Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Tangu Uganda nafikiri na Kenya wamtolee nje hana hamu tena na Continet la Afrika, au anaogopa kuambukizwa na ugonjwa wa COVID.Leo viongozi wa Africa wapo Kiev kwenye peace mission.
Lakini wanazungushwa kuonana na Zelensky
Zelensky anataka kufanya nao kikao kupitia video conference...
Kwa ufupi unamaanisha ukraine ni shamba darasa.😁😁Mkuu najua kwamba wengi wanaamini unachosema - ila hakuna msingi. tafadhali nionyeshe mapatano au mkataba unaodai ulikuwepo. hakuna.
Unachoweza kuonyesha ni mawazo ya wanasiasa kadhaa walioona NATO isipokee nchi ambazo zilikuwa nusu koloni za Urusi kama vile Poland, Baltiki na kadhalika.
Lakini hakuna mapatano wala mkataba.
Kinyume kuna mkataba rasmi wa Helsiniki ambako USSR ilikubali kila nchi ya Ulaya ina haki ya kushirikiana na nchi nyingine.
Kuna pia mkataba wa Minsk ambako Urusi ilitambua mipaka ya Ukraine (pamoja na Donbass na Krimea) na kuahidi itatetea mipaka hiyo.
Ni nani sasa aliyevunja mkataba?
Halafu unaamini kuna sababu gani kwamba nchi za Ulaya zimeacha kushirikiana na Urusi kiuchumi tangu uvamizi za 2014 na 2022???? Ingawa Urusi ilikuwa chanzo cha nishati nafuu na soko kwa makampuni yao??
Kwa nini nchi za Baltiki, Poland, Chek na Slovakia waliombaomba wapokelewe NATO baada ya kuwa chini ya Urusi kwa miaka mingi?? (na hakuna aliyewalazimisha hata kidogo kuleta maombi ya kujiunga na NATO!)
There you are brother!!Mkuu mbona hili liko wazi na sehem ya mkataba iliwekwa hapa, Kati ya State department na Russian nahis ilikua 1992, term moja wapo ilikua there will be no expernsion of NATO kwenda East of German. .sema nimesahau nilihifadh wapi ile sehem ya document lakin kuna wadau waliiweka humu.
Nashukuru Sana kwa kujazia nyama jibu nililompa Ndugu yetu Pro NATO..!!A very good question - lengo la USA hata kufikia hatua ya kuonga former Soviet Union Republics ni kutaka kutishia Urusi kwamba hivi sasa imezungukwa kila upande wa mipaka yake na NATO members hivyo itakuwa rahisi kuishambulia Urusi kwa kuishitukiza au kutumia airbase za Eastern Europe ku launch a massive air attack au hata kujenga infrastructure za kuhifadhi short range tactical nuclear missiles - bottom line is/was: to design ways and means of destroying Russia in totality - sasa matokeo ya vita ya Ukraine kutawafanya NATO/USA wa think again kwamba Russia ni mti wa mpingo na si lelemama.
Tatizo sio kudungua Kinzhal, tatizo linakuja kwenye wreckages ambazo tunaambiwa ni za Kinzhal.Jeshi la anga la Ukraine ladungua makombora 12;makombora 6 chapa khizhals na mengine 6 chapa kalibr ya Kirusi!
....
Missile strike on 16 June: air defence shot down 6 Kinzhals and 6 Kalibr missiles
According to preliminary information, Ukraine's air defence destroyed 12 missiles during the Russian attack in Ukraine on 16 June.www.pravda.com.ua
Vifaa vingi vinaibiwa Poland.... Kama hili tukio la hivi karibuni Wegliniec-Poland. Wapolo walivunja mabehewa yenye silaha na kwenda kuficha kwenye kidimbwi cha maji...https://twitter.com/i/status/1667694712377974785"Marekani badala ya kuzungumza na Urusi, imechagua kusambaza vifaa vya kijeshi kwa Ukraine, tutaviteketeza vyote - tuone kitakachofuata," - Putin.
View attachment 2659957
Poland akisikia hivi anatamani kujikojoleaPutin: If F-16s are stationed at air bases outside Ukraine but used in combat, we will have to see how to hit them.
oops!... my bad