Kwa nini simsikilize? Naangalia kila upande. Nahofia huyu si nabii nzuri. Lakini hasira juu ya maisha ya matajiri wa juu tofauti na watu wadogo wanaotumiwa kwa vita ya Putin inaeleweka; sidhani Prigo ni mtu wa pekee anayeona jambo hili. Ila yee hadi sasa ana uhuru wa kusema wazi - tofauti na wengine.Bado mnamsikiliza Prigo? Hamkomi??
usheni tena kinzhal muone zinakaangwa angani mbona tok siku ile mliporusha 6 hamjarusha tena ninaibu tupu na wale scientists wa hypersonic waliokamatwa ninkwajili gani hahhaha aibu yenu aisee.
Kwanza inashangaza warushaji hawaja rusha sita pili waambieni akina baiden na wenzie walete zile chumachuma zao alafu uone kama hazitarushwa
Nakusalimia kwa jina la Bakhmut
Apdate za Bakhmut vipi au ndio ushakubali kiaina ndiomaana umeamua kuamisha magoliKuna mchakato umeanzishwa wa waasi wa Belgorod kupiga kura ya kuwa sehemu ya ukraine., mwenye updated atuhabarishe tafadhari [emoji56][emoji56][emoji56]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona unakimbia swali lake kuhusu hatma ya wataalamu wa roketi waliokamatwa Urusi?Kile kikosi cha anga kilikuwa likizo ya siku kumi baada kusambaratisha ule mfumo wa Marekani..
Sasa wamerudi, Leo wamerusha kombora Kwa mara ya kwanza Ukraine, hivyo tulia uendelee kushuhudia Urusi anavyotawala anga la Ukraine mbele ya Machuma chuma ya USA/NATO.
Itajulikanika tu MKUULeo ni siku ya 23 toka huyu jamaa alipopotea.haijulikani yupo wapi kwa sasa (ardhini au hewani).
Swali la kujiuliza-Yupo wapi kamanda wetu?View attachment 2623477
Mbona hujajibu kwanza swali langu kuhusu leferendum inayotarajiwa kufanyika huko Belgorod.., maana jamaa wanataka kuwa sehemu ya ukraineApdate za Bakhmut vipi au ndio ushakubali kiaina ndiomaana umeamua kuamisha magoli
Bora wewe umekiri kwamba huko Belgorod Kuna moto unawaka, kuliko warusi wengine wa buza wanaojitoa akili [emoji16]naona wanashambulia BELGOROD kuhamisha magoli kwamba BAKHMUT ni sehemu halali ya RUSSIA [emoji635]
Mkuu, wanajaribu kumputin Putin. Tusiamini kura yoyote inayoendeshwa na watu wanaoshika bunduki...Mbona hujajibu kwanza swali langu kuhusu leferendum inayotarajiwa kufanyika huko Belgorod.., maana jamaa wanataka kuwa sehemu ya ukraine
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Waache wajitekenye na kucheka wenyewe ,Mbinyo unaendeleaBora wewe umekiri kwamba huko Belgorod Kuna moto unawaka, kuliko warusi wengine wa buza wanaojitoa akili [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wanaoshambulia ni Warusi. Wako kwao nyumbani (ila hao wanasemekana ni wanazi wabaya kama Putin)naona wanashambulia BELGOROD kuhamisha magoli kwamba BAKHMUT ni sehemu halali ya RUSSIA [emoji635]
Safiiiii hakuna kusapoti MAGAIDIChina ime waambia Mabalozi wote Wakigeni Nchini china Kuondoa Posters zote zinazo Husika na Kuisapoti Ukrein
Chinese authorities urged foreign embassies in Beijing to remove posters in support of Ukraine — Kyodo News Agency
Serikali ya China haina mamlaka kuhusu maeneo ya balozi za nchi mjini Beijing. Nchi zote za EU (labda bila Hungaria) zinaonyesha bendera za Ukraine.Safiiiii hakuna kusapoti MAGAIDI
Hawawezi katuHu
Huu ni ushaidi kuwa hawawezi kuizuia URUSI,
Habari njema mnooo wafe wote
Kabisa MKUUVile vichambuzi mbuzi vya humu JF havitakubaliana na wachambuzi wenye utaalamu kama huyu.
Vile vijamaa kwao Kila made in USA kwao ni hakina mapungufu.
Uchambuzi murua kabisa huu.
Russia sio ya mchezo katika hizi mambo.
Russia sio Libya .