Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Huko drive Kuna mambo ya muhimu zaidi yakuyahifadhi kuliko hayo unayoyataka wewe MKUUUwe unatumia teknolojia ya Wamarekani kama Drive au hata Google Photos. Tatizo akili zinafanya kazi kama wauza mbolea na wachuuza gesi ungekuwa unatumia akili za mabingwa wa teknolojia ungeweka cloud server.
Russia inakumbwa na kupungua kwa watu tangu karne ya 21 haijafika. Ni tatizo sugu, na hizo nchi nyingine hazipungui watu bali growth ni ndogo au stagnant. Sasa Russia ina miaka watu wanashuka, na hilo suala la Russia kuvuna watu unaonyesha jinsi akili zenu zimekaa kujilipua, bahati nzuri hata teknolojia hamna mnalazimika kujilipua kienyeji
Ngoja kwanza tuijadili SMO achana na USSR hao UKRAINE [emoji1255] wametumia miezi mingapi kupigana na super power uchwara na wakapigwa ila hawajampiga kwauchwara wakeMiezi 10 superpower uchwara anapigania eneo hata halistahili kuitwa wilaya kama lingekuwa Tanzania. Eti hilo ndilo jeshi la kupigana na Finland au Poland, alafu bila aibu eti mnapigana na NATO. Shukuru Mmarekani alitoa pesa yake na vifaa la sivyo Hitler angewachukua mkawaoshee vyombo Wajerumani maana alikuwa anataka kuifanya Urusi shamba kubwa
Hehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa ww usiye kuwa hata na akili ya kumtongoza mwanamke kumshawishi akukubali mpaka ukalazimika kuwa mpiga nyeto uta mshauri nn the big brain Bwana utam?
Ngoja nieke kituo
Maskini! Mdogo Putin peke yake??? Woaaaaarussia mwamba anapigana na dunia ...nzima sio yukraine ...View attachment 2635304
Huyo unakuta kaanza kuzaa toka ana miaka 18 🤣🤣🤣 kila baada ya mwaka anashusha kitu 🤣🤣🤣Huyu mama ni mzima kweli kweli
View attachment 2635317
Hata mimi hazifunguki sijajua kwaniniHivi ni mimi peke yangu picha hazifunguki ?
Hapo umejijibu mwenyewe kuwa hao ni wafanyakazi wa Ukraine na NATO.[emoji298]A few days after a successful incursion inside Russia's Belgorod Oblast, those who took part wanted all the attention they could get.
The Russian militia groups, who call themselves the Russian Volunteer Corps (RVC) and the Free Russia Legion, say they have been fighting alongside Ukraine in some of the hottest spots of the war, including Ukraine's Donbas.
They now claim to have attempted to bring the fight into Russia, even if for a short while.
While many details of the operation still remain unclear, the cross-border incursion into Belgorod Oblast, which borders Ukraine, appears to have been the boldest operation since the start of Russia's full-scale invasion.[emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu sisi sote tumejua kitambo kwamba kuna Warusi pia Wachechen waliojitolea kupigania upande wa Ukraine kwa sababu wanaona utawala wa Putin ni balaa. Sidhani una chochote kuhusu swali la ajira yao.Hapo umejijibu mwenyewe kuwa hao ni wafanyakazi wa Ukraine na NATO.
Hao ni magaidi waliofundishwa na kupewa silaha na NATOMkuu sisi sote tumejua kitambo kwamba kuna Warusi pia Wachechen waliojitolea kupigania upande wa Ukraine kwa sababu wanaona utawala wa Putin ni balaa. Sidhani una chochote kuhusu swali la ajira yao.
Ila ni dhahiri kwamba mashambulio hayo yameonyesha kwamba Putin hana tena watu wa kutosha kulinda mipaka yake. Kundi dogo tu lilishambulia, walihitaji zaidi siku 1 kuwaondoa tena!
Oh, is it?? Hivi mwaka juzi raia wa Merikani walio fanya maandamano makubwa na baadhi yao kuvamia Bunge wakidai kwamba Biden hakushinda uchaguzi kihalali i.e waliiba kura za Trump vurugu zilikuwa kubwa sana kuna baadhi ya waadamanaji walipoteza maisha kwa kutetea demokrasia ya kweli, je, kama Urusi nayo ingejiingiza kwa ku-support maandamanaji kwa silaha na professional snippers na fedha kama US ilivyo fanya huko Ukraine kwa kuwa-support colour revolution nchini Merikani unafikiri kungetokea nini? au mnafikiri Warusi hawana uwezo wa ku-support makundi ya kuivuruga Merikani yenyewe.Sijamgusa
waziri wa Urusi - nimeleta hapa habari kwamba mtu kama Prigo anajadili waziwazi hofu ya mapinduzi nchini Urusi. Na sababu zake. Naelewa kabisa kwamba marafiki wa Putin hawapendi kusikia maoni hayo wala hawapendi kuyajadili
Hii vita imemuacha urusi akiwa uchi wa mnyama, sijui atatamba na nini Tena[emoji1787]Tena kuhusu uwezo wa Kinzhal, ambao haupo:
Russia’s 'invincible' hypersonic missiles prove anything but, as Ukraine utilizes U.S. Patriot defenses
The "Kinzhal" was meant to be the Russian “wonder weapon,” but it turned out to be another example of President Vladimir Putin’s military over-promising and under-delivering — particularly after Ukrai...news.yahoo.com
Russia’s 'invincible' hypersonic missiles prove anything but, as Ukraine utilizes U.S. Patriot defenses
It was meant to be the Russian “wonder weapon,” but it turned out to be just another example of Vladimir Putin’s military over-promising and under-delivering.
The Kh-47M2 “Kinzhal” — which means “dagger” in Russian — was billed as a state-of-the-art hypersonic missile, “invincible,” in Putin’s words, to Western air defenses. For the early months of Russia’s full-scale war on Ukraine, it seemed to be just that. The missile had been used in the first year of the war to successfully strike several targets across Ukraine, no doubt causing significant damage.
That all changed when Ukraine received U.S.-manufactured Patriot PAC-2 and PAC-3 air defense systems in April. The PAC-3, the latest version of the venerable American system, was originally developed as part of America’s Strategic Defense Initiative, nicknamed “Star Wars” by its critics, first introduced in the early 1980s by President Ronald Reagan to counter ballistic missiles.
Over a little more than two weeks, Ukrainian-manned Patriots shot down seven out of seven Kinzhals launched at targets throughout Ukraine, according to the Ukrainian Air Force. Pentagon press secretary Brig. Gen. Pat Ryder confirmed the first shoot-down at a press conference on May 9, and another administration official speaking to the New York Times on May 16 confirmed the other interceptions.
During the May 16 attack, which directly targeted the Patriot system, part of the platform suffered “minor” damage, according to U.S. officials, that was repaired within a day. The Kremlin, of course, has maintained the fiction that all its missiles successfully hit their targets. “The fake report that a Kinzhal was allegedly intercepted is a wishful thinking attempt,” a Russian Ministry of Defense source told the state media outlet TASS.
Even if the Ukrainian military is overstating its defensive capability, a Russian missile falling anywhere in Kyiv would have been detected by locals and recorded on social media. Since the arrival of the Patriot missile batteries, that has not happened.
How knowledgeable are you about even basic physics on MACH numbers - silaha za zikishindwa kete na silaha za Urusi, mara zote Western media/propaganda are very good at manufacturing lame excuses to justify their ADS miserable failure - media zao zote pamoja na clown Zelensky wanajitapa kwamba Uktaine is winning - my foot!!Tena kuhusu uwezo wa Kinzhal, ambao haupo: