Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]The Third Assault Brigade of Ukraine’s Ground Forces cleared the area near Bakhmut that is 1,730m wide and 700m deep, pushing the enemy back.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
bampa tu bampa mpaka mtu akae chini....[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
keep up broo....
 
Kumbe. Nani anasema hii?
Media za magharibi zinaandika siku hizi kwamba PAtriot kuangamiza Kinzhal inabadilisha mwendo wa vita na tishio kuu kutoka Urusi.
Tujitahadhari kuamini kila propaganda (hii nasema kwa KILA UPANDE!)

Wewe ni LGBTQ

Na mara nyingi sana nimeshakukataa ku comment kwenye post zangu.

In short i don't like LGBTQ kwenye post zangu.
 
As usual Umshana unajaribu kuonyesha kwamba Urusi wana matatizo,na this time in their capacity to fight the Ukraine war because they have problems with tank repairs.But Umshana this is a problem of your own making I believe.Why? Because you are not in Russia and you do not know the real situation inside Russia because you are not in Russia! If what you are saying is true Umshana,Russia would not have fought the war so magnificently.
 
Mkuu sidai kujua hali ndani ya Urusi. Nadhani inasaidia kuangalia wanacholeta Ukraine na kujiuliza: kwa nini walianza kuleta bifaru vya zamani baada ya kushmbulia awali na modeli mpya zaidi?
Machoni pangu si kosa kuuliza kama wameishia vifaru vya kisasa.
Pia si kosa kujiuliza ni tekinolojia gani ya silaha ambako Urusi ilitegemea vifaa vya magharibi.
Kuona Urusi ina matatizo si kazi kubwa.
Ajabu ni sababu ya watu hapa JF wanaojaribu kudai eti upande mmoja (Urusi) haina hitilafu yoyote. 😎
 
Hapana sikuleta viongozi wa kikabila. Nimekutajia jina la Mieszko I aliyeanza kama mtawala wa kieneo akaendelea kuunganisha makabila mbalimbali akaunda ufalme wa Poland ulioendelea kwa karne nyingi.
Tena nilitaja kuimarishwa kwa dola la Poland chini yake na chini ya wafuasi wake.
Hayo yote wakati Moscow na Urusi havikuwepo.
Sasa umejisomea kidogo haraka-haraka unaleta majina ya miji na maeneo yenye historia ndefu ambako yalihamishwa kati ya Poland na madola ya Kijerumani, tangu 1918 au 1945 yako maeneo ya Poland.
HAyo yote haibadilishi ukweli wa kimsingi kwamba Poland ni taifa la zaidi ya miaka 1000.
Haibadilishi ukweli kwamba Poland iligawiwa 1776-1796 baina Urusi na Prussia na maeneo yake kuwa koloni za nchi hizo. Taifa la Poland liliendelea kwa karne moja bila dola hadi kurudishwa kwa Dola la Poland tangu 1918.
Haibadilishi ukweli kwamba Putin anajaribu kukamata tena maeneo yaliyokuwa makoloni ya Urusi zamani. Anaanza Ukraine na hapo sababu Poland inasimama imara sana upande wa ukraine kwa sababu wanaamini akifaulu pale, wenyewe watafuata.

Sasa ulilenga nini kwa maswali yako kuhusu Poland??
 
Tumedanganywa for too long mkuu.America iliamisha Ulimwengu kwa kutumia soft power kwamba ndiyo mwamba Ulimwenguni in everything,kumbe si chochote si lolote, debe shinda,mwamba mwenyewe yupo kanyamaza.Hii vita imetufundisha mengi sana.
Zile movie zao za kivita zilichangia sana kuamini usa ni super power na compurer tech za kutosha kumbe zero kabisa mbwa wale
 
Urusi anajitegemea kwa vifaaa vya kivita na izo shahid drones zimechukuliwa coz they're effective and cheaper than their weapons but wako vizur sana, Russia mpka sasa anapigana kwa mkono moja tu sasa unataka kuona kila kitu wakati hayuko kwenye vita, hii SMO
 
Zile movie zao za kivita zilichangia sana kuamini usa ni super power na compurer tech za kutosha kumbe zero kabisa mbwa wale
Yaani hawa jamaaa ukiwaskiliza utadhani wao ndo miungu hapa wakiona umegundua kitu wanakuponda na kukutoa dhamani ila wakiunda wao kelele mpka maiti anaskia. Ila nnacho amini ni kwamba madhali mpka leo marekani anategema sana engines ya rockets za Urus basi Urusi Anauwezo mkubwa sana maana ni nchi chache sana zenye huo uwezo.
 
Naona ingekuwa faraja kwa babu Putin kusikia kwamba angalau Afrika Mashariki kuna watu wanaoamini lugha yake ya "SMO", maana kwake nyumbani hakuna anayeiamini (na yeye mwenyewe haamini).
Ila ukiridhika kiongozi anapigania kwa mkono mmoja tu wakati vifaa vyake bora vinaharibika na askari wake bora wanakufa tu kwa sababu haleti silaha halisi na jeshi analoficha - amini tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…