Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🤣🤣
Urusi hawezi kudumu kwenye vita dhidi Marekani hata kwa mwezi mmoja. Ukraine wanapewa silaha za miaka ya 90 huko na wanatoa jasho Urusi. Bwebwe nyingi kumbe hamna kitu.
 
Huyo jamaa ni kiazi kweli.Yaani anafikiri duniani watu wote watamsujudia huyo Marekani.Duniani kuna watu 8 billion..zaidi ya asilimia 95% wanaishi kwenye nchi zao.na maisha yanaenda...Anataka watu wote wakajirundike US...au??Washahili wanasema pilipili usioila yakuwashia nini...huyo jamaa anavyowasema warusi sijui maisha mabaya utafikiri wao wamemwambia wanatamani kuishi US....
Huyo jamaa hata usimjibu kabisa...hajielewi
 
Kwani nani kasema Marekani ni Mungu na hakosei?
Kwahiyo mlitaka Marekani asiwahi kosea, na akikosea makosa yake mliyalinganishe sawa na Russia hata kama hayafanani kabisa.

Russia ina fleets tano za Navy, mwaka jana Ukraine imezamisha flagship ya fleet mojawapo. Ni lini tangu uwepo wa Marekani flagship yake iliwahi zamishwa na adui?

Kosa la Marekani pale Yemen ni la kiintelijensia, kosa la Urusi kwenye Black Sea ni la kijeshi. Haijalishi una intelligence au huna ukiwa vitani na meli inamshambulia adui jirani na ardhi yake unajipanga kumkabili.

Kwahiyo umekubali kwamba Urusi ilionyesha udhaifu kijeshi sasa twende kwenye makosa ya Marekani kiintelijensia. Aya KGB ilikuwa wapi mpaka USSR wanagawana mbao, Putin anakimbia na mafaili kule Eastern Germany?
Unadhani CIA itakaa tu wakati kuna watu wanapanga kuivunja Marekani iwe vinchi vidogo.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russian strategic bombers took off. It is unknown how many planes according to Ukraine officials in Kiev
[emoji635][emoji123][emoji123][emoji123][emoji635][emoji635]
 
Ila hujaelezea failure ya Marekani pale Afghanistan?

Vipi kule Costa Rica inabaki most influenced country au 52 state of America?

Vipi kuhusu Mexico ni majirani zao lakini wanachukua mkindo tofauti na Marekani?

Halafu nga' nga' nga' utadhani America ni perfect?
 
Nikiwa kama msemaji wa jumuiya ya watengenezaji wa mafuta ya nazi hapa visiwani Zanzibar, nimefurahishwa sana na taarifa za kurudi katika uwanja wa vita kwa wanajeshi wa Chechen huko nchini Ukraine.

Mpaka jioni ya leo kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kiongozi mkuu wa chechen aitwae Ramazan kadyrov tayari ameshaigiza takribani lita 50,000 za mafuta ya nazi kupitia wazalishaji tofauti hapa ulimwenguni ikiwemo visiwa vya zanzibar.

Wanatafuta wafanyakazi watakaoweza kufikisha mzigo huo eneo lengwa, kwa mamlaka niliopewa nimeamua kumchagua kipanya.

au mwaonaje wadau?
 
Kwani USSR ilikua nchi Moja?.

Na vipi Kuivunja Russia iwe vinchi vidogo?.
 
Hilo zege lao walisahau kuchora Z kama wafanyavyo kwenye vifaru vilivyokufa kipindi cha vita vya dunia
Mkuu kajiridhishe tena.maana si kila taarifa(usiyoipenda/kufurahisha) ni propaganda.
Tumeona hata Himars na Jdams zinakiwa-jammed kwenye signal za GPS kwa 30+% na Urusi lakini kwa mtazamo wa aina yako ungeweza sema nayo ni propaganda kama ungekuwa upande pinzani(maana source ya mwanzo ni CNN)
 
Propaganda, tangu hizo AD za mchongo zije mbona hazikuwahi kutungua hypersonic,? Leo ghafla tu eti wametungu,sasa waendelee kutungua nyingine Ili tuone
Mkuu umesoma habari?
Patriot ADs zimekuwa deployed Ukraine hivi karibuni.
hapo mwanzo walikuwa wakitumia mifumo kama S-300,Buk ads,Nasams,Iris-T,Gepard ads ambazo hazikufua dafu dhidi ya makombola hayo.
 
Mbona poot in alikuwa akijidai kwamba hakuna ADs yeyote yenye uwezo wa kulitungua
Mkuu kwenye vita ,tambo na propaganda hazikosi rejea ule mfumo wa kuchoma(kutungua bila kutumia kombola) drone kwa kutumia reza (jina nimesahau)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…