Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mwanzoni Poland alikua ana kihelehele sana akiamini NATO wanaweza kuishinda Urusi kirahisi TU.
Lakini matokeo yake maghala Yao ya silaha yameisha na hakuna dalili Urusi kushindwa.
Leo Tena Poland kawa wa mwanzo kuitaka Ukraine imalize vita.
Tulisema mwanzo humu.

Putin hakukurupuka,

Urusi ilijipanga,

Nato imezoea kuonea vijidagaa,Sasa Leo imekutana na nyangumi.

Urusi sio Zimbabwe.

Putin ni mtakatifi,Urusi Kuna watu wanamuona anachelewesha mambo.
 
SMO iendeleee
 
Shoigu anashangaa, Ukraine wanasema wameintercept Missile nyingi kuliko hata Russia alizo launch, hizo idadi nyingine wametolea wapiView attachment 2625033View attachment 2625034
Ha ha haa aisee hii ni bonge la analysis.
Ni kama vile Warusi wamerusha kombora mbili kwa mfano,halafu Ukraine wanakwambia wamedungua kombora kumi na mbili.

Kumi hazijulikani zimetoka wapi.
Labda Alliens nao walirusha zao.
 

Haiwezekani kuangamiza silaha ya Patriot ya Marekani kwa kutumia "Dagger" ya Urusi - Ukraine​

Mwakilishi rasmi wa Kikosi cha Wanahewa wa jeshi wa Ukraine aliita "propaganda" taarifa za Wizara ya Ulinzi ya Urusi, usiku wa Mei 16, kwamba mfumo wa kombora wa kupambana na ndege wa Patriot wa Marekani uliangamizwa na shambulio la roketi huko Kiev.

Akizungumza kupitia chombo cha habari cha Kitaifa nchini Ukraine , Yuriy Ignat alihimiza "kutojali kuhusu hatima ya Patriot."

"Kuharibu mfumo na aina ya "Dagger", haiwezekani. Kwa hivyo, kila kitu wanachosema hapo, nadhani, kibaki kwenye kumbukumbu zao za uenezi," mwakilishi wa amri ya Kikosi cha Wanajeshi wa Kikosi cha Wanajeshi wa Ukraine alisema.
 
Hawajaona huo umuhimu maana Ukraine ana mmudu


Urusi kumbe hamna kitu
 
Hivi wanashindwa nini Kumuua yule kenge halafu tuanzie hapo
 
Uraàaaaaaaaa [emoji635]
 

Nimeshangaa sana kuona The suna wanasema Ukweli sikuhzi kweli hali ni mbaya
 
Wakati NATO wanasubiri Russia waishiwe silaha wao ndio kwanza Wana mipango yao mwingine[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Russia will ‘maximize’ arms production after treaty exit – ex-president Dmitry Medvedev said 'good riddance' after MPs backed the pullout from a treaty with NATO Russia will ‘maximize’ arms production after treaty exit – ex-president
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…