Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Umeuelewa? Unasemaje?Mkuu nimesoma - na wewe je???
Helsinki Accords
Hujajibu kama wewe umeshasoma. na wewe umeelewa nini???Umeuelewa? Unasemaje?
Russia anamakausudi sana wezanke wanatumia HAMVEE magari ya kisasa na ghari yeye anatumia vivali vya miaka ya 1950.Ambavyo hata hapa bongo tunavyo[emoji3][emoji3][emoji3]Lada Niva in the hunt for "Leopards"
As part of the Russian army , shock maneuver "hunter" anti-tank teams equipped with modified Lada Niva SUVs armed with portable missile systems 9K111-1M "Konkurs-M" were formed. reconnaissance unmanned quadcopters and connected by high-quality means of communication.
View attachment 2660214
View attachment 2660215
Sawa kabisa,halitaki upatanisho hiki.Ndio mana tunasema wacha kipigwe sana mana hamna namna nyingine eeeh....
Huu uliouweka hapa hahuusiani na makubaliano kati ya NATO na Russia . Huu unahusiana na security and Cooperation in Europe. Nafikili tuwekee makubaliano ya Minsk sio huu upuuziMkuu nimesoma - na wewe je???
Final Act of the Conference on Security and Cooperation in Europe, Aug. 1, 1975
Brother unahitaji uende deep Sana kuelewa issue ya NATO na Russia,Mkuu kwanza uniruhusu nikuelimishe huko bara la Amerika Kaskazini kuna wanachama 2 za NATO ambao ni Marekani na Kanada.
Pili ndiyo, nimewahi kujiuliza kwa nini after cold war nchi za Ulaya Mashariki zimejiunga na NATO.
Sababu yake ni kwanza kabisa maarifa ya nchi hizo chini ya utawala wa kikoloni wa Urusi. Angalia nchi za Baltiki (Estonia, lithuania, Latvia) zilizovamiwa na Urusi kwanza miaka 300 iliyopita na kuwa koloni zake, halafu baada ya kupata uhuru mwaka 1919 ziivamiwa tena mwaka 1940, (na tangu 1945 kurudishwa hali ya "jamhuri za USSR" = makoloni) . . .
Nchi hizo ziliombaomba kujiunga na NATO ili zijisikie salama
vivyo hivyo Poland iliyomezwa na Urusi katika historia yake, kushambuliwa tena ilipopata uhuru mnamo 1919/20, kuvamiwa tena na Urusi mwaka 1939 (kwa kushirikiana na Hitler) na kulazimishwa kupokea serikali y akikoloni baada ya 1945 . . . . Nchi nyingine iliyoombaomba kujiunga na NATO.
Je unashangaa kwa nini nchi hizi walitaka kujiunga na NATO?
Au Chek Republic: mara ya mwisho walivamiwa na Urusi / USSR kwenye mwaka 1968 . . .
Unashangaa kwa nini walitaka kujiunga na NATO?
Umetisha mkuu, uchambuzi umenyooka kabisaa, kongole kwakooUsilete ngonjera mkuu...humu watu wanajua kwa nini hao jamaa wanatwangana.Hakuna asiyejua janjajanja ya USA....Hakuna asiyejua kuwa kikwazo kwa total control ya ulimwengu huu kwa USA ni Russia...Na hata uki-refer wanasiasa wa USA hata huyu Biden, alisema wazi changamoto zitakazotokea baada ya USA kujaribu kuwavuta Ukraine NATO
Hakuna asiyejua kuwa 2014 palikua na coup Ukraine..kupinduliwa kwa serikali iliyokuwa fruendly kwa Moscow na ikaingia serikali iliyo ant-Russia, mambo hayo ndo ya chanzo cha mzozo wa sasa...
Inajulikana tu pia kuwa coup ya Ukraine (2014) ilikuwa ni practice kwa ajili ya kitakachotokea Urusi...ikapelekea kuingizwa kwa sheria ya Foreign agent law ( Russia)...ambayo hata USA wanayo kwa miaka mingi...
Najua utaongea kwa ushabiki na kutumia mgongo wa kila nchi kuwa na haki ya kujiamulia mambo yake lkn ukweli ni kuwa hakuna nchi yoyote duniani itakubali nchi jirani yake ahatarishe usalama wake kisa kuna uhuru wa kujiamulia mambo yake....Wanasema haki yako inaishia pale, inapoanza kuwa kitisho au kikazwao kwa mwenzako...
Nyerere aliinyima Zanzibar kuwa nchi huru kwa sababu ya security reasons pia-Muungano ukalazimishwa..Karume akasaini..Zanzibar ikapigwa pin...na viongozi wa Zanzibar waliokuwa wanajifanya kuwa vocal kwenye masuala hayo ( hata wa CCM)...hawajawahi kuvumiliwa...
USA hawezi kukubali wapinzani wake wakae CUBA au Mexico pale, lazima pachimbike..
Haki inakuwa haki kama haihatarishi usalama wa mwenzako.....
Mkeo/Mmeo akianza tabia ya kulala na kisu chini ya mto- rationally lazima akili izunguke kujua sababu....kama haziekeweki lazima ujipange..
Kwa hali ya kawaida UKRAINE na URUSI wanakila sababu ya kuwa mataifa marafiki...
1.Wanampaka mkubwa sana
2.Ni slavic
3.Wanauhusiano mkubwa sana wa kitamaduni
4.Kuna watu wenye asili ya Urusi wengi sana Ukraine
5.Wanashare familia:Mtu yuko Urusi-babu yaje yuko Ukraine
6.Walikuwa na uchumi unaingiliana sana-viwanda-chain production inaanzia Ukraine inaishia Urusi
Zelensky mwenyewe...mpaka anakuwa Rais alikua anaongea Kirusi pekeee....Kiukraine kaanza kujifunza ofisini..
Zelensky kafanya kazi za commedy Moscow na huko ndiko alikochuma pesa zake za kwanza...
Hivyo hawa watu wanaukaribu mkubwa kuliko ilivyopaswa kuwa...hapo sasa na US kaingia kaanza kuwavuruga....Ukraine kaanza kupandikizwa chuki vurugu likaanza...
Na Urusi haiwezi kukubali Ukraine ikaenda West na kuwa tishio kwake....sababu
1.Ina-pride: Putin akishindwa:Atakayeingia lazima aanzishe vita tena....(Na Putin kasema kushindwa hakupo..labda WW3)
2.Inauwezo wa kuresist pressure za West
3.Inauwezo wa kijeshi kujitetea na kusababisha maumivu makubwa west..
Tuendelee kuangalia huu mchuano...lkn kwa maoni yangu Ukraine kayakoroga na hatoboi
2.
Hawezi kuujua huo mkataba,trust meHuu uliouweka hapa hahuusiani na makubaliano kati ya NATO na Russia . Huu unahusiana na security and Cooperation in Europe. Nafikili tuwekee makubaliano ya Minsk sio huu upuuzi
Pro NATO tuna vichwa SanaUmetisha mkuu, uchambuzi umenyooka kabisaa, kongole kwakoo
Rais na kiongozi Bora kabisa katika zama hizi.Mda umefika wa kufanya marekebisho kwenye vitabu vyetu kuwa wanafunzi wajue toka mda huu super power Ni Russia, Futeni habari za NATO, G7 wekeni BRICS,hakuna Cha US Wala Eu,Wala Pentagon mwamba huyu hapa.View attachment 2660099
Hakuna jina huko waliposogea km2 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Defense Ministry: Ukraine advances 2 kilometers in multiple directions
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Msome vzr huyoo huyo niliyempa kongole utajua yuko upande gani,Pro NATO tuna vichwa Sana