Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mungu anakataza matendo ya kibeberu na wewe upo busy kumpigania beberu humu,kweli we ni Chatbot
 
Storm zimeishia wapi? Himars vp? Hizo ni dagaa tu kwa kambare.
 
Habari nyingi zinazoletwa na Pro russia ambao ni wengi kwenye huu uzi hazina source walau hata pich hakuna. Nyingi ni merely here say, unaambiwa etc.

Inakuwa hakuna tofauti na wauza karanga wa gongo la mboto.
Lete Basi we hizo picha tuzione. Na msibani pia uzilete tuone mazishi yenu huko Germany.
 

Pesa mzee, wanafikiri Mrussi hajui kinachoendelea
 
Haya Mabilion ya madora ambayo yanamwaga Ukraine kutoka Nchi za Magharibi hivi ninkweli au USA anatumia hicho kivuli Cha msaada kama sehem ya kupigia pesa pamoja na propoganda

Wanasema za kwao changanya na zako. Zelenksyy kuna kipindi alikua analalamika misaada haifiki kwa haraka sio kama wanavyotangaza.
 

Naiona kiev kuwa bakmut ya 2
 
Habari nyingi zinazoletwa na Pro russia ambao ni wengi kwenye huu uzi hazina source walau hata p. Nyingi ni merely here say, unaambiwa etc.

Inakuwa hakuna tofauti na wauza karanga wa gongo la mboto.
Source ni sisi wenyewe...we are knowledgeable and researchers from various sources...sisi hatuchukui kutoka You tube, The Sun na wasemaji wa Ukraine
 
,[emoji298]President Volodymyr Zelensky visited Odesa Oblast on May 31, meeting with the regional military and law enforcement heads to discuss the situation in the southern region.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wanasema za kwao changanya na zako. Zelenksyy kuna kipindi alikua analalamika misaada haifiki kwa haraka sio kama wanavyotangaza.
Mm najua kabisa hizi ni propoganda ambazo USA anatumia Alfu huyu zelensk ni mpumbavu sana hivi mtu anawezaje kukudanganya danganywa kama mpumbavu wakati yeye Taifa lake Lina uhuru Leo Kuna makala flani nilikua naisoma aisee Yani Ukraine imekua kma Taifa la zaman sanaa Yani limevurugwa vibaya mno

Hapa raia wa Ukraine waliyumba kukabidhi nchi kwa Mchekeshaji
 
Patriot zimetumika how much huwe unateletea na comparison
 
Habari nyingi zinazoletwa na Pro russia ambao ni wengi kwenye huu uzi hazina source walau hata pich hakuna. Nyingi ni merely here say, unaambiwa etc.

Inakuwa hakuna tofauti na wauza karanga wa gongo la mboto.
Mkuu tusaidie sisi waswahili wa Buza lugha kidogo tatizo, hiyo here say maana yake nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…