Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndo maana China wana mifumo miwili, Ujamaa na ubepari, sera zao za kisiasa na kijeshi bado zipo kwenye kipindi cha Soviet lakini kiuchumi wapo ki capitalist.

Mkuu PNU,

Kimsingi nchi zote Duniani kwa sasa zipo kwenye Mixed economy.

Hakuna nchi ambayo ni Pure Capitalist wala hakuna ambayo ni Pure Socialist.

Walisoma Economics wanaelewa.
 
Inawezekana kabisa kama microbiologist Mathanzua asemavyo hii ni chatbot🤔.

Maneno yake ni kama google translate kabisa! Au ni AI labda nn!? Basi irudishe feedback imefeli kujifanya ni mtu.

Huwa sifuatani na nadharia njama kama za braza. Lakini inaonesha kuna faida ya kuwasikiliza watu walio suspicious na kila kitu western kama braza. Kama hapa katusaidia tumejua kuwa the so called western-kabalistic-khazarianmafia-ajenda 😌. Is using even some bots and AI to install propaganda promulgating devices to try control peoples' perception. 'Evil indeed' 😆😆 in Mathanzua 's voice.

Anyway, to braza pamoja na kuwa sidhani kama kuna ulazima wa kumuhisisha shetani na hili. Au kuwa paranoid saana kwamba wanataka kuua saana.
Nadhani tu ni mambo ya ukoloni na kujaribu kuendelea kututawala, sababu inajulikana; When two intelligent species colide, they often struggle to dominate each other rather than annihilate each other.
 
Ebu acha kuchekesha watu wewe.yani mauzo ya gesi ya urusi kwa ulaya yashuke mpaka asilimia 50.unafikiri wanatoa wapi gesi ya kuweza kuziba ilo pengo la gesi la Urusi. Au ndo unachana na gesi unarudi zama za makaa ya mawe.

Hakuna mwenye jeuri ya kuikimbia gesi ya Mrusi maana ukikataa kununua Urusi,nyingine unatoa wapi.ndo maana alivyowambia anauza kwa ela yake, hakuna aliyegoma.hakuna kiongozi mwenye ujasiri uwo.
 
Uhakika Bro nimekupata.Ila naomba nikurekebishe kidogo with all due respect.Mpango wa depopulation kweli upo,na sio hicho watu wanachoita wrongly conspiracy theory,hiki ni kitu real na confirmed kabisa na wahusika wakuu:World Economic Forum,Bildeberg Group,akina Bill Gates, George Soros,Rockefeller,Rothschilds,succesive US Presidents,Club of Rome nk.,so sio siri tena.Infact their target is to reduce the World population especially Africans to a mere 500 million people,who they want to be Zombies.Why Africans?This is why👇


Kama hiyo target watai -meet sijui,lakini hilo ndilo lengo lao.
 

COMMISSION TO EXPOSE EVIL
So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill the body but cannot kill the soul. Rather, be afraid of the One who can destroy both soul and body in hell”. Jesus Christ – Gospel of Mathew, 10,26-28
​

​

BOMBSHELL CONFESSION :Ukrainian Military medical staff systematically harvesting organs from wounded soldiers and Injured civilians for sale to Western buyers (Video)​

May 27, 2023

UKRAINE MURDERS WOUNDED UKRAINIAN SOLDIERS AND SELLS THEIR ORGANS,AND GOES AWAY WITH IT!INSTEAD PUTIN WHO REMOVES CHILDREN FROM DANGER IN WAR TORN AREAS OF UKRAINE AND SENDS THEM TO RUSSIA FOR SATETY IS SENT TO THE ICC!THESE ARE EXTREME DOUBLE STANDARS IN AN OBVIOUSLY VERY EVIL WORLD.​


 
Viva putin🇷🇺💪
 
Mkuu inaonekana sehemu kubwa ya habari za miaka iliyopita ilipita kwako??? Nchi nyingi zimeamua kuachana na gesi na mafuta. Kadri zinavyofaulu kuhamia nishati mbadala (umeme wa sola, upepo, maji...) hazihitahi gesi na mafuta mengi. Shabaha ni kufika SIFURI gesi na mafuta hadi 2040 / 2050.

Halafu tekinolojia zimeongeza akiba ya gesi. Maana yake kwa Ulaya: viwango vya gesi ambavyo bado vinahitajika (ilhali vinapungua) vinapatikana pia kutoka vyanzo vingine hasa gesi miminika kutoka Marekani, Uarabuni, na labda baadaye kidogo pia kutoka Tanzania.
Urusi haihitajiki tena kwa Ulaya. Genius Putin aliua miradi mikubwa kama Nordstream na kuzuia mipango mingine. Sasa anaweza kujaribu kuuza China - akifaulu kujenga mabomba ya nyongeza baada ya miaka kadhaa. . . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…