Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russian correspondent Yuri Podolyaka, has very heavy Ukrainian casualties including both soldiers and vehicles near Orekhovo. The footage evidence will be published by reporters over the next several days.

These Ukrainian assaults are ending up in complete failures and they haven’t even reached any of the main defensive lines
 
Mkuu tunajadili mfano mmoja ambako NATO iliingia bila idhini ya Baraza la USalama, huko Kosovo 1999. Urusi iliwahi kuvamia Afghanistan, imendelea Krimea na pia Georgia.

Katika mfano wa Kosovo nilikuuliza - je wangetazama jinsi Waserbia walichinja Waislamu? Jibu lako?
 
Kumbe. Mkuu unachekesha. Mwanasiasa wa Marekani anagawa mikate kwa waandamaji ili aonekane kwenye TV nyumbani kwa sekunde 20. Halafu ???
Kama Putin angegawa mishkaki huku Krimea badala ya kutuma jeshi lake bila sare, wote wangefurahi.
Ila hajaleta mikate au mishkaki alileta jeshi lake na kifo.
 
Huyu jamaa sijui anahisi nani anajali yeye kuwa au kutokuwa na upande. Hana upande ila always anawakosoa pro Russia ila sijawahi kuona na kukosa kwake upande anawakosoa kina Vunjo
Mkuu!si kwamba watu wanajari neutrality yangu,hapana!isipokuwa naweka wazi public watu wawe aware kuwa hata michango yangu haifungamani au hichagizwi na upande fulani,hiyo ndio nia haswa!
Mkuu nakosoa hoja yeyote kutoka kwa yeyote ninapoona inafaa!
 
Urrusi sio nchi ya malaika mkuu..nayo labda imekosea uko nyuma ila kwa hili yuko sahihi mnoo na dunia inamuitaji mnoo
Afu waonekana wajua jua mambo ila nashangaa kwann huoni mabaya ya west mkuu ambayo ndio yanakandamizA dunia?
Mkuu!Nahisi utakuwa na tafsiri au maana nyingine(maybe mpya) ya neno kandamiza kama ulivyolitumia hapo juu!
 
Mkuu!tuamini lipi mwanzo tuliambiwa kauawa(Kyiv) hivyo hakutakuwa na counterofensive,
pili tukaambiwa kajeruhiwa huko Kherson.
tatu tuliambiwa kuwa yupo nje ya nchi(Germany) anatibiwa,
leo unasema amejiweka kando kwa kutoelewana na Zelensky.
#Tatizo la propaganda ni kutokuwa stable!
 
Ndio maana UN waliweka utaratibu!Mfano huko US,wangapi wanakufa kila mwaka over gun control?Kesho wengine waivamie US ili kuokoa raia wanaokufa,kuna uhalali hapo?
Wangapi wanakufa huko west bank?Hata mwandishi wa Aljazeera,raia wa marekani na palestine alipouwawa tena akiwa na jezi za Press,ilkuwaje?
 
Kafungue uzi zako zaid ya 5 kama kawaida yako [emoji2][emoji2]ueneze ugasho wako maana sikuelewagi daily unafungua uzi za chuki either za dini au propaganda za west ...
Inshort we ni member wa ovyooo kuwai tokea humu

Mpaka mtaita maji ma!!!
 
Mwanasiasa wa Marekani anagawa mikate kwa waandamaji ili aonekane kwenye TV nyumbani kwa sekunde 20. Halafu ???
Aisee, kumbe sikujua tatizo kama ni kubwa hivi.
Kwa mujibu wa BBC, Nulad alikuwa active kipindi chote cha Euromaidan si kwa sekunde 20 bali miezi kadhaa.
Jisomee hapa


Nulad alifikia hatua ya kuwatukana EU kwa sababu EU ilikuwa inazorotesha mbinu ya Marekani kufanya mapinduzi haramu Kiev! Baada ya Mapinduzi inasemwa Marekani ili"iiba" dhahabu Karibu yote ya Ukraine kupitia kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Ukraine wa wakati huo, bwana "Arseniy Petrovych Yatsenyuk"
 
Kuuwa waisilamu ndio nini?? Au unamaanisha waislamu sio watu? Au ndio maana hamsikii uchungu wapalestina wakiuwawa kwasababu ni wapalestina?. Sasa kitu gani kinachokufanya usikie uchungu kuuwawa kwa waukraine?
 
Nawapongeza sana wanajeshi wa Ukraine wanaojisalimisha kwenye vita hivi; wanaokoa maisha. A very commendable choice.

I'm wondering if kp kipanya44 isn't among them, especially wamefanana mno na huyu hapa mwenye kofia na fulana nyeusi anayeonekana ana mawazo sana.
 
I'm taking notes.

This is another way of admitting that the Russians have been experiencing significant success almost all along.
 
Mkuu Lesedi2020 , akikujibu naomba uni-TAG!
 
Ila nyie watu. Acheni kuwaliza pro-NATO watatoweka kwenye huu uzi, halafu tutazikosa propaganda bobo (useless) za kp kipanya44 , umshana na genge lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…