kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hawawezi kukubali ukweli au onesha sehemu walipo hao waukraine.Wazee wa bakhumut kuzungukwa mpooooooooooooo [emoji16][emoji1787][emoji28]
[emoji298][emoji298]Ukrainian forces are still fighting in Bakhmut, Deputy Defense Minister Hanna Maliar reported.
"The struggle for dominant heights continues on the flanks – the north and south of the suburbs," Maliar said. "Our fighters do not give the enemy the opportunity to gain a foothold there."
She noted that Russian forces are conducting a sweep of captured parts of Bakhmut, bringing in further reinforcements and supplies.[emoji298][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mfano hao hapa watoto Wapoland huko Tengeru kwenye mwaka 1946. Walikuwa na shule hukoMkuu unarukaruka. Kwanza unataka kusisitiza Poland ilikuwa doa dogo tu kwenye ramani (ilhali ilikuwa milki kubwa kabla ya kuundwa kwa Rus ya Kyiv na kuundwa kwa Utemi wa Moscow na kabla ya Ufalme wa Urusi)
halafu unasisitize kuhusu kitabu cha Gallus Anonymus;
mara ukiona mimi najua kitabu hiki (ilhali hakika wewe hujawahi kukiona!) unaanza sasa mambo ya Wapoland waliofaulu kuondoka kwenye makambi ya Urusi mnamo mwaka 1942 . . . .
Ndiyo hata historia hiyo najua kuliko wewe. Umewahi kutembelea makaburi ya Wapoland huko Tengeru / Arusha?
Mkuu, mambo si mambo huku,fungua tovuti ya BBC ujionee!!Aisee. Mkuu Kwani nini kinaendelea huko Ukraine?
Maana hiyo si aina ya statement unayoitegemea kutoka kwa watu walionyang'anywa maeneo.
Nasema hivi: ukitumia ufafanuzi wa "Superpower" kuwa na uwezi kushawishi asilimia 70 za nchi zote, maelezo yako ni sawa. Ila sidhani kwamba ni ufafanuzi unaokubaliwa na wataalamu wote.Mkuu, i wish ningejibu hii comment yako ila sijaelewa vizuri maelezo yako.
vp bukhmut mmefikia wapi kuizungukaWakuu, huenda kile kile kilichosusubiriwa kwa muda mrefu kama counteroffensive huu ndio mwanzo?
Stay tuned!View attachment 2631301
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Namaanisha kati ya wataalamu wote wa fani za historia au elimu ya siasa ya kimataifaMkuu, unaposema kukubaliwa kote unamaanisha nini?
Nasema hivi: ukitumia ufafanuzi wa "Superpower" kuwa na uwezi kushawishi asilimia 70 za nchi zote, maelezo yako ni sawa. Ila sidhani kwamba ni ufafanuzi unaokubaliwa na wataalamu wote.
Pia neno "Superpower" ni dhana lililobuniwa juzi tu. Kwa hiyo si rahisi kuitumia kwa historia ya zamani zaidi.
Lakini naona tukiitumia kama "nchi yenye uwezo na ushawishi mkuba kuliko zote", tunaweza kutumia lugha hii kwa Uingereza katika kipindi kabla ya Vita Kuu ya Kwanza.
Mara nyingi nakuuliza Ukraine anayepigwa na kukimbia anapata muda/uwezo upi wa kuhesabu maiti za warusi naona fikra zako zipo kifungoni sana.Hii ni Jana tu wakuu, zaidi ya mia Saba wamechinjwa 🥱🥱🥱View attachment 2631016
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa mdogo wangu hao walisafirishwa kuletwa huku na Soviet Union. Kumbe hujui duh?Mfano hao hapa watoto Wapoland huko Tengeru kwenye mwaka 1946. Walikuwa na shule huko
View attachment 2631292
Umaweza ukaweka proof ya jambo hili?Namaanisha kati ya wataalamu wote wa fani za historia au elimu ya siasa ya kimataifa
Unachekesha tena. Mimi ninakuonyesha historia halisi ya Wapoland Tanzania (maana hata hujajua kitu kuhusu Tengeru), na wewe unaniuliza kama najua historia yao??Sasa mdogo wangu hao walisafirishwa kuletwa huku na Soviet Union. Kumbe hujui duh?
Tatizo mdogo wangu unabwabwaja tu hujui chochote. Unazingua sana.Unachekesha tena. Mimi ninakuonyesha historia halisi ya Wapoland Tanzania (maana hata hujajua kitu kuhusu Tengeru), na wewe unaniuliza kama najua historia yao??
Hapana hawakusafirishwa huku na USSR. Walisafirishwa na Uingereza kwa ushirikiano na Serikali ya Poland Huru iliyokuwepo Uingereza.
Karibu wote walikuwa wfungwa waliokamatwa na Warusi baada ya USSR kugawana Poland na Hitler (hadi 1941 walishirikiana vizuri sana kugawa nchi za Ulaya, kufuatana na mkataba kati ya Ujerumani wa Hitler na USSR). USSR ilipovamia Poland ya Mashariki mnamo 1941, walikamata watu (zaidi ya Wapoland milioni 1) na kuwapeleka Siberia, iadadi kubwa katika makambi ya GULAG huko Siberia. Makumi elfu walikufa pale.
Baada ya Hitler kushambulia USSR; Urusi na Uingereza waliamua kushirikiana. Ila serikali ya Poland iliwahi kukimbia Warsaw na kukimbilia Uingereza wlipoendelea kama government-in-exile. Kulikuwa pia na vikosi vya jeshi la Poland katika Uingereza. Katika hali hiyo Urusi ulipaswa kukubali Poland (iliyowahi kushambulia 1939) kama mshiriki dhidi ya Hitler. Hapo USSR iliruhusu Wapoland waliokaa kwenye makambi kujitolea kwa jeshi la Poland (Anders Army) ililoendelea kujengwa chini ya Uingereza. Waliweza kuondoka pamoa na familia. Kuanzia MAchi 1943 wengi waliweza kufika Iran baada kusafiri kwa meli kwenye Bahari Kaspi. kutoka kule waligawanyika na Waingereza (waliowahi kuvamia Iran 1941).
Historia ya Wapoland ya 1939 / 1943 ni mfano wa kuhuzunika wa historia ya jinai za kivita na ukoloni wa Urusi.
The first transport of Polish refugees from the Soviet Union arrived at the Tanga port in Tanganyika on August 27, 1942. 1,400 people arrived on board ship, then they were transported to Dar es Salaam. Another transport arrived at the Mombasa port in Kenya on September 19. By the end of September 1942, 1,044 people were located in the Ugandan settlement in Masindi, and 510 and 401 respectively in Morogoro and Kondoa in Tanganyika. The next groups arriving in October were directed to Tengeru, Kondoa, Ifunda and Kidugala.Unachekesha tena. Mimi ninakuonyesha historia halisi ya Wapoland Tanzania (maana hata hujajua kitu kuhusu Tengeru), na wewe unaniuliza kama najua historia yao??