Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia [emoji635] anakua anaupiga wakutosha sanaaaaa
 
BREAKING:

[emoji845][emoji1255] Large-scale air alert throughout the territory of #Ukraine

[emoji845][emoji635][emoji3575] MiG-31K takeoff of the #Russian Air Force
JSC "Savasleyka", Russian Federation.

20:55 Moscow time

[emoji845][emoji635] The MiG-31K is a carrier of the Kh-47m2 #Kinzhal supersonic missile, which poses a threat to all regions of the country.

[emoji599] EVERYONE TO THE SHELTERS [emoji599] [Ukrainian media]

21:00 local time
 
Kwa nini waendeleze Ukoloni kwenye visiwa vya Chagos?

Hao Watu waliokubali kuwa koloni la Uingereza Wana asili gani?

Hii ina tofauti gani na ina maana gani?

Uingereza walivamia nchi zilizo mbali kabisa hazina hata Vinasaba nao.

Urusi ilichukua himaya baada ya kuwapiga Wamongoli.

Je, maeneo hayo zilikuwa nchi zinazo jitegemea?
Jibu ni hapana kwani ilikuwa nchi Moja chini ya Mongolia empire.

Sasa Kuna ubaya yeye kurithi maeneo baada ya kushinda Vita.

Je, Jamhuri ya Tuva haikuomba kujiunga yenyewe?
Huu nao Ukoloni?

By the way Uingereza ni mkoloni Toka kale mpaka Sasa.

Cheki hivi Visiwa anavyovishikiria

British overseas territories (formerly known as British dependent territories or Crown colonies) are: Anguilla; Bermuda; British Antarctic Territory; British Indian Ocean Territory; British Virgin Islands; Cayman Islands; Falkland Islands; Gibraltar; Montserrat; Pitcairn, Henderson, Ducie and Oeno Islands; St Helena and St Helena Dependencies (Ascension and Tristan da Cunha); South Georgia and South Sandwich Islands; Sovereign Base Areas of Akrotiri and Dhekelia (Cyprus); and The Turks & Caicos Islands (Foreign and Commonwealth Office: List of Crown Dependencies & Overseas Territories).
 
[emoji779]️Russia Welcomes Uganda [emoji1254] to Moscow - Foreign Ministers

Sergey Lavrov has been giving a press conference with his counterpart Jeje Odongo:

[emoji625]Africa a 'key player' in new world order - foreign policies will seek to compliment one another
[emoji625]Africa should solve its conflicts without unwanted interference
[emoji625]Uganda has launched its own satellite [emoji930]
[emoji625]Nuclear tech centre to be established in [emoji1254]
[emoji625]Advocate avoiding arms race in space, hope Africa supports initiative

Multipolar News @RT_India_official
 
Ukraine Military Support Running Out - FT

Western countries supporting Ukraine fear that military support provided to Ukraine will soon reach its limit, especially against the backdrop of the 2024 US presidential election, according to British newspaper the Financial Times.

The newspaper notes that Washington is now the main supplier of military aid to Kiev, but even US supply lines are in danger with a Politico report indicating only $6 billion is left of the $48 billion package Congress signed off on in December.

Subscribe to RT
 
Vp MKUU kaunta offensive iliishaanza ama badooo
 
Wanamgambo wa Ukraine wakikusanya maiti za wenzao baada kutandikwa na Wagner [emoji1787]
[emoji845][emoji1255]🪖[emoji88] Evacuation of wounded and dead Armed Forces of #Ukraine soldiers.View attachment 2626975
Hivi inashindikana kipindi Cha baadae kuitergrate mbinu za Wagner group kwa JKT au Suma JKT wetu wa bongo?
 
Mkuu inaelekea unafaidika sana na hila za Ulaya..

Makubaliano ya Urusi na NATO ni kwamba wasisogeleane mipakani ikiwa kila mmoja hataki kuhesimu sera za mwenzie...
Ulaya na US haijashika makubaliano hayo zaidi inajisogeza mipakani mwa Urusi kila kukicha

ULAYA imetumia mianya hyo kama silaha kwa zile nchi zinazokataa sera za kimagharibi ikiwemo kulazimisha ushoga, basi hupenyeza viongozi mamluki(puppet leaders) katika serikali zinazokinzana na sera zao, wakishindwa kuwaingiza kwa amani wanatumia (coup) kupindua serikali zilizopo madarakani kwa kisingizio cha udikteta..watatumia kufadhili upinzani ndani ya nchi yako au kuifadhili nchi jirani yako...

Kwa mfano EAC kuna nchi kama sio moja ni mbili zinafadhiliwa na serikali za ulaya na US kuleta taharuki ya hofu na machafuko kwa nchi jiran yake..hata wewe unalijua hili..
 
Naona sasa western wamemfahamu mrusi kwa uzuri maana walimu understatement sana kwa kutegemea michumachuma ya Patriot.
 

Wewe umesikia ila Russia hawajasikia na hawajui kinachoendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…