kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Una tabiri au ndo taarifa rasmiHuenda urusi ikaanza mchakato wa kuichukua kharkiv hili eneo limekuwa likitumiwa na ukraine kujipenyeza ndani ya ardhi ya urusi
Kimahesabu tuliambiwa ballistic missile ni ngumu kuzitungua , vp huku ukraine wanatungua hovyo[emoji779]️The Russians attacked Kyiv this morning with 10 "Iskander" missiles. All of them were shot down by Ukrainian air defence.
DESTROYED:
• 7 Iskander-M ballistic missiles
• 3 Iskander-K cruise missilesView attachment 2642262
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Dunia ya Sasa inaendeshwa kiplopaganda mkuu,ingawaje bahati mbaya uhalisia unapojitokeza hadharani,wahuska wanaumbukaKimahesabu tuliambiwa ballistic missile ni ngumu kuzitungua , vp huku ukraine wanatungua hovyo
mwoneshe hii map...[emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]Moldova [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kakijiji kanalingana na Mbezi Msakuzi
relaaaax ...[emoji4][emoji4][emoji4]Kichwa kimoja kinajadiliwa na watu 40+View attachment 2642797
Roketi za "kutupwa/kurushwa" (=ballistic) ni tofauti na roketi za kulengwa (=guided). Kimsingi zinarushwa kwa kutumia kani fulani pamoja na kulengwa kwa shabaha; lakini mara zimerushwa zinafuata mwendo uliokadiriwa tangu mwanzo.Kimahesabu tuliambiwa ballistic missile ni ngumu kuzitungua , vp huku ukraine wanatungua hovyo
Russia aliwezaje kuliweka chini ya umiliki wake hilo eneo la Kaliningrad?mwoneshe hii map...[emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 2642902
Current data ni Billion 85Mkuu kweli ni nchi ndogo, pia kati ya nchi maskini zaidi za Ulaya ILA......
mapato kwa kila mkazi ni $ 5,529 - kwa Tanzania ni $ 1,105
GDP kwa jumla ni $ bilioni 14 - Tanzania inafikia $ bilioni 62 ingawa hapa kuna watu mara 22, hapa kuna dhahabu na nini - huko wanachapa kazi kwenye kilimo.
(ukilinganisha na jirani mdogo: Rwanda ina GDP ya $ bilioni 13, mapato ya wastani kwa kila mtu $970, iddai ya wakazi ni karibu mara tano ya Moldova)
Kwa hiyo - wapuuze tu, lakini usiangalie kioo!
(na heri usilinganishe na Mbezi, kuna hatari ya kukutana na mtu anayejua kuhesabu!)
Mkuu unataja mambo ambayo ni kweli. Ila Moldova hakika hawapati data za kila biashara ....Current data ni Billion 85
Pili kanchi kenye uchumi kama Burundi kama issue gani?
Tatu Africa uchumi wetu haupimwi unavyotakiwa.
Kwa sababu Kuna shughuli nyingi za uchumi ambazo hazijaingizwa kwenye kukototoa GDP.
Europe every transaction wanaifatilia.
Utawala wa Urusi juu ya Prussia ya Mashariki ni tokeo la upanuzi wa kibeberu wa Urusi. Mwaka 1945 Urusi ilipataka na Marekani kuhamisha nchi ya poland kuelekea magharibi, kwa kukata sehemu za Ujerumani, kuwafukuza milioni 10 Wajerumani na kupeleka kule Wapoland waliofukuzwa na Urusi katika maeneo ya poland ya Mashariki yaliyochukuliwa na USSR; maeneo ya awali ya Poland yaligawiwa kati ya jamhuri za USSR za Ukraine, Byelarus na Lithuania (nchi iliyovamiwa na Urusi 1940 na kuingizwa kimabavu ndani ya USSR).Russia aliwezaje kuliweka chini ya umiliki wake hilo eneo la Kaliningrad?
Naona hilo eneo lipo mbali sana na RUSSIA ya leo.
Eneo lipo poland na lithuania kwa mujibu wa hiyo ramani ulioiweka.
Najua naweza kupata jawabu kwa dokta google
Kichwa kimoja kinajadiliwa na watu 40+View attachment 2642797
Ha ha ha.... Hivi zelensky tangu apigwe biti na Medvedev asharud nchini kwake kweli?Naona Mrusi Kaamua Kupiga Sawa sawa
saivi Viongozi wa Ukrein wanaishi kwa Shida sana wanajificha kama nguchiro
zile Swaga za Zele kutembea mtaani Tusitegemee kwasasa