Tena ni nchi iliyopaswa kukaa chini ya ukoloni wa Kirusi kwa miaka mingi sana!Mkuu unataja mambo ambayo ni kweli. Ila Moldova hakika hawapati data za kila biashara ....
Sikutaja Burundi bali Rwanda.
Nchi ambayo imefaulu kufikia kiwango cha usafi (yaani kupunguza takataka) kinachoshinda Kenya na Tanzania
Usisahau: katika shughuli za Kijeshi, Rwanda ndogo inapita uwezo wa nchi nyingi jirani.
Sisemi Moldova ni vile, ila hakika si busara kudharau nchi kwa sababu ni ndogo.
Tena ni nchi iliyopaswa kukaa chini ya ukoloni wa Kirusi kwa miaka mingi sana!
Huyo hawezi kurudi tena keshaolewa huko mashoga wenzieHa ha ha.... Hivi zelensky tangu apigwe biti na Medvedev asharud nchini kwake kweli?
Lilimegwa kutoka kwa mjerumani.Russia aliwezaje kuliweka chini ya umiliki wake hilo eneo la Kaliningrad?
Naona hilo eneo lipo mbali sana na RUSSIA ya leo.
Eneo lipo poland na lithuania kwa mujibu wa hiyo ramani ulioiweka.
Najua naweza kupata jawabu kwa dokta google
Kwa maana hio ballistic ni rahis kutungua kuliko cruiseRoketi za "kutupwa/kurushwa" (=ballistic) ni tofauti na roketi za kulengwa (=guided). Kimsingi zinarushwa kwa kutumia kani fulani pamoja na kulengwa kwa shabaha; lakini mara zimerushwa zinafuata mwendo uliokadiriwa tangu mwanzo.
Kwa hiyo ni rahisi zaidi kutambua shabaha wakati bado ziko hewani na kupambana nazo.
Tofauti ni roketi za kulengwa kama cruise missiles ambazo zinaweza kubadilisha mwendo na mwelekeo zikiwa hewani.
Bado Anazurula TU uyo gaidi wenu [emoji28][emoji298]️Volodymyr Zelensky has arrived in Moldova to attend the European Summit
“Today we work in Moldova. Participation in the summit of the European political community. Many bilateral meetings. We are developing a coalition of fighters and offer a coalition of Patriots,” the President said.View attachment 2642252
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji779]️The Russians attacked Kyiv this morning with 10 "Iskander" missiles. All of them were shot down by Ukrainian air defence.
DESTROYED:
• 7 Iskander-M ballistic missiles
• 3 Iskander-K cruise missilesView attachment 2642262
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu ukipenda Historia:Tena ni nchi iliyopaswa kukaa chini ya ukoloni wa Kirusi kwa miaka mingi sana!
Hapa ulikuwa unamaanisha nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
[emoji298]The Armed Forces of Ukraine eliminated about 460 invaders in the past day, as well as destroyed two enemy tanks, 6 armored combat vehicles, 14 artillery systems, 1 air defense system, 7 unmanned aerial vehicles, 9 motor vehicles, and 4 special equipment units.[emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ha ha ha...Sasa Kama zelensky atakubaliana na hizo security guarantees alikua na haja gani kuiingiza nchi Yake ktk Vita?Umemuelewa Macron anaposema Security Guarantee? Ngoja nikueleweshe, maana umekuwa ni mtu wa ku copy na ku paste tu habari.
Kwa sasa Ukraine anaogopa kukubaliana na matakwa ya Russia aliyoyaweka mwanzoni kutokana na kuhisi kwamba Russia atakuja tena kumvamia.
Kwa hiyo, itatengenezwa security framework kuhusu Ukraine, ili kuondokana na future wars.
Ukraine atatakiwa akubaliane na matakwa ya Russia ya kuto join NATO, kutoyakaribisha majeshi ya NATO etc.
Yaani Ukraine anarudi kulekule kwenye matakwa ya mwanzo ya Russia.
Soon Ukraine analamba matapishi yake.
Na alliance hawawezi kua ready maana tayar Ukraine Yuko vitani, hawataki kuziingiza nchi zao kwny Vita [emoji4]Lakini pia uskose kutupatia udadavuzi wa hii [emoji116][emoji116]
[emoji779]️The war will continue until Ukraine wins, President Zelensky stated at the European Political Community Summit in Moldova.
The president also said that Ukraine is ready to join NATO, but is waiting for the alliance to be ready.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
King'ora kimeimba mpk kimechoka[emoji38]Waukraine wanasema .......saizi hakuna Cha king'ora Wala Nini .....pale mjini kiev [emoji23][emoji23][emoji23]
Tunalala bila kusinzia
The air raid alert is off now, but I cannot sleep. Holding my son’s hand, making sure he sleeps well,” Sovsun wrote in a tweet.[emoji1179][emoji1179]
Sina uhakika unamaanisha kwa "NFT"?Kwa maana hio ballistic ni rahis kutungua kuliko cruise
, lakini ule mkataba wa NFT kwanini kuna kipengele cha kuzuia utengenezaji wa ballistic missiles za umbali mrefu na controlled productions
Jamaa anapenda vikao balaa[emoji28]Hicho Ni kikao Cha ngapi? Tunaomba utukumbushe.
Safi Sana,Akhmat commander says his unit prepares for offensive in new area
Earlier, Chechen leader Ramzan Kadyrov reported the redeployment of the Akhmat commando unit to the DPR
DONETSK, June 1. /TASS/. Commander of the Akhmat commando unit and Deputy Commander of the 2nd Army Corps Apty Alaudinov said that his unit had begun active preparations for the offensive in the new area.
Chechen leader Ramzan Kadyrov earlier reported the redeployment of the Akhmat commando unit to the Donetsk People’s Republic.
Kichapo kiendlee[emoji4]Updates:
Makombora ya Russia yalifanikiwa kupenya mahandaki mjini Kiev ambayo ndani yake ndipo kulipo ofisi na makao makuu ya shirika la ujasusi la Ukraine SSU.
Mashambulizi hayo ni kama yale yalotokea mwezi March mwaka huu ambapo makao makuu ya kamandi ya Bahkmut yalifumuliwa na idadi kubwa ya majeshi ya kigeni kuuawa.
Shambulizi hili lilileta tetemeko la ardhi katika mji wa Kiev.
Habari hizi ni marufuku kutangazwa na vyombo vya habari vya nchi za magharibi lakini wengi tunofuatilia kwa makini twazipata kilaini.
Russia sasa hivi wamejipanga wakisubiria mizigo iingie Kiev na kwa kutumia mitambo ya satelite huiona na kuidungua yote.
Ndo maana vikao vimeongezeka leo wapo Moldova na mwezi ujao watakuwa Lithuania.
Bakhmut sasa ipo chini ya Russia mazima na kwa kilichobaki kwa Ukraine na nchi za magharibi ni kutuma UAVs ndani ya Russia na kusema "Oneni Tumepiga Russia" na kushangilia.
Kwamba zinalinda Malinda ya wahanga wa Vita[emoji38]Mimi nafikiri Patriot zinalinda LGBTQ wa Ukraine wala sio komboro za Russia.
Tangu ameitwa gaidi na Medvedev Katoka nduki bala[emoji28][emoji28][emoji28]Zelensky ameona mambo yasiwe mengi.... Huuuyooooo kakimbia zake...
Kwa nini auliwe kizembe wakati ana uwezo wa kukimbia.