Kumbe unamkumbukaPunyeto haijawahi kumwacha mtu salama mkuu. Punyeto inasababisha upungufu wa akili
Namkumbuka... Namuona kwenye majukwaa mengine humu ila kwenye huu uzi anachungulia na kujifanya amefarikiKumbe unamkumbuka
Nimetoka patupuView attachment 2661606
Blinken akiwa beijing,
Blinken akiwa beijing kwa mujibu wa BBC,
Blinken akiwa beijing kwa mujibu wa WP
Umegundua nini?
Picha ya 2 na 3 zimetiwa ufundi sanaNimetoka patupu
Huko nyumban dola imekua kipusaAsante, kwa hiyo tumtakie tu kheri huyo ndugu yetu mwendesha magari ya mizinga, ni askari wa maisha yake anatafuta kula yake na ya familia yake
Mkuu je niliaminishwa nini na "West"?Hayo ndiyo umeaminishwa na West!Huwezi kusikia mauaji yaliyofanyika huko Donbas tokea 2014 baada ya mapinduzi!
Russia ameufungua ulimwengu macho,double standards ili kusave the US interest zinafanyika san...
Swali jingine jibu jingine aloohMkuu kilichotokea Ukraine mwaka 1964 kilikuwa mapinduzi. Mapinduzi (kama Zanzibar, kama Ukraine, kama Ufaransa, kama Urusi) ni jambo la ndani la kila nchi.
Mapinduzi hayaundi haki ya nchi nyingine ya kujiingiza katika mambo yake.
Je, kwenye msingi gani Urusi ilidai chochote kuhusu mambo ya ndani ya Ukraine? Mkataba wa kimataifa wa Helsinki 8uliokubaliwa na USSR na Urusi) uliipa Ukraine kila haki ya kuendesha mambo yake na kushirikiana na nchi nyingine.
Hali teteView attachment 2661606
Blinken akiwa beijing,
Blinken akiwa beijing kwa mujibu wa BBC,
Blinken akiwa beijing kwa mujibu wa WP
Umegundua nini?
Suala la msingi ni kuwa US na Alllie wake wanafanya wanavyotaka bila kujali UN wala security council!Hiyo ndio hoja niliyokuwekea hapo!Hata kule Iraq japokuwa UN walikataa ila US na washirika wake wakatumia nguvu!Mkuu unachanganya mambo. Nilijadili kazi ya NATO dhidi ya mauaji ya Waislamu wa Bosnia kwenye mwaka 1995 iliyokubaliwa kabisa na Baraza la Usalama.
Wewe unajadili jambo tofauti, ni vita ya Kosovo. Ni kweli kwamba NATO iliingia hapa bila idhini ya Baraza la Usalama.
Unavyosema kweli, shabaha ilikuwa kampeni ya kuua Waislamu wengi wa Kosovo na kuwafukuza walioishi. Ilizuia tishio la wimbi la wakimbizi milioni. Walifanya bila idhini ya baraza la usalama. Ila je unaonaje wangefanya nini wakiona jeshi lilelile la Waserbia lililowahi kuua Waislamu wengi wa Bosnia wakilenga sasa watu raia wa Kosovo?
kuhusu Libya unathibitisha kwamba Baraza la Usalama ilikubali kuingia kwa wanaanga wa nje katika vita ya Libya. Urusi na China walikuwa na uwezo wa kusimamisha hatua hiyo, waliamua kutosimamisha.
Kwa nini unafikiri waliwavumilia? Kwa sababu shujaa Ghaddafi alipenda taifa lake mno au kwa sababu mwuaji Ghaddafi aliua watu wake hovyo??
Unazunguka mbuyu tu,ni kwanini US anafadhili silaha kwa taifa vamizi la Israel?Mkuu je niliaminishwa nini na "West"??
Habari za Srebenica na mauaji ya Waislamu wa Bosnia hujasikia ???????
Na mauaji mengine?
Kuhusu Israel na Urusi ni nani mwenye double standard?
Hujui kweli kwamba tangu mwanzo Urusi / USSR ilikuwa nguzo muhimu katika kutokea kwa Israel?
Tayari kabla ya ugawaji wa Palestina, kwenye tarehe 14 Mei 1947 USSR ilikubali mipango ya kugawa Palestina kuwa dola la Kiyahudi na Dola la Kiarabu, ingawa ilikuwa dhahiri kwamba hii ingemaanisha vita.
Hujui kweli kwamba USSR / Urusi ilikuwa nchi ya kwanza ya kutambua rasmi dola jipya la Israel? Kabla ya Marekani na nchi nyingine?????
Hujui kwamba silaha kutoka Chekoslovakia (wakati ule tayari nusu koloni ya Urusi) zilikuwa msingi kwa mafanikio ya israeli katika vita ya 1948/49???
Ni tangu miaka ya 1955/55 pekee kwamba Urusi iliona faida zaidi kushikamana na nchi za Waarabu. Nchi kama Misri na Syria walikuwa wateja bora wa silaha za kirusi.
lakini Urusi / USSR iliweka msingi muhimu kwa kuundwa kwa Israeli. Upande mwingine wa hadithi hiyohiyo ni vita za Israeli dhidi ya Waarabu na kutokea kwa wakimbizi Wapalestina...
Leo hii uhusiano wa Urusi na Israeli si vibaya. Kuna raia milioni 1.5 nchini Israeli wanaoongea kirusi nyumbani kwao , Kirusi ni lugha ya tatu nchini Israel (baada ya Kiebrania na Kiarabu)
Hapa alikuwa anataka asemaje mkuu?Mkuu je niliaminishwa nini na "West"??

Huyo hata Kaa asahaulike.tunamkumbuka sote humu.Kumbe unamkumbuka
Mkuu, unajipofusha ama ndiyo kuzidiwa mzigo wa kubeba "green card"?ni jambo la ndani la kila nchi.
Mapinduzi hayaundi haki ya nchi nyingine ya kujiingiza katika mambo yake
Anafanya Nini ujeremanj?Yupo Ujerumani.
Tatizo unakuta wanajiamini na visilaha vyao, mafunzo na propaganda wakidhani wanaenda Libya kumbe wanaenda kucheza na moto.Wakuu, Ukraine naishangaa. Kama unataka kufanya counter offensive si unashtukiza. Sasa mwezi mzima mnatamba kwenye media ili adui awasubiri tu. Nomq sana