Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
To replace Patriot: US will buy NASAMS for Ukraine

Ukraine has received approval from the US State Department for the purchase of a NASAMS battery.

The Pentagon communiqué states that the value of the deal will not exceed $285 million, the funds will be allocated under the US military sales program.

The contractor is Raytheon, whose NASAMS system includes the AN / MPQ-64F1 Sentinel radar, a fire distribution center command post, 12 launchers, encrypted radars, GPS receivers, spare parts, tool kits, auxiliary equipment, and technical support.

The deal does not include the training of Ukrainian anti-aircraft gunners, which indicates free specialists as a result of training in other countries or the loss of an existing air defense system.

The Russian Armed Forces have experience in defeating such systems - in February, NASAMS, supplied by Norway, was destroyed.

Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.
t.me/+B6ixfOM5VkxhO…

@Slavyangrad
Join SLG [emoji832] Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
 
Range per kilogram ni $5 to 6$ per kilogram. Hiyo nigharama yakutumia hydrolysis unayoizungumzia, bado hujaweka gharama za usafirishaji mkuu kidogo ukizungumza vitu viweke katika uhalisia wa bei. Mfano nchi kama Tz wanashindwa kutumia tu gas Kwa mtungi wa kg 7 Kwa bei ya $10, je mtu huyo ataweza vipi hio technology ya kg 1, dola 6?. Au huko Ulaya Kwa Nini huko west Europe price Cap ilishindikana Kwa gas inayotoka urusi?. Marekan wanzalisha Gas ndio lkn vipi mahitaj yao yanaeatosheleza wao?.
 
Oh, No - not again!! How can an American hyped Patriot ADS be caught fast asleep yet again??

What a MEGA shame - sijui safari ma Gringos watatujia na lame excuses gani - kama clown Zelensky ka - survive this mega blast basi he gotta nine lives like a CAT, kama hakutolewa pumzi basi ajifunze kutochezea maisha ya Putin bomb mpaka litasababisha mtetemeko wa aridhi ulio sikika radius kubwa kutoka epi center - Warusi hawana mchezo, tukiwakumbusheni sisi mnatuona hamnazo
 
Boiler viwandani zitaendeshwa na Nini?.

Je boiler viwandani unafikir Kwa Nini wamehama kutoka kwenye makaa ya mawe, Kuni, umeme na kukimbilia gas?.
Mkuu nimeleta mifano huko juu kwamba unaweza kutumia umeme kwa kila kusudi unapotaka kuzalisha joto (boiler, kuyeyusha chuma, metali yoyote, kioo.... ) au unapobadilisha joto kuwa mwendo, mfano kwenye injini.
Hii ni elimu ya kimsingi na kawaida kabisa siku hizi.
Hata tukiijadili hapa katika mazingira ambako wananchi wengo bado wanaendelea kuwasha kuni kati ya mawe matatu chini ya sufuria.
Kuhama kutoka kuni na makaa ya mawe ni njia mojawapo kupunguza madhara ya gesi sumu na uharibifu wa mazingira hivyo kwa mazingira ya hapa TZ ni hatua nzuri.
Ila si tekinolojia ya kisasa, ni njia tunayoweza kutumia kwa muda tu.
 
Kuna kitu ukijui kuhusu gharama za nishati.natural gas ni nafuu kuliko nishati yoyote ile na pia ni salama kwa utunzaji wa mazingira.
Ingawa natural gas ni nafuu lkn pia bado bado wananchi wahizo nchi wanalalamika bei Iko juu, eti utumie hydrolysis kuzalisha hydrogen gharama yake Iko vipi?. Mkuu achana nahuyu Jamaa anapoteza muda kwenye mambo ambayo hata mtoto anaesoma chemistry juu ya dis advantage za hydrolysis kwenye General chemistry anajua Kwa nn watu hawatumia hydrolysis kuzalisha gas za hydrogen Kwa wingi
 
Unashauriwa kutumia umeme tu kuendesha boiler pindi ambapo Gas haipo sio kwamba gas nighari pale ambapo haipo yaan haipatikani kabisa . Unafikir Kwa nini wataalam wanashauri hivyo?.
 
Jamaa mbishi sana kwa kweli ivi Ulaya nzima awajaliona ilo mpaka wameamua kuwa watumwa wa natural gas kwa Warusi.

Ina maana huyu jamaa ana akili kuliko nchi za ulaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa mbishi sana kwa kweli ivi Ulaya nzima awajaliona ilo mpaka wameamua kuwa watumwa wa natural gas kwa Warusi.

Ina maana huyu jamaa ana akili kuliko nchi za ulaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na teknolojia ya alkaline hydrolysis imegunduliwa zaidi ya miaka 150 iliyopita lkn mpaka Leo impact yake nindogo kwenye viwanda.
 
Mkuu mfano wa hidrojeni ni jambo linalojadiliwa katika nchi zilizoendelea kitekinolojia. Wanaijadili kwa sababu tayari wamefikia mahali ambako wanazima parapela ya umemeupepo kwa sababu upepo umezidi na hawana njia ya kuhifadhi umeme hiyo.
Sijasema ni mbinu unaofaa sasa kwa nchi kama TZ.
Katika mfumo wa ubepari wa Marekani hawapangi sana mbele wanaruhusu sasa wamiliki wa ardhi kutoka gesi yote hata kwa njia ya "fracking" (ambayo mimi naona kuna hatari za kimazingira). lakini kwa njia hiyo Marekani imefaulu kuongeza uzalishaji wa gesi asilia hadi kuwa mzalishaji mkubwa duniani hivyo wanauza kote.
Hiyo gesi itakwisha siku moja lakini wengi hawajali sana.
Kwa jumla naona hasara ya kuchoma gesi maana sawa na makaa na mafuta kunaongeza hewa ukaa na mabadiliko hatari za tabianchi duniani.
 
Unashauriwa kutumia umeme tu kuendesha boiler pindi ambapo Gas haipo sio kwamba gas nighari pale ambapo haipo yaan haipatikani kabisa . Unafikir Kwa nini wataalam wanashauri hivyo?.
Jibu lako litategemea na aina ya "Wataalamu". Nilivyosema, katika mazingira ya hapa umeme bado ni ghali mno na hapa si rahisi kuitegemea kweli.
Ila hapa tunajadili habari za gesi asilia ya Urusi na swali kama kuna njia mbadala kwa matumizi yake.
Njia hizo ziko kwa sababu uchumi ulioendelea huko Ulaya unatengeneza haraka sana njia nyingi mbadala za kuzalisha na kutumia nishati, hata bila gesi kabisa.
Azimio la kuachana kabisa na gesi, mafuta na makaa walifanya EU tayari kabla ya vita.
Vita ya Putin inaongeza kasi ya mabadiliko hayao.
 
Kitu kujadiliwa nijambo Moja, unapozungumza jambo kabla halijanza kutumika angalia gharama. Nikupe mfano nchi nyingi Zenye bahari Kwa Nini bawatumii majii ya baharini Kwa ajili ya matumiz ya majumban na viwandani?. Unafikiri haiwezekan? . Inawezekana lkn sabuni ni gharama, huwezi kujenga plant kubwa kutoa chumvi kwenye maji huku mbadala na nafuu ukiwepo. Hayo ya hydrogen hayajaanza kuzungumzwa Leo, au unafikir Kwa nn maji hayatumiki kama mbadala wa mafuta,gas, kwenye magari?. Unafikiri haiwezekan?. Je unajua effect ya kiuchumi Hilo likifanyika?.
 
mkuu hawa watalebani dawa yao ni hii..
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2638584
 
Huko west Europe watu wanawaza kutumia makaa ya mawe viwandani ili kukablina na uhaba wa gas halafu ww unazungumzia nishati mbadala. Utakua unaishi Dunia ya peke Yako.
 
Huko west Europe watu wanawaza kutumia makaa ya mawe viwandani ili kukablina na uhaba wa gas halafu ww unazungumzia nishati mbadala. Utakua unaishi Dunia ya peke Yako.
Kwanza anatakiwa kujua kuwa Ukraine ilianza kuvamiwa toka 2014(miaka 9 nyuma).

Kungekuwa na mbadala basi wangekuwa washasahau kuhusu gas ya Urusi
 

Kwan urusi inapigana na burundi au.nenda kapigane ww hio vita ya cku moja.hata aende taratibu vp mradi anashinda tuko sawa.hatuna haraka
 
Sasa wewe u mgumu kuelewa kitu au hutaki?? Nimesema angalau mara 2 au 3 kwamba njia ya hidrolisisi injadiliwa pale Ulaya ambako wana ziada ya umeme wakati mwingine.
Unaona faida gani kuzimisha parapela wakati upepo mzuri upo lakini huwezi kuuza umeme???
Hapa kuna majadiliano kutumia nafasi hizo kwa hidrolisisi badala ya kutupa nafasi tu.
Kama haiingii akilini mwako si kitu, watu wengine wanaona nafasi wanajiandaa kupata faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…