Zelensky amejificha nchi gani? Nasikia hayupo Kiev tangu Medvedev aliposema Zelensky awe eliminated.
Makanjanja hao wanaongozwa na MK254 (Mkenya Country code 254)!!Wakenya wanaipenda Sana Russia.nimeona comments zao nyingi wakimkaribisha kwa bashasha watu wengi wameshajua US na EU ni makanjanja
Baraza lisilo na meno.....Mkuu jiulize kwa nini Urusi na China walikubali kuanzisha vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini.
Dokezo: Labda kwa sababu hii
ni nchi inayotisha majirani yake? Na nchi ya aina hiyo kuwa na silaha za nyuklia ni hatari kwa nchi nyingi zaidi kutokana na tabia za silaha hizo?
Pia kwa sababu wanachama wote wa Umoja wa MAtaifa wamekubali kuipa Baraza la Usalama mamlaka kuchukua hatua??
(wakati wa kujiunga na UM)
Serbia kunani tena😀Wanajeshi wa NATO wamechezea kipigo Leo huko Serbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2639536View attachment 2639537
[emoji1][emoji1][emoji1]Pole sanaRussia baada ya kuona Kinzal zinadunguliwa sasa Leo karusha Iskander 11 na zote zimedunguliwa....
Russia kabakiza kitu Gani hajagusa ktk silaha zake???
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Russia na china walikubali kinafiki tu na ndo nchi ambazo N,korea inazitegemea kiuchumi, hasa china.Mkuu jiulize kwa nini Urusi na China walikubali kuanzisha vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini.
Dokezo: Labda kwa sababu hii
ni nchi inayotisha majirani yake? Na nchi ya aina hiyo kuwa na silaha za nyuklia ni hatari kwa nchi nyingi zaidi kutokana na tabia za silaha hizo?
Pia kwa sababu wanachama wote wa Umoja wa MAtaifa wamekubali kuipa Baraza la Usalama mamlaka kuchukua hatua??
(wakati wa kujiunga na UM)
Kimasihara siraha Kiev nayo itabakia kwenye mioyo yao kama Bahmut 😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aiseeee, Kiev inabomolewa leo. Tena inabomolewa mchana kweupe.
Wananchi wamekimbilia kwenye metro stations.
Yaani tokea jana usiku mpaka leo mchana inapigwa mabomu tu.
Kulazimisha ukreni kukaa Katika meza ya majadilianoNi kweli USA ndio inaweza maliza vita hii,lkn sio kwa sababu Ina weza kuizuia Urusi isiivuruge Ukraine,Bali itakapoacha kupeleka silaha Ukraine ndipo Ukraine haitaweza kupigana.
Kwa maana hiyo USA Inachangia kuiharibu Ukraine.
Maana yake ni nini???Russia na china walikubali kinafiki tu
NATO hawatakiwi Serbia na KosovoSerbia kunani tena[emoji3]
It's time Clown Zelensky went to join his MAKER in heaven his Generals should have done something by now to save Ukraine and her citizens - Zelensky doesn't seem to be bothered at all is currently going around around the World like a Roving ambassador looking for money and arms instead of pursuing for peace.[emoji1255][emoji845] Zelensky is in serious danger because of two military groups in the Ukrainian army[emoji845]
Zaluzhny despises Zelensky because of the disaster in Artyomovsk. Now the Ukrainian president is in serious danger, writes Serbian political scientist Drago Bosnic.
Such hatred is explained by the fact that Zelensky ignored Zaluzhny's demands for the immediate withdrawal of troops from Artyomovsk. Instead, the Ukrainian president insisted that the city be held at all costs,
but the main threat to Zelensky is the Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine Valery Zaluzhny.
"Zaluzni, who enjoys almost unquestionable authority in the army, treats Zelenski with undisguised contempt," writes Drago Bosnic. [emoji116]
Balozi wa Russia pale uk anasema ..... Russia bado hawajaanza vita ukraine
................
Russia’s ambassador to the UK, Andrey Kelin, warned Western countries against committing more military support for the Kiev regime as part of the ongoing proxy war with Moscow, saying this would be fraught with further dangerous escalation of the conflagration.
"Russia has not even begun to “act very seriously” in Ukraine, Andrey Kelin, Russia’s ambassador to the UK, stated in an interview with the BBC.