Google chrome
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 2,287
- 12,856
Jamii forums kuna watu tunajua Physics na tunazitumia kwenye realworld applications tumetulia...
Narudia tena Hadi sasa hakuna proper Hypersonic cruise missiles kwenye Jeshi la nchi yoyote (Labda China, kwa sababu hawako kwenye vita, hatuwezi kuwapima).
All Balistic missiles are Hypersonic but they are not maneuverable, Russia walichofanya kwenye Khinzal wamebadili Iskanders missiles kuwa Air lunched wakaita Hypersonic cruise missiles.
Hypersonic cruise missiles are moving very fast, na kwa kinetic energy inakuwa nayo Material yake ya nje inapata heat kubwa sana ambayo inasababisha electronics zisifanye kazi vizuri.
Shit happens ila tunalinganisha matukio yanayofanana. Ukisema balozi wa Marekani aliuwawa pale Libya nasema balozi wa Urusi aliuwawa pale Uturuki mwaka 2016 akiwa kwenye exhibition.We jamaa michosho sana, kwahiyo unataka tudiscuss kitu ambacho hakijatokea tutapata jibu?
Umeshakubali Uss Cole na Sept 11 zilitokea kwa sababu mashirika ya kijasusi yali fail kuplay part yake kwa ukamilifu, sasa kama mashirika husika yanaweza kufail kwanini tuamini US haiwezi kuvunjika pia kwa mashirika husika kufail kufanya wajibu wao?
Shit happens bro haijalishi una uwezo kiasi gani ndo maana kwa mfano CIA unayosema haiwezi kukaa tu ikiangalia nchi ikiwa inavunjika vipande walikuwa wapi Balozi wao pale Benghazi anauawa? Si kila ofisi ya ubalozi kunakuwa na CIA asset ambae ni Chief of station au FBI walikuwa wapi wakati Commander in Chief ndugu Kennedy anauawa?
Umeshajihukumu kwamba US sio miungu so hoja zote zinasimamia hapo, hakuna mkali wa kila kitu na kila wakati. USSR sio Russia kwahiyo hapaswi kubebeshwa majukumu ya kuvunjika kwa USSR.
Na hata kama USSR ilivunjika inaweza kuwa matokeo ya kazi ya ndani na sio nje kama wengi mnavyotaka kuforce ionekane same goes na FSB kumuweka madarakani Trump.
Atulie hivyo Hivyo aendelee kunyolewa!ujinga wa Putin anafikiri ana silaha ambazo wengine hawana - ni kipigo cha mbwa koko, kifupi hatoboi. Huwezi kupigana vita mwaka na nusu sasa na ka nchi kama Ukraine, ni aibu.
End of it kila siku malalamiko ooohh NATO, ooohh US, ooooh watu wa Magharibi wabaya - dadeq
[emoji28]Kumbe watu mnahama kimya kimya uelekeo Crimea.
Sevastopol hapapoi, hapaboi, ni mwendo wa 911
Hilo wanalijua vizuri kwamba vilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56][emoji56][emoji56]Kumbe watu mnahama kimya kimya uelekeo Crimea.
Sevastopol hapapoi, hapaboi, ni mwendo wa 911
Naona kwa sasa Crimea inapokea kipigo kila siku, yaani wanapigwa kwa nyuma wakose pakukimbiliaHilo wanalijua vizuri kwamba vilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56][emoji56][emoji56]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
In order to avoid these, Putin must withdraw all his troops from another country's territory..,we will not be tired of fight for freedom!Let them continue giving them hopeless hope until the blood of the last Ukrainian is shed in the deadly battlefield. Not until then will the warmongers be fully satisfied with sacrificing countless lives of innocent people.
Hiyo ni electronic warfare, sio electronics industry. Electronic warfare ya Russia ni nzuri na platforms kama Krashukha zinafanya vizuri. Kati ya theater ambayo Russia wameonyesha uwezo mkubwa kuanzia mwishoni mwa 2022 ni uko.Electronic industry ya Russia kwa nini unasema ni dhaifu? Mbona imeonyesha capabilities nzuri sana kwenye uwanja wa vita hasa kwenye kudeal na western weapons?
ukianza na drones za Ukraine
View attachment 2612943
HIMARS zimekua jammed imepelekea kuwa na less efficient
View attachment 2612944
JDAMs zikawa jammed kuzifanya zimiss target
View attachment 2612946
Ni kukaa tiyari Ukraine haijulikani itaanzia wapiNaona kwa sasa Crimea inapokea kipigo kila siku, yaani wanapigwa kwa nyuma wakose pakukimbilia
Huu mchanganyo ni wa hatari sana.Ni kukaa tiyari Ukraine haijulikani itaanzia wapi
Mbuzi alichinjwa?Mbuzi wa Tambiko la kifalme,akiongoza parade ya kumsimika Mfalme Charles 111 jana. Mfalme wa Uingereza ndie pia Mkuu wa kanisa la Anglikani duniani. Waafrika wanaokataa na kudharau Mila na desturi zao kwa kisingizio cha Usomi, Uzungu,Dini na Utandawazi ,Wazungu hao hao wakiongozwa na Mfalme Charles 111 ,WAMEWAKANA kivitendo hadharani jana.
View attachment 2613212
Wapigwe tu!Huu mchanganyo ni wa hatari sana.
Na yaonesha ndani ya jeshi la Urusi kuna watu wanamwaga siri kwenda kwa maadui wa Urusi.
Naona Crimea na Blacksea imepigwa mara 5 jana,
Melitopol watu wameanza hamishwa
Zaporizhzhia haieleweki hadi wanaohusika na Nukes wamesema hawajui hali ikoje.
Kuna surprise inakuja