Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mdogo wangu hebu acha kujiaibisha bhana. Na usilazimishe vitu ambavyo havipo mdogo wangu.

Lugha inakupiga chenga. Kwa kifupi Rus ni kabila kama yalivyo makabila mengine. Na mtu anaye toka nchi ya Russia anaitwa Rus.

 
[emoji298]️The training of Ukrainian pilots on the F-16 has already begun, EU High Representative of the EU Josep Borrell.

[emoji328]: AFP

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukisasa na haya mashule ya international yana hasara zake.
Nakerekwa sana .... Kuna madogo wananitumiaga meseji na hivyo vixx mara kavichanganya na namba .... Halafu ndio vinaona ujanja. Ni ujinga kama ujinga mwingine tu. Siku hizi wengi wao wamenyooka ni wanapiga simu tunongea ama wanatumia lugha iliyonyooka maana huwa nawakanya sana... Kama huwezi kuandikwa meseji tu vizuri nakusaidiaje ...hawajui haya mazoea ya kijinga ndio wanayapeleka mpaka kwenye maombi ya Kazi au Katika kazi yenyewe...au umemuunganisha na mtu .mpaka mtu anakuja kuuliza hivi huyu una uhakika naye ama..
 
Kwa nikupe kitu ambacho unaweza kuangalia mwenyewe. Mimi naijua, wewe unaijua, haina umuhimu kabisa kwa mambo tunayojadili. Usipoteze muda wetu.
Mdogo wangu wewe bado ni nyanya sana kwetu sisi nguli. Nakusihi hebu nenda shule kwanza.
Nenda kasome habari za Gallus Anonymus. Huyu ndiye mwandishi wa historia ya Poland.

Na wasomi wengi wanasema huenda huyo mtu alikuwa Mfaransa au Muitaliano.

Sasa nakusihi acha kuchuma chuma vi habari uchwara toka Wikipedia. Nitafute nikupatie vitabu usome.
 
Mdogo wangu hebu acha kujiaibisha bhana. Na usilazimishe vitu ambavyo havipo mdogo wangu.

Lugha inakupiga chenga. Kwa kifupi Rus ni kabila kama yalivyo makabila mengine. Na mtu anaye toka nchi ya Russia anaitwa Rus.

View attachment 2631131
Hakuna nchini Urusi anayejiita "Rus" . Wenyeji wa Urusi wanajiita "Russki" (русски, русские).
Ukiweza kusoma:
Ру́сские — восточнославянский народ
Русский народ сформировался из восточнославянских племён, объединившихся в период Древней Руси. Русский народ имеет многие общие исторические и культурные черты с другими европейскими народами, особенно с другими восточнославянскими народами — белорусами, украинцами и русинами. История русских тесно взаимосвязана с историей многих других народов, что способствовало распространению русского языка и русской культуры.
Putin na wenzake wanafundisha Rus kuwa mwanzo wa Urusi; mimi nasimama na hao wataalamu wengi wanaoona Rus ilikuwa mtangulizi wa mataifa tofauti yaani Ukraine na pia Urusi, na tangu kutokea kwa Belarus pia Belarus.
 
Maeneo yao yapi? Maeneo yao yapo upareni huko hata google map sina hakika kama inafanya kazi.
mkuu Tsh ...
mrusi ni hatari aisee tena sanaaa big up kwake..

mwanzoni tulikuwa tunaa minishwa kuwa marekani ndio supa pawa wa dunia .........lakini
kumbe supa pawa mwenyewe yupo zake kimya tu ana wazoom wanaojiita viongozi wa dunia .....kaonesha ubabe wake huko huko ulaya na hakuna anaethubutu kumgusa ..kama wakina libya akina iraq...
 
Mdogo wangu unasumbua sana. Hapa unaongea na mtu aliyekaa huko Urusi miaka mingi. Usilazimishe.
The word "Rus" has historical and cultural significance, and its meaning can vary depending on the context. Here are a few interpretations of the word:

1. Historical Region: The term "Rus" historically referred to a region in Eastern Europe inhabited by the East Slavs. It was the original territory of the medieval East Slavic tribes and eventually gave rise to the state of Kievan Rus, which played a significant role in the formation of modern-day Russia, Ukraine, and Belarus.

2. Russian People: In a broader sense, the term "Rus" can refer to the Russian people, their culture, and their language. It is often used as an alternative name for the people of Russia.

3. Nationality: The term "Rus" is used as a self-identification by people of Russian nationality.

 
mkuu asante sana na mimi umeni janjarusha nilikuwa sioni picha yaani mpaka keroo aisee asa hivi kamserereko...
 
mkuu huyo jamaa kama kwa maelezo haya na unampa na fact bado hakuelewi basi muache ana kuwaste yoo time ....mpuuze...
 
Binafsi nafuatilia mienendo ya Mchina boss. Yeye ndo ana sera za kimataifa zinazotugusa moja kwa moja na ndio anaonyesha ushindani wa uchumi nje ya Ulaya na USA.

Super power yoyote ana impact kwa Tanzania linapokuja suala la uchumi sio uwezo wa kivita. Uwezo wa kivita unamaslahi kwake zaidi ila sera za kimataifa zinazotokana na nguvu ya uchumi zinatugusa moja kwa moja.

Urusi ikiwa na nguvu ya kivita kuliko NATO na USA inaweza isituguse moja kwa moja kama mchina akifanikiwa kuwa na sauti katika uchumi kumzindi USA na NATO.
 
Halafu unapoongelea Rusyn unaogelea Ruthenia
The term "Ruthenia" is also used to describe the cultural and ethnic identity of the Rusyn people, who are an East Slavic minority residing primarily in Ukraine, Slovakia, Poland, and parts of Romania and Hungary. The Rusyns have their distinct language, traditions, and cultural heritage that are closely tied to the historical region of Ruthenia.
 
We nguli, unajitahidi sana kufanya copy-paste. Usisahau kushika nepi zako, zinateleza.
Collins si kitabu cha fani ya historia, ni Kimarekani.
Pamoja na majaribio ya kitoto kukana kwamba Poland kama taifa na ufalme ilitangulia Urusi kwa karne kadhaa (ambayo haina umuhimu kabisa kwa mambo tunayojadili), unakoroga supu ambayo haina utamu kabisa.
Tulia, tunza nepi zako, NGULI!!
 
[emoji779]️“It's only going to get worse from here. You have a choice – die or save your life,” Ukrainian Intelligence Chief, Major General Kyrylo Budanov addressed to the Russian military, urging them to surrender under protection of the Ukrainian program “I Wanto to Live“.

Budanov explained what Russian troops need to do to survive. Ukraine gives Russians a chance not to become senseless victims and return home alive.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji779]️“It's only going to get worse from here. You have a choice – die or save your life,” Ukrainian Intelligence Chief, Major General Kyrylo Budanov addressed to the Russian military, urging them to surrender under protection of the Ukrainian program “I Wanto to Live“.

Budanov explained what Russian troops need to do to survive. Ukraine gives Russians a chance not to become senseless victims and return home alive.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…