kipindi kirefu nimekuwa sifatilii vita hivi na sasa hivi natarajia kuwa nanyi kwenye mijadala!!
Yani mnamezeshwa propaganda za kipumbavu mpaka basi!Ukraine watungua hypersonic missile ya Urusi kwa kutumia patriot missile air defence.
Mnamo tarehe 4 may jeshi la anga la Ukraine kupitia msemaji wake Mykola Oleshchuk limesema limefanikiwa kutungua kombola la kh-47 lenye ranga ya km 2000(mile 1250) na speed ya mach 10 (mara kumi ya sauti)kwa kutumia patriot ADs ya Kimarekani.kombola hili kenye sifa ya kasi na uzito mkubwa linaweza kuharibu milima au hata bunkers.kombola hilo lilirusha kutoka kwenye ndege ya mig-31k kuelekea mji mkuu wa Kyiv.
mpaka sasa kulikuwa hakuna mfumo maalumu wa kutungua aina hii ya makombola hivyo inakuwa ni hatua kubwa sana kufikiwa hususani na jeshi la ukraine.
source;Al jazeera,Politico,The week and Telegram
Hahahahahaha huyoo mwamba huwa ananifurahisha mnooo na uchambuzi wake, ukisoma anachoandika unaweza sema ni kamanda mkubwa mno wa NATO tena yuko mstari wa mbele wa mapigano, kumbe yuko zake Tanzania ametuliaWewe jamaa fix sana.
Yaani upo huku Manzese, halafu eti unajua kwa undani President Putin anapolala.
Au uwaga mnalala pamoja...