Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Ndugu unalinganishaje Tanzania na Russia?Kwani sisi Tanzania tuliiteka Kampala ndani ya muda gani? Maana tunaona unabwabwaja tu?
Malighafi wanauza wengine pia. Kama Urusi wangekuwa nchi ya pekee - hii ingewapa mamlaka kubwa. Jinsi ilivyo sasa kuhusu gesi ya nchi kadhaa za Ulaya. (wanajitahidi kupata mbadala; Ujerumani wameanza sasa kujenga bandari kwa gesi inayofika kwa meli . hadi sasa walitegemea gesi ya Urusi kwa njia ya bomba).Na kingine apo umejitia upofu ila sitaki kutype tu sa hv...
Angalia walau nature ya industry anayodeal nayo Mrusi...
Hv hayo madini mtaenda kuyafata sayari nyingine au? Jamaa angu unawazaje lakini?
Ukikosa fundi mtaa huu utaenda mtaa ule utampata... That's mfano wa technology je ukikosa mchanga mchanga na Cement utajenga kweli?
Em toa hayo mahaba utumie utashi wako binafs kufikiri... Kutompenda mrusi hakubadili uhalisia uliopo kwamba western wame'punic [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Putin aliposema Russia itaibuka kuwa na nguvu sana hawa watu hawaOk nimekuelewa... So baki na unachokiamini na me nibaki na nachokiamini kwenye hili...
Mda huwa ni mwalim mzuri... JF ndo hii hii kikubwa uzima...
Tuendelee kula Popcorn kila mtu na mkeka wakeuna facts zako ambazo kwa fikra zako waziona sawa so dhambi na me hvo hvo na hoja zangu kwa upande wangu nazoziona ziko sawa...
So kipi ni sawa....????? "TIME 'LL TELL"
Ila nazidi kukumbusha tu RUSSIA sio ZIMBABWE.
Badala ya kuja na maelezo yasiyoeleweka jaribu uwe unapitia mitandaoni kupata dodoso la kinachoendelea kuliko kuja na maneno yako.Wewe jamaa ni very naive.
First of all vikwazo alivowekewa Russia sio vya kuleta matokeo kesho asubuhi ila vikwazo ambavyo vitamzoofisha in short and long term.
Russia uchumi wake kwa zaidi ya 20% unategemea mafuta, na kwa taarifa na wengi hawaijui ni kuwa USA na Canada ni wazalishaji wakuwa wa mafuta USA ni wa kwanza Duniani, Bei ya Mafuta haipangwi na taifa moja ndio maana Bei inapanda hata kwa mataifa ya yanayozalisha sana, ili kupunguza makali ya bei, Marekani huwa wanaakiba ya Mafuta, wenyewe wanaita Strategic oil reserve huitumia kipindi ambacho kuna emergency hasa kipindi hiki, Kwa taarifa yako USA wangekuwa wanatoa tu hii reserve wanaweza kuireplace Russia ndani ya mwezi kama muuzaji mkuu wa Mafuta.
Saudi Arabia ndio silaha kubwa ya marekani linapokuja suala la Nishati duniani, ni suala la muda tu Saudi Arabia ataongeza uzalishaji, Pia Marekani tayari amepata unlikely Ally kwenye hili naye Ni Venezuela, Venezuela ndio taifa lenye kiwango kikubwa cha mafuta kilichogundulika ila bahati mbaya hanufaiki nayo kwa sababu ya vikwazo (China na Russia hawajuzia kuathiriwa na vikwazo vy Magharibi)
Kuna watu wanasema Russia itaitumia China kukwepa vikwazo (at least watajaribu) wote wanaosema hivi hawajawahi kuwe kwenye Biashara za kimataifa ambazo zinahusiana na kuhamisha mitaji kati ya nchi na nchi, Kila mtu anayefanya Biashara na taifa fulani anaangalia kitu kinaitwa "Financial Risk of Doing Business", ahadi na ndoto hazishibishi hapa Pro Russia muelewe, Wiki Iliyopita Xiaomi kampuni ya China ilipunguza 50% ya Biashara zake inazofanya na Russia, na si Xiaomi pekee na hata Mabenki ya China yanakwepa kufanya miamala ya Benki za Urusi.
Unasema ticket za Ndege za Mataifa ya Ulaya zimepanda Bei, Hivi kupanda Bei na Shirika lako kufa Bora nini?
Kama hujui au kwa faida ya wengine Shirika la ndege la Russia ndege zake zote ni Airbus na Boeing isipokuwa 10 au 20 ndio zinaundwa Russia, hapo Boeing na Airbus wamejitoa kufanya biashara na Russia, this means they will not be able to get Spare parts and therefore lazima wapunguze Safari za nje au za ndege hizo, this means hadi Airline industry irudi kama kawaida sio zaidi ya miezi 12.
China mshirika wa Karibu wa Russia ndege zake karibu zote ni Airbus na Boeing, ameshindwa kumuungisha mshikaji wake (Hebu jiulize Kwa nini), au kama unajua maifa yanatumia Ndege za Russia hapa Africa yataje, now imagine kampuni inayoziunda ndege itakuwa na hali gani baada ya miezi 12?
Russia ana provide Rare Earth, Nickel na raw materials nyingi sana kwa Ulaya, na yeye hawezi kuuacha kuwauzia kwa sababu ndio msingi wa Uchumi wake, Kama hujui na kwa faida ya wengine Tanzania ina Deposit ya Nickel ambayo dunia nzima wakiacha kuchimba tutaweza kumuuzia kila mtu kwa miaka 30, na kambuni ya Kabambaga Nickel ni Kampuni ya Uingereza (Kwa usajili) so tutarajie speed ya ujenzi kuongezeka.
Umeitaja BRICS, hii sio formal wala informal alliance, kwanza wana tofauti za kimipaka, kisera, lengo lao lilikuwa ni kujaribu kuzichallenge IMF na WB ila hadi leo Nchi karibu zote za Africa na zinazoendelea zinakimbilia IMF na WB (Mfano Tanzania), hii ina imply Western financial Frameworks and Institutions are very strong kwa sasa labda itokee vita kubwa sana, that will destroy our civilazion.
Vita ni gharama na hii gharama ndio Silaha ya watu wa Magharibi
Umetumia ubongo kweli?Hili dude linaenda 8km/ s na mass ni tani 280.1 fikiriaView attachment 2149086
Sawasawa...Wewe jamaa ni very naive.

Hahahaha dah nimeshangaa anazunguka mtaani kabisa. Usije Kuta Kweli hayupo Ukraine ila anaongea kuwatia watu moyo.Zelensky published a video in which he allegedly visited a hospital with wounded soldiers of the Armed Forces of Ukraine today.
But on the footage, a physician, Inna Derusova, was seen, who died on February 26. The death of the woman was confirmed by her relatives. Then Zelensky himself awarded her the title of Hero of Ukraine posthumously.
It turns out that the published video of the meeting of the President of Ukraine with wounded soldiers on March 13 is a fake. The video was recorded back in February, before the death of Inna Derusova.
Earlier, many media outlets wrote that Zelensky left Ukraine a long time ago, and all videos with him and recordings allegedly from Kyiv were made in advance. View attachment 2149395
Jaribu kusoma unachoona. (kama ungeweza kusoma, ungejua namba nilizotaja si Wikipedia - sikusema ninapopata!) Nilitaja Wikipedia kama chanzo cha kuangalia kwa undani zaidi (je wewe umewahi kuonyesha chanzo chochoote kwa hekima yako?? - afadhali kutoonyesha??) . menginevyo angalia yale niliyoleta angalia chanzo cha namba. Ukijua ni kitu gani kinachotajwa na kama unaweza kusema chochote kuhusu vyanzo vinavyorejelewa - sema!Nilipoona tu source yako ni Wikipedia. Nimedharau taarifa yako hii na kuipuuza.
Hahahaha dah nimeshangaa anazunguka mtaani kabisa. Usije Kuta Kweli hayupo Ukraine ila anaongea kuwatia watu moyo.
Samahani, hivi unaichukulia Russia kama nchi za kiafrika siyo.Jaribu kusoma unachoona. (kama ungeweza kusoma, ungejua namba nilizotaja si Wikipedia - sikusema ninapopata!) Nilitaja Wikipedia kama chanzo cha kuangalia kwa undani zaidi (je wewe umewahi kuonyesha chanzo chochoote kwa hekima yako?? - afadhali kutoonyesha??) . menginevyo angalia yale niliyoleta angalia chanzo cha namba. Ukijua ni kitu gani kinachotajwa na kama unaweza kusema chochote kuhusu vyanzo vinavyorejelewa - sema!
Yaani sipati picha siku Tanzania tupate Kiongozi mjinga kama huyu, najiuliza tu halafu Malawi walianzishe kule ziwa Nyasa na waitake Tukuyu kama wanavyosema ni ya kwao.WaUkraine wapigana vikumbo wakigombea kuukimbia mji wa Kyiv kutokana na kasi ya mashambulizi ya Russia (mvua za makombora).
Zelensky aongea kwa huzuni kuwa kama Russia imeamua kunyesheleza mabomu kwenye mkoa huo na kuwaua woote waliomo na kufuta historia yao basi wafanye hivyo...na wauchukue hiyo Kyiv.
View attachment 2148650
Story zako zinafurahisha, yaan anawaogopa sana au sioHapa ni Mariopol, na haya mashambulizi yana fanywa na AZOV special forces.
Hii vita haishi leo Wala Kesho, Ndio maana Putin ameamua kuitiisha vijana wa Kiarabu waje msaaidie...
Unaona Sasa unaota ujinga mpka ushkajikojolea nilikwambia jisaidie kabla ya kulalaHapa ni Mariopol, na haya mashambulizi yana fanywa na AZOV special forces.
Hii vita haishi leo Wala Kesho, Ndio maana Putin ameamua kuitiisha vijana wa Kiarabu waje msaaidie...
We jamaa unajipa moyo, wenzako Ukraine wanakula kichapo mwanzo mwisho.haya mtu wenu huyu warusi wa buza
kichapo kikitokea palestine naomba muwaunge mkono wazayuni...