Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ha ha ha....mnajificha kwny kivuli Cha rusian freedom fighters[emoji28]
 
We mwanamgambo kp kipanya44 ujatuambia Kiev wamekufa wangapi,, mwenzio kubwa jinga MK254 Tangu waziri wa mambo ya nje wa urusi azuru Kenya na kugawa mbolea ya bure humu anaishia kuchungulia na kuanzisha vinyuzi vyake juu kwa juu
Uyo mkenya utakuta Yuko kwnyw foleni ya mbolea ya bure ndo Mana hainekani jukwaani[emoji38]
 
Patriot zimekwenda wapi mpaka wanaleta hizi zingine?
 
Juzi walivyokutana kule Heroshima - Japan, je hakumshukuru..?

Maana kila siku wanaonana mpaka wanaishiwa vya kuongea...
 
Ujue Nato na Marekani yao imeingia Cha kike.
 
Nilicho Gundua kwenye hizi tarifa zinazotolewa kuhusu vita ya Ukraine Asilimia kubwa ukweli wake unakua na mashaka mashaka kwa sabab ya nchi hizi kubwa zinazo kinzana (USA na Russia) maan Tarifa nyingi zinapingana maan USA anatoa tarifa za kumpondea Russia na mda mwingine Russia hizo tarifa huws anazipinga lakin pia upande wa Russia hutoa tarifa kwa kupondea mataifa ya Magharibi na pia kujisifia yeye mwenyew. So Kuna utata mkubwa sana katka hizo tarifa tunazo pata
 
Uongo unakusaidia nini?
 
biden anaa nguka anguka tuu bora hata wangemwacha trump
fungueni hiyo clip....https://twitter.com/annvandersteel/status/1664349756406079488?s=19
To USA, kila kitu kiko abused already. Kiasi kwamba wamekosa cha ku'abuse wameamua kufanya Elderly Abuse. It's embarrassing indeed na kilichonichekesha hapo ni kizee cha watu kikashindwa kunyanyuka chenyewe hadi kipewe msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…