Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa hiyo unakubali hawakusafirishwa na USSR? Bali pamoja na hao walioweza kuokolewa kutoka makambi ya mauti ya Urusi?
Unakubali hujasikia habari za Tengeru -Arusha na kambi la Wapoland huko?
Je unakubali kwamba hupendi tena kusikia habari za historia ya Poland ya Gallus Anonymus (uliyosisitiza mara tatu au nne) baada ya kujifunza kutoka kwangu kwamba anasifu sana uhodari na ukubwa wa mteni Mieszko?
 
Mkuu ninavyokumbuka lugha ya "super power" ilianza 1990 baada ya kuporomoka kwa USSR. HAdi wakati ule tuliona mara nyingi lugha ya "balance of great powers" kutokana na uwezo wa nchi hizo mbili za kutishana hadi kuangamizana kabisa.
Baada ya kuporomoka kwa USSR Marekani ilibaki pekee kwa muda.
Pamoja na uwezo wake mkubwa wa kiuchumi na uwezo wa ubunifu na kuanzisha tekinolojia mpya.
Kipindi hiki kimekwisha. Ila bado MArekani ina uwezo mkubwa. Lakini wengine wanakuja haraka (ila: sioni Urusi katika mchezo huo...)
 
Mburula..umehamia kwenye F16 sasa hv..umeachana na patriot!! Panya ni panya tu hachagui shimo kwa kweli
 
Kwenye hili naomba kuchangia, nadhani shida kuu Kwa tz na afrika Kwa ujumla kumesababishwa na mataifa ya ulaya kuhakikisha nchi za kiafrika zinaongozwa na viongozi wenye Tamaa, wabinafsi na wasio na Tamaa ya maendeleo ya nchi,

Mkurya anayefanya kazi ngumu inatakiwa aandaliwe mazingira rafiki ambayo atatumia mashine ambazo zitamrahisishia kazi na kumfanya afanye kazi kubwa Kwa muda mfupi, (badala ya jembe la mkono atumie tractor na mitambo mbalimbali kulima,kupanda, kuvuna na uhakika wa soko)

Mchaga anarahisishiwa mazingira mazuri ya uagizaji, usafirishaji pamoja na maswala ya Kodi, au kuanzisha viwanda ambavyo bidhaa zake mchaga atarahisishiwa kupata masoko au kuondoa ukuritimba kwenye kusafirisha bidhaa nje

Na wengine ni Kwa mtindo huo huo, pia kuna Kansa kuu ambayo serikali wanalea ni elimu, kama serikali haitawekeza kwenye elimu ambayo itamfanya kila mtz ajitambue basi automatically maendeleo yatakuja, shida inakuja suala la elimu linapotumika kisiasa, yaani baadhi ya watu kutumia ujinga wa watz kama mtaji wa kuwatala, kipindi cha Nyerere ilikuwa ni sawa Kwa kuwa elimu ilikuwa hakuna lakini inasikitisha unakutana na mtz mwenye ujinga ambao unafanana na ujinga wa kipindi nchi inapata Uhuru hili ni tatizo
 
Ahsante mnama
 
Kuna mtego watu wanaingizea hapa
 
[emoji298][emoji298]Vyacheslav Gladkov, governor of Russia's Belgorod Oblast, announced a "counter-terrorist operation" in the region on May 22 amid reported attacks by Russian anti-government groups.

During such operation, the Russian authorities can increase ID checks and law enforcement presence on the streets, force locals to leave certain areas, and shut down industrial facilities that use explosive, radioactive, chemically, and biologically dangerous substances.

Earlier the same day, the Russian Volunteer Corps, allegedly fighting on Ukraine's side, claimed its members conducted combat operations in the Belgorod region bordering Ukraine.

Read the full story: Russian governor announces 'counter-terrorist operation' in Belgorod Oblast, claims casualties

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu sielewi vema unamaanisha nini ukisema "Mfumo wa Soviet"?
Ilikuwa mfumo wa kidikteta wa chama cha kikomunisti kilichoharamisha maoni yote yaliyokuwa tofauti.
Mfumo huo haukuwa na uwezo wa kuzuia udikteta wa Stalin kuanzia 1929 hadi 1953. Udikteta huo uliua watu milioni ukiwa na dharau kuu kwa wananchi na mateso ya dini zote.
Pia siasa ya nchi iliyotafuta ushirikiano na ufashisti wa Hitler waliposhambulia pamoja Poland ma kuigawa, kuvamia nchi za baltiki na kuzifanya koloni, jaribio la kuteka Finland . . ..
Baada ya Vita Kuu ya Pili mfumo wa USSAR ilikuwa kueneza utawala wa kidikteta jii ya nchi za Ulaya Mashariki na Kati....
Kiuchumi mfumo huu ulifaulu kuendeleza sekta kadhaa, hasa upande wa jeshi na silaha lakini maisha ya wananchi wengi yalibaki duni, ukilinganisha na mataifa mengine. tatizo kuu ilikuwa roho ya kidikteta na imani kwmaba chama cha kikomunisti kina uwezo kuongoza uchumi. Mfumo huu uliweza kulisha watu wake kwenye ngazi duni kiasi, ilhali utajiri uliwekwa kwenye jeshi (pamoja na mashindano ya anga) au kuharibiwa na siasa ya kiuchumi.

Sasa wewe unaona nini kama tabia nzuri za Soviet?
 
Mdogo wangu usilazimishe mambo. Check comments zako vizuri huwa sipendi kujadili ma wajinga kama wewe. Wewe endelea na LGBTQ tu mambo mengine huyajui.

Inaonekana wewe upo na stress kichwani mwako. Huenda upo na mimba sorry to say this.

Because behaviors zako zinaonesha.

Huwezi hata siku moja kuiondoa Russia katika kuwaokoa Wapoland.
Achana na Propaganda za western.


Urusi, wakati huo ilijulikana kama Umoja wa Kisovyeti, ilikuwa moja ya nchi zilizochangia sana katika vita dhidi ya Ujerumani ya Nazi na ilicheza jukumu muhimu katika kuokoa Poland. Vita ya Kidunia ya pili ilianza mnamo Septemba 1939 wakati Ujerumani ilivamia Poland. Wakati huo, Umoja wa Kisovyeti ulikuwa na mkataba wa kutowashambulia na Ujerumani, lakini mnamo Juni 1941, Ujerumani ilivunja mkataba huo na kuvamia Umoja wa Kisovyeti katika operesheni iliyopewa jina la "Operesheni Barbarossa."

Kuvamiwa kwa Umoja wa Kisovyeti kulibadilisha msimamo wa Urusi kuelekea vita hivyo. Walisaidia Poland katika vita hivyo kwa njia kadhaa:

1. Kupigana Vita ya Kidunia ya Pili: Umoja wa Kisovyeti ulishiriki katika vita vya moja kwa moja dhidi ya Ujerumani ya Nazi na washirika wake. Vikosi vya Urusi vilipambana na jeshi la Ujerumani katika vita vikali wakati wa uvamizi wa Ujerumani nchini Urusi.

2. Ukomeshaji wa Uvamizi wa Ujerumani: Jeshi la Kisovyeti liliongoza operesheni kubwa za kijeshi dhidi ya jeshi la Ujerumani na washirika wake. Moja ya operesheni muhimu ilikuwa Vita ya Stalingrad ambapo jeshi la Urusi lilipata ushindi muhimu dhidi ya jeshi la Ujerumani. Ushindi huo ulibadilisha mwelekeo wa vita na kuashiria kuanza kwa kuporomoka kwa Ujerumani.

3. Ukombozi wa Ardhi: Vikosi vya Urusi vilipambana vikali na jeshi la Ujerumani wakati wa kukomboa maeneo ya Ulaya Mashariki. Walifanikiwa kuingia Poland na kuwafurusha Wajerumani kutoka maeneo mengi, wakikaribia mji mkuu wa Poland, Warsaw.

4. Kusaidia Uasi wa Warsaw: Mnamo Agosti 1944, wenyeji wa Warsaw walifanya uasi dhidi ya utawala wa Ujerumani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…