kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
😀😀Uhuru usivuke mipaka, kwamba Russia inaendeshwa kienyeji, mahaba yasikufanye uwe mjingaZile nchi haziendeshwi kienyeji kama Russia.
Unadhani unaweza kupeleka wanajeshi wa NATO vitani kinyemela bila ya wananchi wa nchi zao kujua!!??
Jana nilikuwepoleo T14 Armata yuko Live .... huenda ni kwa sababu ya hz ndege zilizodondoka leo...ila kuanzia kesho hatutamuona humu kama kawaida yake...atatuambia ratiba imemtait...kumbe hana cha kutuhub
Sema kichapo cha leo ni kikali una haki ya kuwewesekaUnaleta picha ya Zelensky hajawa hata Rais, Putin huyu hapa anatia hurumaView attachment 2619648
Urusi ni genge lile. Putin ndio alitangaza mwenyewe vita ya Ukraine bila Bunge, kumbe vita inamizidi uwezo sasa lawama kubwa anabeba yeye afadhali wengine wakitangaza vita peke yao huwa wana uwezo nayo.😀😀Uhuru usivuke mipaka, kwamba Russia inaendeshwa kienyeji, mahaba yasikufanye uwe mjinga
Papa huyu aliyebariki ndoa za jinsia moja?[emoji298]️President Zelensky met with Pope Francis for the first time since the war beganView attachment 2620654
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nonsense Acha uongoUrusi ni genge lile. Putin ndio alitangaza mwenyewe vita ya Ukraine bila Bunge, kumbe vita inamizidi uwezo sasa lawama kubwa anabeba yeye afadhali wengine wakitangaza vita peke yao huwa wana uwezo nayo.
Thatcher pale Argentina ilipovamia Falklands alitangazia vita bungeni na bunge lilipitisha. Putin yeye alikuwa hapa, akiongeza na mkwara mbuzi kwa atayejihusisha na Ukraine. "I decided to..."
Kwa msaada wa vikoba.Urusi ni genge lile. Putin ndio alitangaza mwenyewe vita ya Ukraine bila Bunge, kumbe vita inamizidi uwezo sasa lawama kubwa anabeba yeye afadhali wengine wakitangaza vita peke yao huwa wana uwezo nayo.
Thatcher pale Argentina ilipovamia Falklands alitangazia vita bungeni na bunge lilipitisha. Putin yeye alikuwa hapa, akiongeza na mkwara mbuzi kwa atayejihusisha na Ukraine. "I decided to..."
Kichapo kipi zaidi ya shambulio la jana kwenye mji wa Lughansik ambalo lilishambulia jengo la makazi na kujeruhi watoto sita?Jana nilikuwepo
Sema kichapo cha leo ni kikali una haki ya kuweweseka
Punguza ushabiki bunge liliidhinisha kabla ya uvamizi.Urusi ni genge lile. Putin ndio alitangaza mwenyewe vita ya Ukraine bila Bunge, kumbe vita inamizidi uwezo sasa lawama kubwa anabeba yeye afadhali wengine wakitangaza vita peke yao huwa wana uwezo nayo.
Thatcher pale Argentina ilipovamia Falklands alitangazia vita bungeni na bunge lilipitisha. Putin yeye alikuwa hapa, akiongeza na mkwara mbuzi kwa atayejihusisha na Ukraine. "I decided to..."
Mimi sipendi hegemony ya USA. Ila Pope Francis hajawahi kubariki ndoa za jinsia moja.Papa huyu aliyebariki ndoa za jinsia moja?
Kichapo kipi..??..hzo ndege kudondoka zenyewe au lile shambulio la jana kule Luhansk na kuuwa watoto..?...hv mbona F16/35..zimedondoka recently za kutosha yaani...na kuuwa watu wa kutosha...hv kula Alaska ni nani aliezishusha f16/35..??...au uhalali wa ndege kudondoka zenyewe uko kwenu...Su35,Su31 zikidondoka zimepigwa na ADSJana nilikuwepo
Sema kichapo cha leo ni kikali una haki ya kuweweseka
Anaongea akiwa wapi tupe taarifa basi.Syrskyi: Ukrainian troops moving forward in some areas of Bakhmut direction
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nguchiro kajificha Sochi[emoji298]️President Zelensky met with Pope Francis for the first time since the war beganView attachment 2620654
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unaongeleaje swala la kuondokewa kwa ndege 7 ndani ya siku 2Nonsense Acha uongo
Ulaya walikuwa wanasema munitions za Ukraine hasa za S-300 zinaisha mwezi huu ila take it with a grain of salt maana taarifa za kumpotosha adui aingie kichwa kichwa ni nyingi. Hata S-300 zikikosa at least hizi Western systems zipo ingawa sio backbone ya Ukrainian AD.
Urusi haina uwezo wa kufanya SEAD, ule muda iko busy Hostomel na VDV ingeutumia kuharibu AD na runways za Ukraine. Wana mifumo ya kizamani wale wazee kwenye MoD, wanashindwa fanya kitu kilifanywa na Israel mwaka 1967.
Mambo mengi yanatokea ila tunayaacha yapite. Last month Shoigu alivyoita drills za ghafla kwa Pacific fleet yule Admiral alistaafu wiki ileile drills zikiwa zinaendelea. Haitakiwi iwe vile ni sawa na ligi inaendelea alafu kocha eti mkataba umeisha.
Warusi wana silaha zinatakiwa zifanye vizuri ila kwenye trials wanapindisha ukweli, storage wanaiba, contractors wanatafuta faida kubwa yani kila hatua kuna kitu kinapunguza effectiveness. Hata air warning radars zao kina Volonezh kuna taarifa nimesoma zina cheap components kama transistors hivyo radar hazipo effective inavyotakiwa. Ni kama wakandarasi wetu wa halmashauri wanavyonunua taa za solar zenye maandishi sawa kwenye makaratasi na label ila in reality quality ni ya chini, mnunuaji na mtengenezaji wanakubaliana waandike vitu sio wagawane cha juu
Maji yatakorogeka very soon ngoja warudishwe nyuma afu kerch ipigwe
Kwamba hujatembelea hata kwa Warusi wenzako Twitter au Telegram?Kichapo kipi..??..hzo ndege kudondoka zenyewe au lile shambulio la jana kule Luhansk na kuuwa watoto..?...hv mbona F16/35..zimedondoka recently za kutosha yaani...na kuuwa watu wa kutosha...hv kula Alaska ni nani aliezishusha f16/35..??...au uhalali wa ndege kudondoka zenyewe uko kwenu...Su35,Su31 zikidondoka zimepigwa na ADS
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
SEMA Marekani ndo analazimisha vita iendelee,hii nivita kati ya NATO na Urusi.Chenga ya mwili alipigwa Putin, EGO pekee ndo inamsababisha Putin asisitishe hii vita.
Ila kashindwa, wanajeshi wake wengi hawaamini kabisa ila ndo hivyo wanafata amri.
Ile kwamba umevamia nchi afu Rais wa hiyo nchi yuko huru kusafiri kwenda nchi zingine mf leo yupo Italy kaondoka jana atarudi kesho, yaani siku 3 Zele yuko nje ya nchi yake na bado Urusi anapelekewa moto.
Binafsi naamini bila msimamo wa hiki kijamaa lazima Russia angekuwa amevamia nchi zingine.
Msimamo wake, uzalendo, hasira zimesababisha Ukraine iendelee kupigana