Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu, angalau watu hao (ambao hali halisi walikuwa Warusi wapinzani wa Putin waliojiandaa ndani ya Ukraine) waliweza kuingia Urusi na kufanya mambo yao kwa saa 24 hivi; ambayo ni dalili kwamba ulinzi wa mpakani ulikuwa mdhaifu.
Je Putin anakosa watu?
ww umejuaje kama wale ni Russian Oppositions...na sio Ukrenians??...aisee kuna watu sijui mko vp...hz si ni mbinu za CIA duniani kote huwa anafanya hv...???...tatizo hapo Russia..hawataweza ...Russia ni kisiki kwa WEST....watadhalilika sana mwaka huu..!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
we nae unashindana na hawa wabwia unga we wakaushie sisi pro russia hatuongei ni kuwa nyonga kimya kimya huku yunabeba ardhi mdogo mdogo mpaka kiev yote wala usibishane nae hawa jamaa huwawezi kwa uongo wamekubuhu aissee
 
Hapo lazima wajambe

Hasa wakikumbuka kilicho wahi kulikumba jeshi la Merikani wakati wa vita ya 1951-53/nchini Korea kaskazini - walinyukwa vilivyo China ilipo ingilia kati kuiokoa Korea Kaskazini - baadae General McCathy kwa kuona aibu kushindwa na Uchina akamuomba Rais Truman apige miji ya Uchina kwa mabomu ya Nuclear lakini Truman kamkatalia na kumtimua kazi maaa alimuona hana busara uhamuzi wake wa kipumbavu ungeweza kusababisha WW3.
 
Mkuu hakuna cha Russian opposition wala nini sijui hicho ni kikundi cha kigaidi kilicho undwa na CIA na Ukraine Intel agency kwa lengo la kutaka kuhadaa Dunia kwamba kumbe ndani ya Urusi wapo Warusi walo radhi kushika silaha na kupambana na utawala wa Putin ambaye anakuwa supported karibu na asili mia 98% ya Warusi, Biden,je, anaye fadhili vikundi hivi vya kigaidi nchini Ukraine ni raia wangapi wana support Urais/Uongozi wake wa masula ya foreign policy zake na Domestic, hardly 30% - badala ya ku- deal na masuala yenye msingi ndani ya Taifa lake badala yake anakwenda kuunda na ku-support financially naku-arms vikundi vya kigaidi kwa lengo la kuvipenyeza nchini Urusi anataka ya Syria yajirudie nchi Russia, baada ya kuona mipango yao ya kuitumia Ukraine kupigana a proxy war on USA behalf, sasa mpango huo unaelekea kushindwa ndio maana hivi sasa wamekuja na plan "B" ya ku-recruit magaidi wamesahau kabisa jinsi Urusi Ilivyo yafyekelea mbali magaidi nchini Syria(ISIS na Daesh) kama Urusi hisingeiingilia kati Assad angeangushwa na kuuwawa kama Ghadaffi.

Tatizo kubwa hapa kuna baadhi ya wana JF members ambao ni wabishi huwa na jaribu mara kwa mara kuwapatia somo kila siku lakini wanaweka pamba masikioni.

Ndio maana awakumbusheni tena kwamba US/NATO hawana ubavu wa kumu- confront Putin ana kwa ana na USA and like mind wenzake hilo wanalijua sana, lakini basi tu wakale walisema "sikio la kufa halisikii DAWA".
 
Kwahyo na wewe umekuwa chizi?
 
Mbona hujajibu kwanza swali langu kuhusu leferendum inayotarajiwa kufanyika huko Belgorod.., maana jamaa wanataka kuwa sehemu ya ukraine

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hamna nchi inayoitwa Ukraine
Hujaona ramani ya jana
Hiyo ndio mipango mipya kaa kwa kutulia tukimaliza hapa tunaenda Alaska
 
Russian naval ship repels Ukrainian drone attack in Bosporus Strait waters — top brass.

"All of the enemy’s boats were destroyed from the Russian naval ship’s standard armaments 140 km northeast of the Bosporus Strait," Lieutenant-General Igor Konashenkov said, The crew of the Russian naval ship Ivan Khurs repelled an attack by Ukrainian surface drones in the Bosporus Strait waters within Turkey’s exclusive economic zone, Defense Ministry Spokesman Lieutenant-General Igor Konashenkov reported on Wednesday.

"After the terror attack on the Nord Stream 1 and Nord Stream 2 gas pipelines on September 26, 2022, the Russian Armed Forces are carrying out measures to protect such facilities. And it is not without reason. At 5:30 today, Ukrainian armed formations made an unsuccessful attempt with three fast-speed unmanned boats to attack the Black Sea Fleet’s ship Ivan Khurs fulfilling the objectives of providing for the safe operation of the Turkish Steam and Blue Stream gas pipelines in the exclusive economic zone of the Turkish Republic," the spokesman said.

"All of the enemy’s boats were destroyed from the Russian naval ship’s standard armaments 140 km northeast of the Bosporus Strait," the general said, adding that the Ivan Khurs continued accomplishing assigned missions
 
Na wewe una amini maigizo ya Prigozhin anaye tumiwa na jeshi la Urusi kuwachota akili US/NATO na jeshi la Ukraine ili waingie kumi na nane za jeshi la Russia - mwisho mwa siku watajikuta wanafyekelewa mbali kama jeshi la Hitler.
 
Na wewe una amini maigizo ya Prigozhin anaye tumiwa na jeshi la Urusi kuwachota akili US/NATO na jeshi la Ukraine ili waingie kumi na nane za jeshi la Russia - mwisho mwa siku watajikuta wanafyekelewa mbali kama jeshi la Hitler.
Mkuu ushauri wangu ni: Usiamini habari, umwamini Mungu. Hanari si jambo la kuamini, ni jambo la kutafakari.
Naona ni vema kuelewa kwa nini mtu kama Prigo (mwenye uhuru mkubwa wa kusema hadi sasa) anatoa maonyo makali kuhusu hali ya Urusi.
 
Mkuu ushauri wangu ni: Usiamini habari, umwamini Mungu. Hanari si jambo la kuamini, ni jambo la kutafakari.
Naona ni vema kuelewa kwa nini mtu kama Prigo (mwenye uhuru mkubwa wa kusema hadi sasa) anatoa maonyo makali kuhusu hali ya Urusi.
Sasa mpaka hizi habari za kuseme sijui Waziri wa Ulinzi wa Urusi aliaonekana Dubai ana vijari na Girl friend wake - who can take such highly questionable source seriously, after all the whole stuff is totally incoherent.
 
Lengo hasa la Ukraine ni kuja kujaribu kutumia storm shadow kushambulia Navy ya Urusi hapo baadae au hata anti ship missiles za US kama jeshi la Ukraine wanazo - hilo ndilo lengo kuu la mabeberu waki shirikiana na Ukraine, wanataka kuzamisha Navy yote ya Urusi ikiwezekana wana akili za ajabu sana!!

Mambo yanavyo onekana mgogoro huu unaweza kusababisha WW3 by accident or by design.

Zelensky is so naïve doesn't seem to realise that nuclear war is mostly likely.
 
Check drones zilivyoshushwa[emoji1787]



[emoji779]️On the night of May 25, the Russians attacked Ukraine from the north and south with Iranian-made Shahed-136/131 drones – 36 of them were shot down by Ukrainian Air Defence.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sijamgusa
Sasa mpaka hizi habari za kuseme sijui Waziri wa Ulinzi wa Urusi aliaonekana Dubai ana vijari na Girl friend wake - who can take such highly questionable source seriously, after all the whole stuff is totally incoherent.
waziri wa Urusi - nimeleta hapa habari kwamba mtu kama Prigo anajadili waziwazi hofu ya mapinduzi nchini Urusi. Na sababu zake. Naelewa kabisa kwamba marafiki wa Putin hawapendi kusikia maoni hayo wala hawapendi kuyajadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…