Labda nikuhoji swali dogo: Je,una habari Boeing 747 ilianza kutumika kama ndege ya kubeba passengers tangu mwaka gani mbona nyingi bado zinafanya kazi mpaka sasa karibu miaka 53.Russia wana madude mengi ya kizamani ya ajabu ajabu
View attachment 2653474
Mkuu!labda utakuwa mgeni wa mambo ya kijeshi.Kuna unyama juzi imeufanya kwenye Iris-T ya mjerumani. AD imeundwa kudeal na drone ila umeangamizwa na drone. Lancet ni habari nyingine kabisa
Maajarabu ya jamiiforum!Unataka ushahidi wa taarifa kutoka kwa huyo but na wewe unaleta taarifa isiyo na ushahidi.(merely propaganda)Leta Ushahidi mana Urusi ikiwaua watu wa NATO Inaonyesha na hata bbc huwaombea msamaha wkaisingizia ni askari wastaafu.. Kumbe ni Watu wao juzi Tulipopiga makao Makuu ya Jeshi lao walikuemo..
Warusi Wa NYOKWEE 🙄🙄😂😂🤣🤣Safii, tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa kifupi zaidi ya 3/4 ya alowaasa waweke silaha chini wote wameshaliwa vichwa,Hawa wanaopigana Sasa hivi ni wapya
Mkuu!inachanganya unasema ilishaisha zamani then statement yako ya pili unakanusha kuwa inaendelea kwasababu adua anapata msaada.pia unasema Ukraine inapigana na wagner tu japo uhalisia haupo ivyo maana kuna wengine wanasema Urusi(kama nchi)inapigana na NATO(shida ile ile propaganda)Ilishaisha zamani sana kama isingekuwa support yenu (mataifa 30!!!) Mnapigana na Wagner?? Hamuoni aibu?
Dah 😃,Kuna jeshi la M7 pia anataka kwenda kulinda amani haha
Kuna baadhi ya watu hasa MK254 alikuwa ana adaa watu hapa eti Iris-T ni impregnable air defense system Warusi watakiona - sasa tangu itiwe kiberiti na Lacent drone MK254 kaingia mitini,, anaona aibu.Kuna unyama juzi imeufanya kwenye Iris-T ya mjerumani. AD imeundwa kudeal na drone ila umeangamizwa na drone. Lancet ni habari nyingine kabisa
Kazi ya u-middleman kapewa Trudeau baada ya Macron kumchoka Zelensky? Sasa PM ajiandae kutumwa Marekani deile kuomba machuma machuma mengine.Ukraine's President Volodymyr Zelenskiy and Canadian Prime Minister Justin Trudeau attend a face-to-face meeting in Kyiv.
View attachment 2653671
Si ajabu kila kukicha US inamuota Mrusi. Dah! Mpaka nimemwonea huruma mtoto NATO na kiranja wake Marekani.Hawa ni Chechnya wanasubiri mafuta kutoka Kigoma ili waingie mstari wa mbele kwenye SMO. Nawatakia safari njema.
View attachment 2653737
The head of Chechnya Ramzan Kadyrov:
"In our region, two new regiments of the Ministry of Defense "AKHMAT-Russia" and "AKHMAT-Chechnya" were formed from experienced fighters, which will very soon go to the SMO zone"
@thecoppermountain
Hujaelewa! Nchi shida sana hii, kiswahili kigumu, kiingereza kigumu shida tupu!Mkuu!inachanganya unasema ilishaisha zamani then statement yako ya pili unakanusha kuwa inaendelea kwasababu adua anapata msaada.pia unasema Ukraine inapigana na wagner tu japo uhalisia haupo ivyo maana kuna wengine wanasema Urusi(kama nchi)inapigana na NATO(shida ile ile propaganda)
Na zinapiga kazi hatari hatari sanaRussia wana madude mengi ya kizamani ya ajabu ajabu
View attachment 2653474
Dawa ni kumfuata Putin amalizane naye hata kwa ile meza ndefu atasikilizwa tu, nje ya hapo Kyiv inachukuliwa fastaZelensk wambie vijana warudi tu nyumbani wala usione aibu kushindwa kwa Counter- offensive okoa maisha ya vijana wako waliibaki.
Kwahyo hayo Mataifa ndio yanapiga NATO 32+?Bila aibu Kuna wajinga wanasema Ukraine anapigana na Russia pekee !
Ukraine anapigana na Russia, Belarus, Iran, north Korea,na mataifa mengine mengi,
[emoji298]Belarus' government, led by dictator Alexander Lukashenko, gave Russia 131,582 tons of ammunition, according to an investigative project of Belarusian journalist Anton Motolko.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
OK!Kwahiyo mkuu unataka kusema Urusi alipanga kuivamia Ukraine huku akijua kuwa hatasaidiwa.na kama alijua basi kauli yako ni batili means alipanga kuipiga Ukraine hata kama itasaidiwa na bila kujali muda atakaotumia hata kama miaka 10(so statement yako bado ni batili kwamba bila misaada Urusi angeshamaliza oprn otherwise useme hakujipanga kukabiliana na misaada ya siraha,pesa na ya kisiasa namna hii ndio maana ameshindwa kumaliza mpaka sasa)Hujaelewa! Nchi shida sana hii, kiswahili kigumu, kiingereza kigumu shida tupu!
Nilichomaanisha ni kwamba, kama si kwa msaada wa mataifa 30 kuisaidia Ukraine hii vita ilikuwa imeisha kitambo kama Putin alivyokadiria! Bahati mbaya wazee wa upinde wamechachamaa kumsaidia mwenzao! Kilichoifikisha hii vita hapa ni msaada wa wana upinde!