LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
That cannot deter Russia from attacking any NATO member mkuu. Kumbuka Russia baada ya kuichukua Ukraine itakuwa na position nzuri ya kutandika kila sehemu tena wakileta mchezo anawazimia gas na baada ya hapo maandamano makubwa na akiwatisha kuwa nuke basi hapo habari kwisha
 
Kwahiyo tangu leo asubuhi mpaka sasa majeshi ya Urusi yako yanapiganania kuuchukua mji wa Kyiv wakati walikuwa wamebakiza kilomita 10 kuingia central district. Yani tangu asubuhi mpaka sasa hivi wanapigania kilomita 10?

Jana hapa nilisema performance yao sio nilivyotarajia kuna watu walininanga, leo Warusi wamepewa wapiganaji 10,000 wa ziada wa Chechen. Ukraine imepata msaada wa silaha kidogo kutoka Poland mida ya jioni. Sikuwa nafikiria kama jeshi la Ukraine na raia wake wanaweza hold their positions mpaka usiku wawe na Kyiv
 
Ukiachana na ile meli ya uturuki iliopigwa jana kwa kuzuia eti majeshi ya Urusi, leo meli ya Japan imepigwa kombora karibu na Black sea

2 more merchant ships hit by Russian attacks in Black Sea.

Japanese bulk carrier MV Namura Queen hit by a rocket at anchor off Yuzhne.

Moldovan chemical tanker MV Millennial Spirit hit and set on fire 12 miles to the south


Video: suvaribeyinnotdefteri https://t.co/p5BHZmUPIk
 
Jamaa anapiga mahesabu ya mbali sana.
Putin ni mzoefu kila sekta kuanzia propaganda za vita baridi alikuwepo pia kafanya kazi Kama agent wa KBG taasisi ya usalama wa taifa urusi kiufupi Putin ni full package tishio kubwa zaidi kwa westerners na kiongozi wao USA
 

Breaking news baada ya jeshi la USA na ndege za vita kuingia Nato ime activate any time putin atajutia .wamkamate wamuue mambo ya vita ni ya zamani sana .from
Pandemic to putin
 
Kila nikimsikiliza Putin nasema kimoyomoyo kuwa kuna Watu ni kama wanamiliki Dunia.
 
Tuzidishe tu maombi sana ili pasitokee WWIII ili tuweze kula kwa urefu wa kamba zetu tukinenepeana mashavu kama chempazee.
World war3 nadhani haiko mbali Sana lakini sidhani Kama itatokea Sasa zaidi tuendelee kuombea amani na moyo wenye huruma wanasiasa ambao ndyo chanzo Cha haya yote huku wahanga wakisa raia wasio na hatia
 
Hakuna wameuzingira mji mkuu
Wakisubiri final order tu
Kumbuka ni ndani yasiku mbili wameshaufikia mji mkuu
Marekani Afghanistan alitumia siku ngapi kuikaribia Kabul.
Halafu Zelenski kaomba mazungumzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…