MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Kwa nini viongozi wa Ulaya wana lalamika Russia support inazidi kuongezeka Western Europe, South Europe na Eastern one.Mkuu jaribu kwa dakika 1 kusahau propaganda uliyolishwa halafu jiulize:
kwa nini asilimia kubwa sana ya watu wa Ulaya inasimama upande wa kutetea Ukraine na kuweka vizuizi dhidi ya Urusi - hata kama gharama zao zimepanda kutokana na vita hiyo??
Si vile kwamba USA inalazimisha serikali dhaifi. Ni kinyume kwamba serikali (ambazo zote zinachaguliwa kwa kura huru ambazo wala Urusi wala watu wa TZ wamewahi kuona) haziwezi kusimama dhidi ya matakwa ya raia. Wote wanaona Urusi kama hatari kwa Ulaya kwa sababu inatumia nguvu kwa kubadilisha mipaka na imevunja mikataba.
Jisomee hapa:
Fragile unity: Why Europeans are coming together on Ukraine (and what might drive them apart) – European Council on Foreign Relations
Recent polling for ECFR suggests that Europeans have come closer together in their support for Ukraine. But the factors driving this unity are fragile, contingeecfr.eu
Utaona kuna tofauti katika msimamo. Mfano Wapoland na Wadenmark ambao wengo wanaona lazima Urusi inapaswa kushindwa. Tofauti Ujerumani ambako wengi wanasema "Urusi haiwezi kuruhusiwa kushinda, lakini kwa ajili ya amani labda maeneo kadhaa kama Krimea zibaki upande wa Urusi kama wakazi wake wanakubali".
Wanaendesha viwanda vyao kutumia Nini?.
Na vipi uchumi wa German unaonekana kusinyaa ni sababu ya nini?.
Kwa Zelensky ukiona ameanza lilia kitu kingine ujue alichopewa mwanzo kimeshindwa kumsaidia..Kwani mkuu Abrams zimeshaanza kutumika kwenye battle field?
Wanajaribu kuoutsource kutoka kwingine ila unafahamu ya Urusi ilikuwa cheap?View attachment 2636770
Unaona jinsi walivyoendelea kupanusha vyanzo vya nishati mbadala. Mwaka huu wanazima hata vituo vyote vya nyuklia (ilhali nchi nyingine zinataka kuongeza) .
View attachment 2636774
Gesi haitoki tena Urusi tangu mwaka jana, yote kutoka Afrika, Uarabuni na Marekani kupitia mabandari mapya.
Viwanda havisimami. Tatizo ni kwamba tangu kuja kwa Corona uchumi ulianza kukwama kiasa na sasa matokeo ya vita, hasa kupanda kwa bei, imepeleka ukuaji wa uchumi chini ya sifuri.
Maana watu huona bei zinapanda, hawanunui tena kama awali.
Isipiongezeka si tatizo kubwa mno, nchi nyingi zimeshapita vipindi kama hivyo.
Itategema na siasa ya serikali - tutaona kama mawazo yanabadilika kati ya wananchi.
Kiongozi gani analalamika "Russia support inazidi"??? Taja majina na lete vyanzo, tafadhali.Kwa nini viongozi wa Ulaya wana lalamika Russia support inazidi kuongezeka Western Europe, South Europe na Eastern one.
Elezea kwa nini serikari nyingi zilianguka za Mataifa ya Ulaya baada ya kuonyesha staunch support kwa Ukraine ikiwa ndio yalikuwa matakwa ya Wananchi wa nchi hizo?
Ikiwa ni matakwa ya raia basi ujue wangeweza kuvumilia ugumu wa maisha.
Hata wewe Mshana upo humu jamii forum kuharibu kucounter TRussian influence inayobase kwenye ukweli na sio uongo uongo wako kama ulivyokaririshwa na Western idiots
Kwahyo hapa umetoa maoni based na hisia zako tu.Kwa Zelensky ukiona ameanza lilia kitu kingine ujue alichopewa mwanzo kimeshindwa kumsaidia..
Kwa sasa wimbo ni F-16 na makombora ya masafa marefu..
Mkuu nchi zote za umoja wa Ulaya ziliamua kitambo (kabla ya Putin kuvamia 2022) kwamba wanataka kuachana na gesi na mafuta shauri ya hatari kwa tabianchi kutokana na kuchoma kabohidrati (=makaa, mafuta, gesi). Zote zilichelewa kuchukua hatua za lazima kuhamia nishati mbadala kama vile umemejua, umemeupepo, umememaji, uzalishaji wa hidrojeni. Mwaka 2021 nchi hizo zilifikia asilimia 20 nishati mbadala. Wengine waliendelea zaidi. Mfano nchi kama Uswidi (yenye tasnia kubwa ya feleji na mashine) tayari imefikia asilimia zaidi ya 60%.
Putin aliwasaidia sana kuchukua hatua za lazima kuendelea haraka zaidi.
Pamoja na hayo, nchi kama Hispania na Ureno hazikutumia gesi au mafuta ya Urusi kabisa kwa sababu zilitumia vyanzo vingine. Ujerumani ilikuwa ngumu sana kabla ya vita kwa sababu ilipata gesi ya Urusi kwa bei nafuu kidogo ilikosa pia mabandari kwa ajili ya gesi miminika kutoka Uarabuni au Marekani. lakini walijenga mabandari hayo haraka sana.
Hitimisho: nchi mbalimbali hazihitaji tena gesi ya Putin leo hii.
The Bulgarian government has collapsed in a no-confidence vote in parliament, throwing the European Union country into political turmoil amid the war in Ukraine and surging inflation.Kiongozi gani analalamika "Russia support inazidi"??? Taja majina na lete vyanzo, tafadhali.
Serikali gani zilianguka ?? Tafadhali jina la nchi, jina la serikali, tarehe!
Changamoto kwako ni hutaki kuona kwamba watu wengi wa kawaida wanaona hatari ni Urusi kwa sababu wanakumbuka historia ya Ulaya jinsi ilivyokuwa na vita nyingi mfululizo - na kwamba tangu 1945 silaha kati ya nchi zilinyamaza (isipokuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe Yugoslavia) - ila sasa Putin ameanza tena.
Na mataifa mengi ya nusu ya mashariki yanakumbuka jinsi gani yalilazimishwa kuishi chini ya Urusi na utawala wake wa kikomunisti (na Wapoland , Wabaltiki hata kabla ya ukomunisti). Hawana hamu ya kurudi.
Huu ni unafiki wa kutisha sana.Ni ukweli ulio wazi kwamba nchi zote zilizojifanya kukataa gesi na mafuta ya Urusi wananchi wao wanapitia maisha magumu sana.Bidhaa bei zipo at all time high,energy prices are at all time high,umaskini wa wananchi upo at all time high,kila kitu kimeparaganyika,even death rates are at all time high at 40%Mkuu nchi zote za umoja wa Ulaya ziliamua kitambo (kabla ya Putin kuvamia 2022) kwamba wanataka kuachana na gesi na mafuta shauri ya hatari kwa tabianchi kutokana na kuchoma kabohidrati (=makaa, mafuta, gesi). Zote zilichelewa kuchukua hatua za lazima kuhamia nishati mbadala kama vile umemejua, umemeupepo, umememaji, uzalishaji wa hidrojeni. Mwaka 2021 nchi hizo zilifikia asilimia 20 nishati mbadala. Wengine waliendelea zaidi. Mfano nchi kama Uswidi (yenye tasnia kubwa ya feleji na mashine) tayari imefikia asilimia zaidi ya 60%.
Putin aliwasaidia sana kuchukua hatua za lazima kuendelea haraka zaidi.
Pamoja na hayo, nchi kama Hispania na Ureno hazikutumia gesi au mafuta ya Urusi kabisa kwa sababu zilitumia vyanzo vingine. Ujerumani ilikuwa ngumu sana kabla ya vita kwa sababu ilipata gesi ya Urusi kwa bei nafuu kidogo ilikosa pia mabandari kwa ajili ya gesi miminika kutoka Uarabuni au Marekani. lakini walijenga mabandari hayo haraka sana.
Hitimisho: nchi mbalimbali hazihitaji tena gesi ya Putin leo hii.
Hivi unadhani watu makini wanaweza wakakubaliana na upuuzi huu kwamba eti serikali na nchi za Europe hazifuati matakwa ya USA?!?! Unajua ilichoambiwa Serbia kwa kukataa kuwa pamoja na USA na Europe kwenye mgogoro huu was Russia na Ukraine?! Wadanganye wajinga na wapumbavu wenzio....lakini nakuthibutishia watu wengi makini, waelewa na wanaotaka fairness katika masuala ya kidunia hawawezi kamwe kukubaliana na ujinga, ushenzi, upumbavu, undumilakuwili na uhayawani wa USA na nchi za magharibi na vikaragosi wao wote wakiwemo wale kwenye uzi huu...Mkuu si vizuri kuamini propaganda. Kwa mfano propaganda kwamba serikali za Ulaya zinapaswa kufuata maagizo kutoka US katika swali la Ukraine.
Serikali za Ulaya zilifuata matakwa ya wanachi wao wanaoona siasa ya Urusi inayolenga kubadilisha mipaka kwa mabavu ni hatari kwa kila nchi ya Ulaya.
Hapo ni sababu watu wa Ulaya (karibu kila nchi) wanasimama upande wa
Angalia kura za maoni zinazoendeshwa katika nchi za Ulaya, jibu ni hilohilo.
- misaada ya kiuchumi kwa Ukraine
- misaada ya kijeshi kwa Ukraine
- misaada kwa milioni za wakimbizi kutoka Ukraine
- vikwazo dhidi ya Urusi na makampuni ya Urusi
Wako wachache wasiokubali, wana uhuru wa kuandamana na kusema wanachotaka. Hapa unapata picha hizo zinazoonyeshwa hapa mara kwa mara na marafiki wa Putin.
😃😃😃😃😃sasa mkuu unaomba kufafanuliwa maswali yako alafu unaweka na mikwara kama yote duhh
Mkuu umenikumbusha zamani😂😂😂 comical Ally( Ally mchekeshaji) alitumia mikwara mpaka marekani wakaogopa kuingia bagdad wiki nzima wakaogopa counter offence, kumbe jeshi lilisha sambaratika zamani.... ..... Ukweli Saddam alikuwa na watu wenye misimamo eg ( chemical Ally, Tariq Aziz, naji Sabri, Sabaw ibrahim nk)Ukraine wananikumbusha mikwara ya Comical Ally wa Iraq wakati wa vita ya pili ya gulf.Kila aliemsikiliza aliamini jamaa wanatoa kipigo kikali kwa US na washirika wake,tena wakiwachinja kwa mamia kila siku kama update za mjomba kirat zinavotuambia.
Upuuzi mwngine huu...gesi ipo nchi nyingi lakini ya Russia ni cheaper na hivyo kufanya viwanda vya nchi Kama Ujerumani kujiendesha kibiashara....lakini hivi hiyo nishati mbadala ni expensive na kufanya baadhi ya viwanda kufungwa...View attachment 2636770
Unaona jinsi walivyoendelea kupanusha vyanzo vya nishati mbadala. Mwaka huu wanazima hata vituo vyote vya nyuklia (ilhali nchi nyingine zinataka kuongeza) .
View attachment 2636774
Gesi haitoki tena Urusi tangu mwaka jana, yote kutoka Afrika, Uarabuni na Marekani kupitia mabandari mapya.
Viwanda havisimami. Tatizo ni kwamba tangu kuja kwa Corona uchumi ulianza kukwama kiasa na sasa matokeo ya vita, hasa kupanda kwa bei, imepeleka ukuaji wa uchumi chini ya sifuri.
Maana watu huona bei zinapanda, hawanunui tena kama awali.
Isipiongezeka si tatizo kubwa mno, nchi nyingi zimeshapita vipindi kama hivyo.
Itategema na siasa ya serikali - tutaona kama mawazo yanabadilika kati ya wananchi.
Gharama hizo wanazotumia hasa katika nishati wataweza vipi kupambana na China, ambayo inapata gas Kwa gharama nafuu?. Na Kwa nini uchumi ambao unasema nikawaida kusinyaa Kwa baadhi ya nchi kama German Kwa nini nitoafuti Kwa urusi hasa ukizingatia juu ya lipoti iliyotolewa na IMF?.View attachment 2636770
Unaona jinsi walivyoendelea kupanusha vyanzo vya nishati mbadala. Mwaka huu wanazima hata vituo vyote vya nyuklia (ilhali nchi nyingine zinataka kuongeza) .
View attachment 2636774
Gesi haitoki tena Urusi tangu mwaka jana, yote kutoka Afrika, Uarabuni na Marekani kupitia mabandari mapya.
Viwanda havisimami. Tatizo ni kwamba tangu kuja kwa Corona uchumi ulianza kukwama kiasa na sasa matokeo ya vita, hasa kupanda kwa bei, imepeleka ukuaji wa uchumi chini ya sifuri.
Maana watu huona bei zinapanda, hawanunui tena kama awali.
Isipiongezeka si tatizo kubwa mno, nchi nyingi zimeshapita vipindi kama hivyo.
Itategema na siasa ya serikali - tutaona kama mawazo yanabadilika kati ya wananchi.
Eti kupokea taarifa za kuangushwa Kinzhal sita!!!nUwezo wa Patriot kutungua hypersonic missiles haupo hata kwenye blue prints za ma designer wa Kimerikani wanao kiri sasa hivi Merikani hana silaha yoyote ya kuweza ku-contain missiles za Kinzhal , ,glide vehicles wala DARMkwamba uwezekanoKibali cha Biden cha kuandaa ndegevita kwa Ukraine na kufundisha marubani wao kilitolewa baada ya kupokea taarifa kuhusu kuangushwa kwa Kinzhal sita.
Inaonekana kulikuwa na watu waliomwonya Biden hizo roketi zinaweza kuwa tishio kweli.
Sasa inaonekana hofu hiyo imepotea.
Point taken - thanks a lot.Ni comment nzuri,shida ni Kiswahili:usuruishi,mfururizo,hisijiunge,taaruki nk.
Usisahau kumeza vidonge...uchizi hauponiMiezi 10 superpower uchwara anapigania eneo hata halistahili kuitwa wilaya kama lingekuwa Tanzania. Eti hilo ndilo jeshi la kupigana na Finland au Poland, bila aibu eti mnapigana na NATO. Shukuru Mmarekani alitoa pesa yake na vifaa la sivyo Hitler angewachukua mkawaoshee vyombo Wajerumani maana alikuwa anataka kuifanya Urusi shamba kubwa
🙏Eti kupokea taarifa za kuangushwa Kinzhal sita!!!nUwezo wa Patriot kutungua hypersonic missiles haupo hata kwenye blue prints za ma designer wa Kimerikani wanao kiri sasa hivi Merikani hana silaha yoyote ya kuweza ku-contain missiles za Kinzhal , ,glide vehicles wala DARMkwamba uwezekano
Point taken - thanks a lot.
Mkuu ni vema kujielimisha. China haitumii sana gesi, maana wenyewe hawana nyingi. MAbomba kutoka Urusi yanahitaji kujengwa kwanza hadi wafaidike.Gharama hizo wanazotumia hasa katika nishati wataweza vipi kupambana na China, ambayo inapata gas Kwa gharama nafuu?. Na Kwa nini uchumi ambao unasema nikawaida kusinyaa Kwa baadhi ya nchi kama German Kwa nini nitoafuti Kwa urusi hasa ukizingatia juu ya lipoti iliyotolewa na IMF?.
Wakishakuwa wamepiga vyombo na chanjo walizochanja +jinsia zisizoeleweka uwezo wa kung'amua mambo inakuwa changamotoPunyeto mbaya Sana yaani marekani anawatuma wanajeshi wa Ukraine wakafe halafu wanakubali Kama nyumbu tu.