🤝Kwenye hili naomba kuchangia, nadhani shida kuu Kwa tz na afrika Kwa ujumla kumesababishwa na mataifa ya ulaya kuhakikisha nchi za kiafrika zinaongozwa na viongozi wenye Tamaa, wabinafsi na wasio na Tamaa ya maendeleo ya nchi,
Mkurya anayefanya kazi ngumu inatakiwa aandaliwe mazingira rafiki ambayo atatumia mashine ambazo zitamrahisishia kazi na kumfanya afanye kazi kubwa Kwa muda mfupi, (badala ya jembe la mkono atumie tractor na mitambo mbalimbali kulima,kupanda, kuvuna na uhakika wa soko)
Mchaga anarahisishiwa mazingira mazuri ya uagizaji, usafirishaji pamoja na maswala ya Kodi, au kuanzisha viwanda ambavyo bidhaa zake mchaga atarahisishiwa kupata masoko au kuondoa ukuritimba kwenye kusafirisha bidhaa nje
Na wengine ni Kwa mtindo huo huo, pia kuna Kansa kuu ambayo serikali wanalea ni elimu, kama serikali haitawekeza kwenye elimu ambayo itamfanya kila mtz ajitambue basi automatically maendeleo yatakuja, shida inakuja suala la elimu linapotumika kisiasa, yaani baadhi ya watu kutumia ujinga wa watz kama mtaji wa kuwatala, kipindi cha Nyerere ilikuwa ni sawa Kwa kuwa elimu ilikuwa hakuna lakini inasikitisha unakutana na mtz mwenye ujinga ambao unafanana na ujinga wa kipindi nchi inapata Uhuru hili ni tatizo
Kama kawaida: pasipo na hoja wala jibu, anakimbilia matusi. Halafu anarukaruka haraka kubadilisha mada.Mdogo wangu usilazimishe mambo. Check comments zako vizuri huwa sipendi kujadili ma wajinga kama wewe. Wewe endelea na LGBTQ tu mambo mengine huyajui.
Inaonekana wewe upo na stress kichwani mwako. Huenda upo na mimba sorry to say this.
Because behaviors zako zinaonesha.
Huwezi hata siku moja kuiondoa Russia katika kuwaokoa Wapoland.
Achana na Propaganda za western.
Urusi, wakati huo ilijulikana kama Umoja wa Kisovyeti, ilikuwa moja ya nchi zilizochangia sana katika vita dhidi ya Ujerumani ya Nazi na ilicheza jukumu muhimu katika kuokoa Poland. Vita ya Kidunia ya pili ilianza mnamo Septemba 1939 wakati Ujerumani ilivamia Poland. Wakati huo, Umoja wa Kisovyeti ulikuwa na mkataba wa kutowashambulia na Ujerumani, lakini mnamo Juni 1941, Ujerumani ilivunja mkataba huo na kuvamia Umoja wa Kisovyeti katika operesheni iliyopewa jina la "Operesheni Barbarossa."
Kuvamiwa kwa Umoja wa Kisovyeti kulibadilisha msimamo wa Urusi kuelekea vita hivyo. Walisaidia Poland katika vita hivyo kwa njia kadhaa:
1. Kupigana Vita ya Kidunia ya Pili: Umoja wa Kisovyeti ulishiriki katika vita vya moja kwa moja dhidi ya Ujerumani ya Nazi na washirika wake. Vikosi vya Urusi vilipambana na jeshi la Ujerumani katika vita vikali wakati wa uvamizi wa Ujerumani nchini Urusi.
2. Ukomeshaji wa Uvamizi wa Ujerumani: Jeshi la Kisovyeti liliongoza operesheni kubwa za kijeshi dhidi ya jeshi la Ujerumani na washirika wake. Moja ya operesheni muhimu ilikuwa Vita ya Stalingrad ambapo jeshi la Urusi lilipata ushindi muhimu dhidi ya jeshi la Ujerumani. Ushindi huo ulibadilisha mwelekeo wa vita na kuashiria kuanza kwa kuporomoka kwa Ujerumani.
3. Ukombozi wa Ardhi: Vikosi vya Urusi vilipambana vikali na jeshi la Ujerumani wakati wa kukomboa maeneo ya Ulaya Mashariki. Walifanikiwa kuingia Poland na kuwafurusha Wajerumani kutoka maeneo mengi, wakikaribia mji mkuu wa Poland, Warsaw.
4. Kusaidia Uasi wa Warsaw: Mnamo Agosti 1944, wenyeji wa Warsaw walifanya uasi dhidi ya utawala wa Ujerumani.
Mkuu, Unajua udikteta ni tabia ya kiongozi sio mfumo.Mkuu sielewi vema unamaanisha nini ukisema "Mfumo wa Soviet"?
Ilikuwa mfumo wa kidikteta wa chama cha kikomunisti kilichoharamisha maoni yote yaliyokuwa tofauti.
Mfumo huo haukuwa na uwezo wa kuzuia udikteta wa Stalin kuanzia 1929 hadi 1953. Udikteta huo uliua watu milioni ukiwa na dharau kuu kwa wananchi na mateso ya dini zote.
Pia siasa ya nchi iliyotafuta ushirikiano na ufashisti wa Hitler waliposhambulia pamoja Poland ma kuigawa, kuvamia nchi za baltiki na kuzifanya koloni, jaribio la kuteka Finland . . ..
Baada ya Vita Kuu ya Pili mfumo wa USSAR ilikuwa kueneza utawala wa kidikteta jii ya nchi za Ulaya Mashariki na Kati....
Kiuchumi mfumo huu ulifaulu kuendeleza sekta kadhaa, hasa upande wa jeshi na silaha lakini maisha ya wananchi wengi yalibaki duni, ukilinganisha na mataifa mengine. tatizo kuu ilikuwa roho ya kidikteta na imani kwmaba chama cha kikomunisti kina uwezo kuongoza uchumi. Mfumo huu uliweza kulisha watu wake kwenye ngazi duni kiasi, ilhali utajiri uliwekwa kwenye jeshi (pamoja na mashindano ya anga) au kuharibiwa na siasa ya kiuchumi.
Sasa wewe unaona nini kama tabia nzuri za Soviet?
Nasikia kesho watafanya leferendum kujiunga na Ukraine huko Belgorod [emoji16]Huko Belgorod nini kinaendelea?
Mkuu, kwa maana hiyo sawa; ila nisingesema ni ukomunisti. Ukomunisti jinsi ulivyotokea katika historia ulikuwa na udikteta; katika mafundisho ya wenyewe waliona udikteta wa chama ni sehemu ya mfumo wao.Mkuu, Unajua udikteta ni tabia ya kiongozi sio mfumo.
Hoja yangu ni kuwa ukomunist ni mfumo mzuri iwapo wote mtadhamiria kufanya kazi kwamba wote mfanye kazi, mkusanye muipe serikali yenu halafu serikali irudishe kwenu kwa mfumo wa miundombinu, tecknolojia, elimu, afya n.k
Tatizo linakuja pale ambapo kuna wavivu wengi na wachapakazi wachache. Ikishakuwa hivi ukomunist unakuwa unyang'anyi sababu wavivu ambao ndo wapiga kura, wataacha wachapakazi wachache wafanye kazi halafu serikali ichukue kwao ilete barabara, umeme, maji n.k
Unajua boss mfumo wowote ukiwa 100% lazima kuwe na hatari. Ndo maana nchi nyingi hata zile za kijamaa zinajaribu kupractise mfumo zaidi ya mmoja ili kupunguza au kuondoa madhara yanayoweza kuletwa na kutumia mfumo mmoja kwa 100%.Mkuu, kwa maana hiyo sawa; ila nisingesema ni ukomunisti. Ukomunisti jinsi ulivyotokea katika historia ulikuwa na udikteta; katika mafundisho ya wenyewe waliona udikteta wa chama ni sehemu ya mfumo wao.
Utaratibu wa kukusanya mapato yote ya uchumi na kuyakabidhi kwa serikali inaonekana kama kubahatika. Maana ukiwa na watu a) wazuri na b) wenye elimu unaweza kuwa utaratibu mzuri.
Lakini serikali inamaanisha mamlaka, watu wasio wachache ni walevi wa madaraka hawataki kuachana nayo wko tayari kufanya mengi ili watetee mamlaka . . . .
Hivyo kuweka mamlaka yote na pia utajiri wote mkononi mwa serikali - naona ni hatari kwa sababu ya udhaifu wa kibinadamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu acha kuchekesha watu weweNasikia kesho watafanya leferendum kujiunga na Ukraine huko Belgorod [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwani ni mara yako ya kwanza kusikia wauni wamevuka mpaka na kufanya mashambulizi na mwisho wa siku wanakufa.kipanya ebu tuletee habari za maana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji298]Due to the situation unfolding in Belgorod region, "elements of panic" are visible among Russian leadership. [emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
youTatizo mdogo wangu unabwabwaja tu hujui chochote. Unazingua sana.
Uingereza iliwachukua Wapoland toka Iran na siyo unavodai wewe. Nimekuwekea source of information from Poland Government. Na hiyo unaikataa? Ukuwa mpuuzi nambari wani kabisa.
Halafu siyo Tengeru pekee soma hiyo link nimekupatia muda mrefu sana. Wewe unarudia tu kama mwehu vile.
Embu ficha ujinga wako basi .... Unakaaaza fuvu Kuna nchi ilikuwa inaitwa Tanganyika Kabla ya 1880's !! Kenya ! Malawi hakukuwa na nchi Bali vikabila vidogo vilivyotawanyika ...ndio kama hao Poland kabla ya 1000 hakukuwa na hako kanchi unakokazia fuvu hapa...ni kama Hehe tu, Bukwaya, Ngoni, Yao, Etc .. sasa unakaaaza fuvu walikuwa na eneo la ukubwa huo ..ficha ujinga wako .Mkuu unarukaruka. Kwanza unataka kusisitiza Poland ilikuwa doa dogo tu kwenye ramani (ilhali ilikuwa milki kubwa kabla ya kuundwa kwa Rus ya Kyiv na kuundwa kwa Utemi wa Moscow na kabla ya Ufalme wa Urusi)
halafu unasisitize kuhusu kitabu cha Gallus Anonymus;
mara ukiona mimi najua kitabu hiki (ilhali hakika wewe hujawahi kukiona!) unaanza sasa mambo ya Wapoland waliofaulu kuondoka kwenye makambi ya Urusi mnamo mwaka 1942 .
Ndiyo hata historia hiyo najua kuliko wewe. Umewahi kutembelea makaburi ya Wapoland huko Tengeru / Arusha?