Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndiyo bado kuna gesi kutoka Urusi inayofika Ulaya. Halafu?
Mbali na nchi za mashariki kama Hungaria zinazoendelea kutumia bomba ni hasa gesi miminika ambayo awali haikuwa chini ya vikwazo. Ila hata gesi miminika inapungua kuuzwa. Kwa jumla kiasi cha gesi kutoka Urusi kwa Ulaya ilipungua zaidi ya nusu hadi Novemba 2022, imeendelea kupungua zaidi. Mabomba ya Nordstream na Yamal (poland) yako kwa 0. Unajua kwamba Urusi bado inalipa Ukraine kwa haki ya kusafirisha gesi yake hadi sehemu za Ulaya? Bomba la Turkstream linaendelea pia.
Soma:
Russia's share of the European market was around 50% until the second half of 2021. Since then, the share of Russian gas started to decline rapidly and the market shares of other suppliers started to grow. This process sped up in 2022 in particular. Since June 2022, Russia’s share of EU gas imports is below 20%. In November, it was 12.9%.
Between January and November 2022, Russia (pipeline gas + LNG import) stood for less than a quarter of EU gas import. Another quarter came from Norway, 11.6% from Algeria. LNG import (excluding Russia - mainly from US, Qatar and Nigeria) stood for 25.7%.
Ila Putin anakwama kuuza gesi inayobaki baada ya kufunga Nordstream. Ona taarifa ya Izvestia! Maana hana njia za kutosha
 
Ingekuwa ndio imetokea Urusi ... Sipati picha ....hiyo vurugu yake ya kupost. Kutoka kwa mazombie ya NATO ....
 

Rejelea post yako no.121875
Umemuweza
 
Yaani haka kanchi ni kama rwanda tu ..rwanda 26,000kmΒ² haka ni 27,000kmΒ²....
 
Kajinga hao karobt la umshana .... Hata hakajieewi eti nitajie nchi zilizoangukanna tarehe .... Bogus kabisa ...
 
Kiasi gani kinaweza kupita? Ukilinganisha na mabomba yaliyofungwa upande wa magharibi ???
Ulisema hakuna uanaambiwa ipo.... Unakubali na unakuja tena KIASI GANI ..... Haya nenda google translate uje kujibu hoja za watu .... Mzee wa KUPANUSHA .... Google translate and NATO maniac....umerogwa si bure .... Wenzako wooote wamechutama kuficha mazaga wewe na kirat ndio mnashupaza shingo ...HAMJISHANGAI!!??
 
Wewe hapa data ziko wapi !!! Unapiga tu kabobo halafu unamwambia mwenzako alete data ...... Ila we jamaa ongeza juhudi .... Wataupeleka Brussels siku si nyingi....ukawe mshauri wa uchumi pale ..... Keep it up
 

People should take notes...
 
Jibu swali hyo project ipo au haipo?
Mkuu soma juu ukitaka kushiriki hapa. Mabomba ya Siberia yapo hadi China, yanajaa.
Hakuna aliyeonyesha hapa gesi iliokwednda Ulaya itumie njia gani kufika China.
Na wewe hujui bali unapiga kelele tu.
Putin hana njia ya kuongeza gesi kwenda China hadi anajenga bomba jipya. Kama anaweza tutaona, itachukua miaka.
Hapo sababu gazeti la Kirusi Izvestia lilitangaza kwamba mauzo ya gesi yatashuka 50%.
Tokeo zuri.
 
Mkuu jaribu kuazima akili. Labda itasaidia. Unakimbilia mchezo wa maneno. Bomba hadi china lipo, linjaa, haliwezi kubeba gesi iliyopelekwa hadi sasa Ulaya.
Ukiazima akili kidogo tu, utaelewa kwa nini gazeti la Kirusi Izvestia inatangaza kwamba mauzo ya gesi nje yatapungua tena 2023 kwa asilimia 50.
(ikilinganishwa na 2022, na hii ilikuwa tayari mwaka mbaya kwa biashara ya gesi ya Urusi; hata kama mapato yalipanda mwaka ule shauri ya kupanda kwa bei, kiasi cha gesi ilipungua na sasa bei zimeshuka tena!!!)
 

Russian forces easing attacks on Bakhmut in order to regroup, says Ukraine​

Russian forces have temporarily eased their attacks on Bakhmut to regroup and strengthen their capabilities, a senior Ukrainian official has said.

In a statement on Telegram, Ukraine's Deputy Defence Minister Hanna Maliar said Russian forces have continued attacking but that "overall offensive activity has decreased".

"Yesterday and today there have not been any active battles - neither in the city nor on the flanks," she wrote, adding that Moscow's troops were instead shelling the outskirts and approaches to Bakhmut.

"The decrease in the enemy's offensive activity is due to the fact that troops are being replaced and regrouped," Maliar said.

"The enemy is trying to strengthen its own capabilities."
She added that Ukrainian troops "firmly hold" the heights overlooking Bakhmut from the north and south, as well as a portion of the outskirts, but have not advanced during the past two days to focus on "other tasks".

It comes after Russia's mercenary Wagner group started handing over its positions to regular Russian troops earlier this week.

Here's the latest territorial situation around Bakhmut...


==========================

Kabla ya kuanza kwa hii SMO, Urusi ilionekana kama dude kubwa mno la kutisha kumbe sio hivyo.....hata Mzee Putin na genge lake walijiona supa-pawa.

Propaganda ina nguvu sana ikitumika vyema.

Hicho kitongoji tu wametumia zaidi ya nusu mwaka na rasilimali za kutosha kukidhibiti, eti ndio wakupambana na NATO huyu ?....

Urusi haiwezi kamwe kumaliza hii Vita kwa ushindi wa kijeshi bila mazungumzo ya kidiplomasia.
 
Unaijua Nguvu waloitumia Eukrain hapo? Au Huijui vita ya Bakhmut?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…