Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

πŸ‡·πŸ‡Ί πŸ‡΅πŸ‡± Speaker of the State Duma, Volodin:
"Poland must return the territories acquired as a result of the Second World War and reimburse Russia for the funds spent on it in the war and post-war years, "

According to estimates today, we are talking about more than $750 billion. πŸ‡΅πŸ‡± πŸ‡·πŸ‡Ί
 
Kweli kabisa Mkuu.
Na bado watu wengi sana hadi Sasa hivi bado wanaamini kua USA ndo Kila kitu.
Mkuu sijamwona mtu hapa anayeamini USA ni kila kitu.
Isipokuwa wako wanaoona Urusi kuwa kilele cha ustaarabu na utu, ambayo ni ajabu.
Nchi zote kubwa huwa na makosa, mazuri na mabaya mengi. Ila katika mfano tunaojadili ni Urusi aliyevunja amani na mikataba na kuanza mauaji mabaya.
 
URUSI yupo kwenye operation ya kuondoa mashoga karibu na mipaka yake.
 
 
Angepigan na bondia wa Ukraine/NATO asee ingenoga


UKRAINE HAWAPO TENA WASHAFYEKWA
 
[emoji298][emoji298]Speaking at the G7 summit in Japan on Sunday, Biden said the huge number would be β€œhard to make up” for the Kremlin as it faces the upcoming counteroffensive.

Speaking at the G7 summit in Japan on Sunday, Biden said the huge number would be β€œhard to make up” for the Kremlin as it faces the upcoming counteroffensive[emoji298].

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]President of Ukraine Volodymyr Zelensky and Prime Minister of Japan Fumio Kishida held a meeting in Hiroshima and discussed further steps to assist Ukraine on the part of the Japanese government, namely to bolster the material and technical capabilities of Ukraine’s Defense Forces.[emoji298][emoji298]


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
G7 ni Wapigaji wa Dunia.
 
Urusi wanatafuta sababu ya kumdunda huyu kiherehere ukizingatia nato anaowategemea wameshakata moto.

Marekani ndio huyo hakopesheki tena maana amekopa mno alafu badala awekeze, yeye anampelekea mhuni mmoja huko Ukraine anazichoma moto 😁😁
 
Viva RUSSIAN NATION [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji112][emoji112]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kipanya unachekesha sana kwa kweli.aliyepost video kuwa Bakhmut imeanguka yeye yupo front(Bakhmut).Zelensk anayekanusha, anakanusha akiwa Bakhmut sehemu gani?
Nyie ndio mnaonekana comedian [emoji28]



The Ukrainian military are advancing on the flanks in the suburbs of Bakhmut and are close to tactically encircling the city, Commander of the Ground Forces of the Armed Forces of Ukraine, Colonel General Oleksandr Syrskyi says.


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kila mtu anaamua kujiaibisha kwa namna yake.
Bwana Volodin anataka kurudisha maeneo yalikuwa sehemu za Poland baada ya Vita Kuu ya Pili. Hm, kurudisha kunamaanisha kuyarudisha kwa Ujerumani. (maana theluthi moja ya Poland ya leo ilikuwa nchi ya Ujerumani hadi 1945)
Ila Wajerumani walishakubali kwamba walishindwa kwenye vita na ameneo hayo yalipotea. Hawana hamu kuanzisha vurugu upya kwa kulipiza kisasi. Hawana nia kama Bwana Putin anayelia machozi kuhusu kuanguka kwa ukoloni wa Urusi wa zamani, akijaribu sasa kurudi nyuma katika historia kwa kushambulia Ukraine.

Kwa maneno yake Volodin anajaribu kuficha kumbukumbu ya jinai ya 1939 ambako USSR ilipatana na Ujerumani ya Hitler kushambulia na kugawa Poland. Baada ya ushindi wa Ujerumani kwenye Septemba 1939, USSR ilivamia na kutwaa zaidi ya nusu ya Poland, iliyofuatwa na mashambulio ya USSR dhidi ya Latvia, Estonia, Lithuania na Moldova. Yote yalikuwa koloni.
 
Kipanya mbona mbishi kuelewa.wote wanaowapa taarifa kuwa Bakhmut bado haijanguka wapo mbali na Bakhmut.sasa unapataje ujasiri wa kumbishia mtu anayetoa taarifa kutokea Bakhmut kwenyewe.

Swali jepesi tu.mpo Bakhmut mtaa gani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…