Bro unapanic sana. Go with fact bukhmut has fallen. OverWewe ndiye mpumbavu kabisa hambaye huna hata chembe ya akili kama unashindwa kumtambua chizi kama prigozhin, badala yake unashangilia mithili ya tahaira!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Utasubiri sn meli airport na haitafika.Kwa asilimia 90% inawezekana Warusi wakishirikiana na wachina wameshajua NATO hawana silaha za kuwatisha tena.
Hata nyuklia wanazojidai nazo utakuta wameshapata dawa yake hivyo wanawachora tu wajiingize mazima pale Ukraine wawafanyie surprise. Hiki ni kipindi muhimu sana kwa jamii ya wanadamu... Ninayo raha kuishi kipindi hiki nione shetani anavyoaibika
Vidonge vya Iodine na vingine. Nyakati hizi serikali yetu inatakiwa iwe na stoko ya kutosha watu million 100 ya vidonge hivi.nyuklia wanazojidai nazo utakuta wameshapata dawa yake hivyo
Pro-Russia & Pro-NATO, hebu jifunzeni kitu hapa kwa Elon & Medvedev. Hakuna sababu ya kuporomosha ^me-two-sea^ ili tu hoja yako ikubalike.Medved Replies To Elon Munsk on Twitter
ELON...Btw, how's it going in bakhmut?
MEDVED.....You asked me about Bakhmut..come and see for yourself![emoji1][emoji1]View attachment 2629312
huyo jamaa google isipotafsiri tu anakwambia tusi hilo sio poa.Acha ufala hilo sio tusi, waulize Waswahili wakufundishe wewe Zungu pori
Licha ya vidonge, unaweza kushangaa vikiibuka vita kubwa kati ya nato na wakomunisti alafu mabomu makubwa yote kutoka nato yakaharibiwa yakiwa kwenye anga zao wenyewe hivyo wakaanza kukaangwa kwa mionzi ya mabomu yao wenyewe.Vidonge vya Iodine. Nyakati hizi serikali yetu inatakiwa iwe na stoko ya kutosha watu million 100 ya vidonge hivi.
===
Iodine tablets will block the absorption of radioactive iodine by the thyroid gland and reduce the risk of you contracting cancer of the thyroid gland. Iodine tablets only provide protection against radioactive iodine and not against other radioactive substances.
Umshana si mzungu ni mzaramo wa kibahaUsimsahau Zungu pori Umshana
Kauli kubwa utasikia wanasema:Katika record sijaona silaha iliyomsumbua Urusi pale Ukraine alafu cha ajabu Putin na serikali yake hawana hofu kabisa ila wanaongea kwa kifupi sana kwamba, kila mtakacholeta tutakuharibu! Hii inaonesha anawajua nato kuliko wanavyojijua.
Kwa wapinzani wa Russia, asubuhi yao haipaswi kuanza na kahawa.Staftah njema bandugu View attachment 2629518
Halafu eti tunapeleka wanajeshi wetu for training Marekani au tunatumia American Millitary Advicers,upuuzi mtupu,Russia ndiye mwanaune bwana.This is a wake-up call,tupelekewa wanajeshi wetu Urusi for training,na Millitary Advicers wetu watoke Urusi..Kampuni ya Ulinzi imewafukuza NATO!! Maajabu hayeshi Dunia hii...! NATO ndiyo wakuiga mbinu za digidigi kweli kisa kampuni ya Ulinzi...!?
Mwanaume ka-pause na kikombe cha gahawa,sawa, una haki boss,mambo yako mazito.Staftah njema bandugu View attachment 2629518
ZerolenskyHatujaanza kuvitumia.
Vijana wakakamavu wa Kamanda Zelensky bado wapo masomoni (Ujerumani, Uingereza, USA, nk) kujifunza jinsi ya kuvitumia.
Utaviona kwenye counter offense inayokuja.
Km zinatumia gps bila shaka zitakua na madhara kidogo mnoWachambuzi, tuzijadili siraha mpya kwenye uwanja wa SMO-F 16 planes, je zitakua na impact gani?
Russia watakua damaged how far na meassures za kuzidhibiti ni zipi?