Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Uko sahihi sana Mkuu, tunaionea huruma Ukrane ila kwa sababu anatumika hakuna namna acha apigwe tu
 
Bado hujawaelewa vizuri, wengi wanashangilia kwa sababu US alishambulia nchi zenye waislam wengi na sasa na upande wa pili wa shilingi.
Binafsi ni pro Rusia lakini sijawi kuingiza Udini kwenye ushabiki wangu, nataka dunia iwe huru anayetaka kuungana na China sawa, kuungana Urusi sawa kuungana na Marekani na NATO yake sawa.

Urussi akishinda hii vita dunia itakuwa salama na yenye furaha sana.
 
Hivi vikwazo vita ikiisha leo, ndani ya mwezi tu vitakuwa lifted tu, hakuna namna.
 
There is a certain level of maturity and experience that both count in advising the government in tense situations. It is not that his excellence was ignorant of the Russian might when it comes to warfare, I can even add that, Russia hasn't demonstrated it's well sung military prowess that we used to hear about.
When you are pushed to the corner with no escape route, you are supposed to fight to the bitter end. This is Ukraine is trying to do, the essence of having a standby army is to fight in dire times just like this. Although Russia may be gaining victory on the battleground by destroying infrastructures, I assure you, this war has dented the image of Russian superiority to such as extent that, no one could ever thought of before the eruption of the war.
 

Kwa hiyo lengo lake ashambulie vituo vya USA ndani ya NATO kuficha aibu ya kushindwa kuteka Kievu, mzee umefikiria vizuri kwa hiki ulichokiandika.
 
Ngumu kumeza. Hawana namna lazima wameze!
 

Wana ma tabulalasa tu hamna kitu yanaweza kuzuia
 
Ukitaka kila nchi iwe huru kujiunga na yeyote? Kwa hiyo Ukraine ikitaka kujiunga na NATO???
Hii Ukraine inataka, hii NATO wamekataa hadi sasa na hii sababu ya Urusi kuvamia na kuua watu.
Hmmm, sasa wewe pro-Russia?
Mantiki inanishainda.
 
Ukitaka kila nchi iwe huru kujiunga na yeyote? Kwa hiyo Ukraine ikitaka kujiunga na NATO???
Hii Ukraine inataka, hii NATO wamekataa hadi sasa na hii sababu ya Urusi kuvamia na kuua watu.
Hmmm, sasa wewe pro-Russia?
Mantiki inanishainda.
Kumbuka Ukrane, Nato na Urussi kuna mkataba ambao waliuingia ambapo upande wa pili wanaokiuka.
 
😁😁😁 safi sana mkuu, ngoja niichimbue fasta.
 
Mionzi itakufikia tu japo kidogo.
Usiombe hii vita.

Mrusia akirusha USA naye anarusha yanakutana anga za Afrika. Lazima madhara yakukute.
Yanakutanaje anga za Africa acha sound mzee baba😂 yani mfano kama Arusha na Nairobi watumiane kombora halafu yakutanie anga la bagamoyo😂 hebu kuwa serious kidogo!

Hapo umetujumlisha mwamba😅
 
Ile Ngome ya Kijeshi ya Ukrain iliyoshambuliwa kwa mizinga zaidi ya 30 (kwa mujibu wa updates za CNN) leo karibu na mpaka wa Poland, waliouawa wamefikia 35 huku majeruhi 134 wakiwa taabani hospitali.

Ikumbukwe kuwa ngome hiyo ilikuwa ikitumika kwa mazoezi ya pamoja ya kijeshi kati ya Ukraine na NATO ikiwemo Marekani. Na Waziri wa Ulinzi wa Ukraine alisema mapema leo kuwa walimu wa kijeshi (military instructors) toka nchi za magharibi walikuwa wabo wakiendeleza shughuli zao hapo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…