Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Hakika mkuuMagaidi wanasakwa popote pale na inashangaza Sky News wanahoji kwa nini Urusi inaishambulia Kyiv badala ya wanajeshi.! Kyiv ni kitovu cha ugaidi na lazima ifunuliwe nje ndani hadi yule gaidi mkuu apatikane.
Shida sio kushambuliwa shida imeshambuliwa nanani tunataka kujua hili kwanzamida si mrefu urusi imeshambuliwa na drone nane katika mji mkuu Moscow
Kazi imeanza ndani ya urusi
Source, Google, View attachment 2640231Moscow
Habari njemaNaye Meya wamji wa Moscow anasema Waliweka Mstari mwekundu sasa Umevukwa
kifuatacho kinatumwa Kikosi maalumu kwenda Kuchukua Khakov
Huenda ni kweli Ukraine anatumia mbinu za kitoto, lakini kichapo kinaendelea kuwa palepaleMbinu anazotumia ukraine ni mbinu za kipuuzi na kigaidi sana yaani anafanya bora tukose wote, baadae atakana hajafanya yeye.
[emoji298]️[emoji635][emoji1255] Dams like Nova Kahkovka are protected by the laws of war and the Geneva convention for a reason. According to Article 56 of the 1977 Additional Protocol I:
“Works and installations containing dangerous forces, namely dams, dykes and nuclear electrical generating stations, shall not be made the object of attack, even where these objects are military objectives, if such attack may cause the release of dangerous forces and consequent severe losses among the civilian population. Other military objectives located at or in the vicinity of these works or installations shall not be made the object of attack if such attack may cause the release of dangerous forces from the works or installations and consequent severe losses among the civilian population.”
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Hujataja eneo umebuni tu habari taja eneo gani na hata link au kapicha tu ingekuwa vizuri.Hii ni ishara ya kwamba offensive actions zimeanza!
[emoji298]Ukrainian defenders eliminated about 800 Russian invaders in the past day, as well as 12 enemy tanks, 20 armored combat vehicles, 36 artillery systems, 6 multiple launch rocket systems, 2 air defense systems, 1 helicopter, 23 unmanned aerial vehicles, 35 cruise missiles, 20 motor vehicles, and 5 special equipment units.[emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hizo drone hazitoki mbali, putini anawahadaa warusi kuwa ukreni akiachwa anauwezo wa kushambulia urusi.[/QUOTE]Akili kubwa hii PUT IN anaupiga wakutosha sana anawaandaa wa RUSSIA [emoji635] wazidi kuamini kwamba SMO inatakiwa iendeleee[QUOTE="kitonsa, post: 46621135, member: 51767
pia nimefatilia kuna uwezekano urusi kausika mwenyewe kujishambulia ,ili apate sababu ya kutupa makombola mengi zaidi ukraine
Habari njemaRais wa Korea Kaskazini ametangaza nchi nzima; wanaume wote kupimwa sehemu za siri. Yeyote atakae bainika kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja; adhabu yake ni kifo.View attachment 2640536
Kamkamateni PUT IN mumpeleke ICCHuu ni Uhalifu wa kivita wa Urusi.
Ngoja nieke kituo hapaBaada ya kutoka Kenya na Burundi,sasa Lavrov Katua Msumbiji.
View attachment 2641392
Umesahau kuleta picha za Leopard zilizopigwa??Kipigo Cha mbwa Koko kinaendelea huko. Hata chui kageuzwa chakula.
Report from the Russian Ministry of Defense on military operations on the Vremevsky ledge of the South-Donetsk direction:
- During June 5, the Armed Forces of Ukraine continued offensive operations in this area;
- A complex fire defeat was inflicted on the enemy;
- The total losses of the Armed Forces of Ukraine in the South-Donetsk direction amounted to more than 1,500 Ukrainian servicemen, 28 tanks, including 8 Leopards , three AMX-10 wheeled tanks and 109 armored combat vehicles.
Kumbe ndiyo maana video za front line kutoka AFU unaangalia mwenyewe. Mnatengeza fake. Unajua ukizileta hapa utashushuliwa. Hapa umepewa na coordinate wapi uhuni ulifanyikaUkraine may receive more than 40 Australian FA-18 fighters
Ha ha haaaa!!! Mbona mnakuwa waoga kutangaza rasmi kuwa Sasa mnarudisha maneno ambayo mluyasusia kwa kuwapiga mabomu raia walikuwa wanakaa maeneo hayo?Hii ni ishara ya kwamba offensive actions zimeanza!
Hii ni ishara ya kwamba offensive actions zimeanza!
Ukrainian defenders eliminated about 800 Russian invaders in the past day, as well as 12 enemy tanks, 20 armored combat vehicles, 36 artillery systems, 6 multiple launch rocket systems, 2 air defense systems, 1 helicopter, 23 unmanned aerial vehicles, 35 cruise missiles, 20 motor vehicles, and 5 special equipment units.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Haha, Hawa jamaa wanabahatisha, siku wakiwaotea tu warusi watasema counter offensive imeanza.
Chakula Cha kinzal.Ukraine may receive more than 40 Australian FA-18 fighters
The United States, Australia, and Ukraine are discussing the possibility of transferring 41 F/A-18 aircraft of the Royal Australian Air Force to the Ukrainian Armed Forces, which are to be decommissioned, Australian Financial Review reports.
[emoji838] 41 aircraft have been decommissioned from the Royal Air Force and will be replaced with modern F-35s. Earlier it was assumed that the fighters will be scrapped or sold to a private aviation company, RAVN Aerospace, for use in the United States as "enemies" for the training of pilots.
[emoji838] Another source close to the negotiations agreed that there was no point in destroying the perfectly serviceable aircraft, which, he said, could be brought to combat readiness within four months and used to repel the Russian invasion.
[emoji838] The F/A-18 is a U.S. carrier-based fighter-bomber developed in the 1970s. It is in service in a number of countries in Europe, Oceania, and the Middle East. In the U.S., the aircraft has remained in service only in the Marine Corps, as well as training and experimental squadrons.
Join our telegram channel for more videos - link in comments
View attachment 2647692
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huu ni Uhalifu wa kivita wa Urusi.