Vita mmarekani keshaingia Urusi anawatandika Barabara kwa vikwazo wa Russia kibao kwa maelfu wanakimbia Urusi kuwa wakimbizi nchi za iliyokuwa Urusi ya zamani wanakimbia hali ngumu ya maisha iliyosababishwa na vikwazoAjaribu aone
StupidPay what!!?.....
are you a looser
Ukweli ni kidogo tofauti. Wakati Marekani iliingia katika Iraki mara ya kwanza, majirani wote waliiomba maana aliwahi kuvamia Kuwait (kidogo kama Putin anavamia Ukrainbe, maana Saddam alisema Kuwait si nchi), wakati wa pili aliigia kwa uwongo, nchi nyingi za NATO zilikataa na kupibnga (mfano Ujerumani).US ni mfarakanishi, kwa sababu ana nguvu ndio maana anaweza kufanya jambo asiulizwe, lakini wenzake wakifanya anahoji na kuwapiga sanctions. Yeye akifanya mengi maovu, kaingilia Iraq kwa propaganda za mass destruction weapons, kwenda Afghanistan kwa kumtafuta bin Laden, kaenda Libya kumuua Gaddafi, yote kafanya na hakuna aliyenyanyua mdomo.
Watu tuna chuki na US sio poa.
Hata hiyo 17.5 ipo ndani ya Urusi,western wanapindisha pindisha tu kwa lengo la ku undermine.
FoolStupid
USA Walifikiri Russia ni kijiji, hiyo ni sawa na kukata mshipa mkubwa wa damu na kuiacha ikivuja na kudai kwamba uta survive.Unaambiaa marcedes wanahaha uko walidhani matajir wa Russia pekee inawahusu mpaka kwao hii inaitwa JINO KWA JINO hizi pesa zote wanapoteza kisa Siasa[emoji119]
View attachment 2149213
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko unakubali issue za kuua Mageneral tunapigwa???...Majenerali gani wanaenda uwanja wa vita. Kufanya nini sasa, hakuna General anaendesha kifaru wala ndege wala gari wala kurusha risasi. Sasa frontline anaenda kufanya nini
Uandishi wako mbovu, ndio maana hueleweki.Nimesema picha hiyo ni ya deputy wa head of 5th Service, ya msaidizi sijaipata mtandaoni (labda ulete screenshot ya video, ambayo sijaileta iko blurry na hiyo sio picha). Wewe unasema eti picha ni ya Head wa 5th Service. Hujui tofauti ya Head of... VS Deputy Head of...
Again, hufai kuwa mbishi
eee Bwana unajiita "metrician" (yaani mwenye kipimo) na huna habari za vipimo???? Orodha unalokosoa ni sahihi kabisa. Unajadili tena jambo ambalo huna habari.Hata hiyo 17.5 ipo ndani ya Urusi,western wanapindisha pindisha tu kwa lengo la ku undermine.
Ballistic missile zitakanusha 😊[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko unakubali issue za kuua Mageneral tunapigwa???...
Sema kwe hii vita kuna mengi bnafs najifunza.... Media zina Power sana.
Tuhuma flan inaeza sambaa mpk kufikia hatua ya kuikanusha yahtajika kazi ya ziada.
Hawajamwachia hata moja la akiba?Tayari wameshayatatua bila nyembe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu... Eti kala Rushwa dah [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] But naona kafanya vizuri kutojib kikwazo kwa kikwazo... na hyo ndo inaonesha maturity ya mtu tfaut na West walivopunic mpk kupiga biashara ya "Gongo" kupelekwa Russia.Nasubiria za kirusi halafu putin kala rushwa mbona hapigi vikwazo natamani aanze na mbolea